Search results

  1. W

    Waziri wa nishati nakuuliza swali moja tu.

    Hivi siku ile ulipokuwa kinyerezi ulisema umeme kukatika iwe mwanzo na mwisho ikitokea utawafukuza kazi watendaji wa Tanesco. Sasa mbona umeme kila siku unakatika tena kwa mda mrefu, ulikuwa unamanisha nini ulipotoa kauli hiyo?
  2. W

    Nataka kujifunza lugha ya kiingereza vizuri niende kwa nani Rasi Simba au?

    Ndugu zangu kama kichwa cha habari kisemavyo naombeni mnishauri wale mnaojua mahali wanapofundisha lugha ya kingereza vizuri nataka nianze kujifunza lugha hii.
  3. W

    Julian shonza utaifungua tena video ya Diamond African Beauty

    Nakuuliza wewe naibu wa wizara ya michezo ya utamaduni nadhani wimbo umeusikia na video yake umeitazama.
  4. W

    Tazama Rafu aliyochezewa Rais wa Burundi wakati akicheza football.

    Masoud uliwaza nini aise Rafu mbaya.
  5. W

    Laana imewapata baada ya kula pesa za Rambi Rambi Tetemeko Bukoka.

    Laana Bado iko nanyi mpaka mzikwe mlizani kuendesha serikali ni kazi ya chuki na uoneve na kula pesa za masikini wahanga wa Bukoba bila aibu. Mpaka mtubu mbele ya Wananchi ndiyo mtapata mwanga wa jinsi serikali inavyoendeshwa.
  6. W

    Ule usemi wa serikali ya viwanda naona umekwisha kabisa

    Mlizani viwanda vinakuja kwa kununua wabunge na madiwani ona sasa kila kitu kimebuma mapema kumbukeni kwa Mungu siyo kwa Mzungu huwezi kwenda kwa njia za panya. Damu za watu zimepiga laana mapema yetu macho mkichoka kabisa mtuambie.
  7. W

    Bunju, Boko Traffic wapo, Tegeta kibaoni wapo, Makonde wapo, Mwenge wapo. Kama nchi imefilisika tuambieni

    Kero kero mpaka unatamani kuacha gari nyumbani kwani kuna tatizo gani nchi hii?
  8. W

    Ujumbe mzito toka kwa Askofu Shayo wa Tarehe 31 December 2017.

    Baba Askofu asante Sana kwa mahubiri yako ya kufungia mwaka nadhani wenye akili wamekuelewa.
  9. W

    kupotea kwa mwandishi wa Gazeti la mwananchi, tumeenza kumsahau Kama Ben saa nane

    Inasikitisha Sana tena Sana tumeenza kumsahau ndugu yetu mwandishi aliyepotea, tusifanye makosa Kama tulivyofanya kwa kina Ben saa nane tukajipa matumaini atarudi bila kupaza sauti kwa pamoja. Ndugu zangu waandishi umoja wenu una Matata kabisa jambo hili si la kawaida lakini mmegawanyika Kama...
  10. W

    CCM mnatamani kubaki bungeni wenyewe Basi fanyanyeni hivyo 2020, ikifika 2025 mtatupa majibu.

    Naona wana lumumba mnatamani Sana ifikapo 2020 pasiwepo na mbunge wa upinzani yeyote Yule, basi fanyanyeni jitihada hizo mfanikishe bunge libaki la ndiyo Mzee then 2025 watanzania wanasubili majibu ya jitihada zenu za kubaki wenyewe.
  11. W

    Wakazi wa Dar, mtamuamini tena Makonda ?

    Mapema kabisa tuliwambia haya mambo ya bure ni laana tu kwanini msijiulize maswali ya msingi kuhusu Huduma mbovu za afya hapa nchini? Mkasahau kama kawaida yenu mnaishi kwa matukio na ndiyo maana akili zenu hazibadiliki kabisa, kesho tena huyo huyo Makonda atakuja na kiki nyingine mtaenda tu...
  12. W

    Hii ni aibu sana kwa Tanzania.

    najiuliza hata kama ni bure lakini kwanini iwe hivi watu wamejaa mpaka posta jamani, serikali jambo hili siyo sifa ni ishara ya Huduma mbovu kabisa katika hospital za serikali na watu hawana uwezo wa kwenda private hospital.
  13. W

    Kijana Mwaka 2018 umepanga kufanya nini?

    Tumshukuru Mungu kwa kutujalia kuwa hai mpaka siku ya Leo na tumuombe atupe uzima tufike mwaka 2018 na tutimize malengo yetu ya Mwaka huo hata kama hatukuyatimiza 2017. Binafisi kwa Mwaka 2018 nimepanga kufanya jambo moja muhimu sana na mambo mengine madogo madogo ya kunipatia kipato kama...
  14. W

    Kaimu Mwenyekiti wa Taifa, ACT Wazalendo: Rais Magufuli kukoma Urais 2020

    2020 MAGUFULI KUKOMA URAIS "Rais Magufuli ni bingwa wa kuvuruga. Amevuruga demokrasia. Amevuruga haki za watu. Na sasa anavuruga kwa kasi uchumi wa nchi. Tunatuma salamu kwake. Mwaka 2020 will be certainly the end of Magufuli's presidency. Mwaka 2020 ndio mwisho wa Magufuli kuwa Rais wa...
  15. W

    Q-NET naomba pesa yangu milioni 5, nimenunua saa mpaka sasa najuta kuwafahamu

    Nimepigwa na hawa wezi wa Qnet wamenishawishi nikaingia nikanunua SAA mil 5 nitapata Mara mbili zaidi ya hapo. Naomba mnipe pesa zangu tutauwana Mwaka huu mil 5 hivi hivi, then mpaka sasa bila bila nitakuja ofisini kwenu na polisi mambo ya utapeli iwe mwisho kabisa.
  16. W

    Kuuliza si ujinga, ni kweli south Korea ndiyo watengenezaji wazuri wa meli duniani?

    Nisaidieni jamani Jana nimemskia jamaa mmoja akisema hivyo mbele za watu.
  17. W

    Kuna waziri alisema ukikatika Umeme Dar atawafukuza kazi wahusika.

    Umefukuza wangapi kila siku Umeme unakatika.
  18. W

    Rich Mavoko achana na WCB huendani na kasi yao

    Ni kweli kabisa kaka Rich Mavoko umepwaya kabisa kama tulivyotegemea ungefanya vizuri zaidi kumbe imekuwa kinyume chake. Tatizo siyo kufanya wimbo na msanii wa Nigeria au popote pale hapana hata kipaji chako kimekufa kaka ni bora ukomae mwenyewe hao jamaa style yao huiwezi kaka nakuambia mapema...
  19. W

    Aise kifurushi cha Azam kimeisha nimebakiwa na TBC1 nimeteso makubwa.

    Tangu asubuhi baada ya coverage ya live kutoka Kilimanjaro Makonda akipokea Magari, vipindi vya TBC ni vya ajabu sana huelewi kabisa kama kuna watu wanalipwa mishahara pale TBC . Dah ngoja kesho nijikamue nipate pesa ya kifurushi niepukane na maajabu ya TBC.
  20. W

    Tuliopanga chumba na sebule na tuna familia na house girl, tukutane hapa.

    Kwa kweli Leo nimewaza sana baada ya Jana kulala mapema sana nikiwa na mke wangu na mtoto wangu wa miaka miwili pamoja na house girl. Sisi wenye chumba na sebule tuna changa moto sana hasa wakati unahitajita kufanya mapenzi na mkeo wa maisha wakati huo msichana wa kazi amelala sebuleni au yuko...
Back
Top Bottom