Hivi siku ile ulipokuwa kinyerezi ulisema umeme kukatika iwe mwanzo na mwisho ikitokea utawafukuza kazi watendaji wa Tanesco.
Sasa mbona umeme kila siku unakatika tena kwa mda mrefu, ulikuwa unamanisha nini ulipotoa kauli hiyo?
Kabaki na mashetani wenzie tu pia wastaafu wametuangusha sana hakuna maana tena ya kuwaheshimu, yaani wamekuwa mbwa koko na heshima zao zote aise njaa mbaya sana mtu anaenda kutawala milele watu wako kimya tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.