Search results

  1. FAHAD KING

    SoC01 Africa, we need a revolution in math..!

    Pause: "Neighbour, the times they are a-changin'..." __We need a revolution in numeracy, now! If there are no qualified Maths teachers at your childrens' school, don’t complain... Get together with other parents and fix at least this ONE problem now! Why? Because there is ZERO time to waste...
  2. FAHAD KING

    Kilimo cha Vanilla nchini Tanzania

    Umenena vyema sana kaka..N vyema tukapata pa kuanzia tena kutoka kwenye source inayoeleweka zaidi Swali kwako:Kwa hapa Tanzania soko la hili zao liko wapi hasa?
  3. FAHAD KING

    Niliyekuuzia nyumba yenye mauzauza Bunju nisamehe, sikuwa na jinsi

    Sawaaa!! Nitajitahidi sana Sema kuna siku nililala nikajikuta nje Asee
  4. FAHAD KING

    Umasikini hurithiwa; masikini huzaa masikini

    Nafikiri hii Quotation ina-summarize karibia kila kitu...Quotation bora sana tena ya kuchongewa FRAME kabisa Au nasema uongo matajiri wenangu???
  5. FAHAD KING

    Wawekezaji wanaweza angalia na zao la Sugar Beet

    Pia ni maeneo gani hapa nchini ambapo hilo zao linastawi bila shida?
  6. FAHAD KING

    Wawekezaji wanaweza angalia na zao la Sugar Beet

    Mkuu tuelezee na soko lake kwa ujumla.Je, ni lazima kulichakata ndo uuze au unaweza uza hata likiwa shambani?
  7. FAHAD KING

    Je ukitumia spidi ya mwanga kusafiri kwenye nyota utakuwa umekwepa miaka uliyoacha hapa duniani na wenzako

    Muda ni Flow Thing wala hakiathiriwi na mzunguko wa Dunia kwa jua.Ni kama Bomba ambalo maji yanapita hivyo mzunguko wa Dunia hauathiri Muda isipokua Gravity ndo inaathiri
  8. FAHAD KING

    Nitumie njia gani niisahau pombe?

    Huu ni mwaka wa 20 sasa nashindwa kuacha PUNYETO!!..Ukiweza nambie Tips naweza kuunganisha unganisha nikaweza na mimi
  9. FAHAD KING

    Tushirikishe na sisi ni kwa namna gani uliweza kufanikiwa

    Mkuu unafanya kazi Chuo gn asee!! Huenda kuongea na wewe itasaidia sana 🙌
  10. FAHAD KING

    CHADEMA baada ya miaka 28 hatimaye leo imekufa rasmi

    Nipe faida ya TUME HURU ya Uchaguzi
  11. FAHAD KING

    CHADEMA baada ya miaka 28 hatimaye leo imekufa rasmi

    Hujasikia ile kauli yake kwenye ile Video Clip? Ameshaunga mkono Serikali ya Zanzibar Utopolo kabisa
  12. FAHAD KING

    CHADEMA baada ya miaka 28 hatimaye leo imekufa rasmi

    Hao wabunge wameenda kinyume na msimamo wa CHAMA
  13. FAHAD KING

    CHADEMA baada ya miaka 28 hatimaye leo imekufa rasmi

    😂😂🤣🤣🤣Nimecheka Asee... Waulize mbele huko huku nyuma hakuna nafasi kabisa
  14. FAHAD KING

    CHADEMA baada ya miaka 28 hatimaye leo imekufa rasmi

    Huu no USALITI mkubwa sana.Hawafai kuendelea kuwepo ndani ya chama CDM imejidhoofisha sana,sijui watasema nini mbele ya Wananchi 2025
Back
Top Bottom