Search results

  1. laptop90

    Mifungo ya Kwaresma na Ramadhan

    Hiki ni kipindi cha mifungo kwa imani zote yaani Wakristu na waislamu. Ni kipindi ambacho viongozi wamekua wakisisitiza kutokupandisha bei ya bidhaa. Kauli hii ya msisitizo inakolezwa na na MFUNGO WA RAMADHAN. Wanasahau pia ktk mfungo hii pia KWARESMA IPO. Hua nimefuatilia sana hizi kauli ni...
  2. laptop90

    CHADEMA iwafungulie kesi Halima Mdee na wenzake

    Kwako wakili mbobevu Kibatala wafungulie kesi 1: Uhujumu uchumi kwa kulipwa wakati syo wabunge halali 2: Kesi ya kugushi nyaraka za CHADEMA Naomba wahi mapema mahakamani, na katika hilo mhusishe pia Ndugai(in person) na msajili wa vyama kwa kutengeneza mtandao wa kihali ulosababisha kujipatia...
  3. laptop90

    Ukaguzi wa Magari Mwezi Machi

    Tanzania imetangaza kua kutakua na ukaguzi wa vyombo vyote vya usafiri vya moto kwa mwezi March, na hela itakayopatikana itatumika kununua usafiri kwa mapolisi. Ni majuzi kama sii Aug au sept 2021 tulipeleka magari kukaguliwa na kupewa stika za nenda kwa usalama. Ni miezi takribani 5 tangu huo...
  4. laptop90

    Kwako Masha Mshomba, Mkurugenzi Mkuu wa NSSF

    Tunakupongeza kwa kuteuliwa kwenda kulisimamia shirika kubwa la NSSF ambalo kabla ya hapo alikuwepo bwana Erio. Baada ya pongezi zangu nikupe dondoo za kitu cha kufanya mara uingiapo na kuanza kazi. Kwanza ujue Erio alikuwa ni mtu wa aina gani. Kwa ufupi Erio ni kati ya watu wabaya sana ambao...
  5. laptop90

    Mkulazi ya NSSF

    Wanabodi, Miaka minne iliyopita enzi za utawala wa Mkurugenzi mkuu Kahyarara tuliaminishwa baada ya miaka miwili kutakuwa na uzalishaji wa tani kadhaa za sukari toka katika kiwanda cha Mkulazi na Mbigiri. Sasa ni miaka miwili zaidi hakuna kinachoeleweka. Hapo awali palitokea fitina...
  6. laptop90

    PhD ya msemakweli ni mpenzi wa Mungu

    Hii ndio post iliyompoteza BEN SAANANE ni kuhusu PHD feki ya MAGUFULI Angalizo: Hasira hazitasaidia hapa. Uchochezi ni kushindwa kufafanua kitu ulichokitetea mbele ya Maprofesa. Najadili Sakata la Vyeti Feki na hali ya Ph.D ya Mhe. Magufuli. Tuanzie hapa kwanza ndio tusonge mbele. Wale...
  7. laptop90

    Itakumbukwa kuwa Lowasa alitukanwa sana akiwa ndani ya CCM na hata alipotoka CCM

    Itakumbukwa kuwa Lowasa alitukanwa sana akiwa ndani ya CCM na hata alipotoka CCM. Wengine walifikia hatua ya kusema atakufa mda sii mrefu na kati yao kama sii watatu basi wawili walishakufa kabla ya Lowasa. NIMETUMIA NENO KUFA MAANA NA WAO WALILITUMIA. Lowasa kwa busara alomjalia Mungu...
  8. laptop90

    Maneno aliyoandika aliyekuwa staff NSSF kwenda kwa mwenzake

    Habari za mchana. Nina taarifa kuwa baada ya fitna kubwa ulizotufanyia *WAISLAMU* na udhalili mkubwa kabisa wa makusudi, hatimaye nawe leo umehamishwa. Bila shaka unayakumbuka maneno yangu haya yafuatayo:- _*Ndugu yangu Mbwette, nawakumbusha tu kuwa hizo ni dhamana na zina mwisho. Tulikuwepo...
  9. laptop90

    USHAURI:MENGI AKAAGIWE UWANJA WA TAIFA

    Kutokana na hali halisi na kwa kuzingatia Mengi amegusa watu wengi ktk nchi hii, basi watu wengi wangependa kumuaga kwa makundi tofauti. Kwa maono yangu Karimjee hapatoshi kuhimili idadi ya watu wataopenda kutoa heshima za mwisho, karimjee kuna hali ya kaubaguzi wa aina ya watu kuingia hivyo...
  10. laptop90

    Tunaomba kujua mamlaka ya waziri wa mambo ya ndani na IGP kwa wateule wa IGP wanaoapishwa na Rais

    Kwa kawaida kwenye jeshi la polisi kwa ngazi ya kamishna wamekuwa wakiteuliwa na IGP Na kuvikwa vyeo na rais.Je kwa mantiki hiyo waziri anaweza kuwafuta kazi makamishna hao?
  11. laptop90

    Kwenu Board ya Uhasibu na Ukaguzi(NBAA)

    Kwa miaka mingi bodi hii imekuwa iki recognize wataalamu wa uhasibu wale wenye CPA kama wanachama wao walioko registered na board hiyo. Kumekuwepo na board nyingi za wanataaluma, zikiwemo Board za madaktari, Board za ma engineers nk, board hizi hazihitaji kuwa mwanachama pale unapokuwa daktari...
  12. laptop90

    Uchumi wa Tanzania wapaa

    wanabodi, ktk press conference ya msemaji mkuu wa serikali amesema uchumi unakua kwa 7.1. Kwa sasa cement imepanda toka 9500 mwaka 2015-16 hadi 14000-15000 mwaka 2018, hapa maanake nini!? Wachumi nisaidieni
  13. laptop90

    Serikali na utumishi mulikeni Mamlaka ya Usimamizi wa Shughuli za Bima (TIRA)

    Kumekuwapo na malalamiko ya chini kwa chini juu ya ajira za upendeleo zinazofanywa na CEO wa TIRA, sasa ni bora likafanyiwa kazi mapema kabla hali haijawa mbaya kama ilivyokuwa nssf. Cc:JPM
Back
Top Bottom