Search results

  1. R

    Mwigulu: Sijawahi kuwasiliana na Dr. Emmanuel Nchimbi kwa e-mail tangu nizaliwe

    Hawa ndo tunawaita wawakilishi wetu na watungaji wa sheria khaa!
  2. R

    Kifo cha Dr. Mvungi: Madaktari wa Muhimbili na Afrika Kusini watofautiana

    Hapo mkweli anajulikana hakuna haja ya kumtafuta kwa tochi. R.I.P Dr Mvungi.
  3. R

    Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virusi

    Huu ni unyama sana.Anapaswa kujiuzu mara moja.
  4. R

    Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virusi

    Tatizo la viongozi wetu hawa ni kwamba akili za juu zimehamia chini.
  5. R

    Rais Kikwete arudisha zawadi ya dhahabu

    Unafiki ni dhambi inayotafuna nchi yetu.
  6. R

    Kumbe Mshahara wa Rais Wa Bongo Million 32 Ni Peanuts Kulinganisha na Wengine Africa na Mambelez!

    Uchumi wao ukoje ukilinganisha na wa kwetu? What is their GDP per capital in a year?? There are alot of factors to consider and nat just the figure in question. I urge you think outside the box.
  7. R

    Ndugu wa 'mume' wa Ufoo waja na mapya

    na inafanyika makusudi kupotosha ukweli.
  8. R

    Ufoo Saro wa ITV ajeruhiwa kwa risasi, mamake auawa!

    Aiseee Mungu ampe nafuu na amrudishe katika hali aliyokuwa nayo. Pole sana familia ya Ufoo
  9. R

    Ivona Kamuntu (Startv): CHADEMA Wameshajitoa Katika Muungano...!

    hahaha jf is never boring nilikuwa na stress zishaisha.
  10. R

    Magazeti ya Mtanzania na Mwananchi yafungiwa na Serikali!

    Hahaha kweli sikio la kufa halisikii dawa na asiyefunzwa na ***** hufunzwa na ulimwengu. Nimeamini mpiga ngumi ukutani huumiza mkonowe na kizuri chajiuza kibaya chajitembeza.
  11. R

    Yaliyojiri: Kongamano la amani ya Tanzania - Julai 28, 2013

    sidhani kama anaelewa anachokiongea
  12. R

    Yaliyojiri: Kongamano la amani ya Tanzania - Julai 28, 2013

    Aisee inasikitisha sana,kumbe jeshi linafanya unyama wote huu? Amani haiwezi kupatikana kwa namna hii.
  13. R

    Kila Kadi ya Simu ya Mkononi Kutozwa TShs. 1,000 Kwa Mwezi

    Watu wenye dhamana ya kutetea maendeleo ya watanzania walalahoi waliopoteza matumaini wanazidi kuwanyong'onyesha binafsi imenisikisha na kuniumiza sana
  14. R

    Ninalaani vikali kukamatwa kwa Lema! CHADEMA msipochora mstari...

    Wakuu mambo yanayoendelea huku ni makubwa sana,lakini daima haki hushinda dhulma.
  15. R

    Mabomu yarindima chuo cha uhasibu Arusha IAA baada ya wanafunzi kugoma

    subiri wenye uhakika basi ili usiseme porojo..Umeangalia muda niliopost kuwa niko kwangu?una uhakika gani kuwa sikutoka na kwenda eneo la tukio? Tulia kwanza sio unaropoka tu.
Back
Top Bottom