Search results

  1. kiizarob

    Ushauri wa lishe kwa watoto mapacha wa miezi miwili

    Habari wakuu, niende moja kwa moja kwenye mada. Nina watoto mapacha wana miez miwili sasa. Kiukweli wameanza kusumbua hivi karibuni nafkri ni kutokana na kutotoshelezwa na maziwa ya mama. Nafkria kuanza kuwapa maziwa ya ng'ombe ila watakuwa wanaendelea pia kunyonya kwa mama yao. Ushauri juu...
  2. kiizarob

    Kaniita 'check bobu'. Maana yake nini?

    Habari wana JF hope mko vizuri. Niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna mama mmoja hapa mtaani from nowhere kaniita chek bobu, nimeumiza sana kichwa kujua maana ya hilo jina ila nikakumbuka kuwa kuna wana JF wanaweza kunisaidia maana ya CHEK BOBU. Naomba msaada wadau ili nieendelee kudadavua uyu...
  3. kiizarob

    Bata wanahitajika

    Habari wana JF, nafuta bata wa kula. Budget yangu ni 25,000 tsh@ 1 nahitaji bata 6 Nipo Dsm, aliye nayo ani pm tuweze kuongea zaidi.
Back
Top Bottom