Search results

  1. rilprogrammer

    Laptop inauzwa kwa bei nzuri sana

    ahsanteni wote kwa maoni yenu. Laptop imeuzwa tayari.
  2. rilprogrammer

    Laptop inauzwa kwa bei nzuri sana

    ahsante kwa maoni yako.. ila bei tajwa ni halisi kwa computer husika.
  3. rilprogrammer

    Laptop inauzwa kwa bei nzuri sana

    ahsante.. ila kwa hiyo bei.. ni sahihi.
  4. rilprogrammer

    Laptop inauzwa kwa bei nzuri sana

    Habari. Laptop inauzwa kwa bei nzuri sana, imetumika ila ipo katika hali nzuri sana. BEI:500,000/=. Mahali:Dar es salaam. Utatumiwa kama upo mkoani. Aina: Core i 5 4gb Ram hdd 500GB Hp probook 450 g2 battery. 3 hours 0753651541
  5. rilprogrammer

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nafata mikeka yako kimya kimya,na unanipa nguvu ya kusonga mbele. Nawashukuru wote mnaotuongoza humu sisi majunior. Leo nayo siku.
  6. rilprogrammer

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu deeppond kwanza nikupongeze kwa kazi nzuri,nimefatilia predictions zako kweli uko makini,hata pale unapokosea unaona kabisa you were close to win. Naomba uendelee kupost betts zako ili nasi tutembee nazo,pia naomba kujua application gani hii inayoonyesha hizi statistics ili nami niongeze...
  7. rilprogrammer

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kifupisho cha elfu moja(1000) katika uandishi ni "k"...mfano 1000=1k 10,000=10k 100,000=100k Hapo 30000k nadhani ulikua na maana ya 30k
  8. rilprogrammer

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hongera saaana... Hapa ni kutembelea nyota yako tu... Naomba utupie kila ukiweka mkeka..ibaki ujasiri wetu tu kufata au kuacha[emoji3] [emoji3]
  9. rilprogrammer

    Software Nzuri Kwa Ajili Ya Kuombea Mkopo

    Ipo..njoo DM kwa maelezo zaidi na kujua hitaji lako kwa kina Sent using Jamii Forums mobile app
  10. rilprogrammer

    Nahitaji Toyota IST kwa 6 Million

    Ipo Alteza namba D, 6.5mil Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
  11. rilprogrammer

    Fundi Magari

    Samahani..nielimishe, unaposema kufanya service ya gari...ni vitu gani hasa katika gari ni lazima viangaliwe ili kuhakikisha utendaji sahihi wa gari Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
  12. rilprogrammer

    Natafuta fundi wa TV

    TV TLC,hii haionyeshi picha japo Sauti inasikika,kama una uhakika wa kutatua tatizo ni PM
  13. rilprogrammer

    Nyumba ya kupanga inahitajika

    Nyumba angalau iwe chumba na sebule, jiko na choo cha kujitegemea, maji na luku ikijitegemea itakua njema zaidi, maeneo ya Magomeni, Sinza, Mwenge au Kimara mwisho, Baruti tokea Ubungo, sina mda wa kuzunguka kwahiyo dalali au mwenye nyumba inayokidhi mahitaji hayo ani pm, tutapeana taarifa zaidi...
  14. rilprogrammer

    Laptop mpya inauzwa

    Hakika ni dhamani stahiki kwa hii bidhaa..maelewano yapo pia..karibu tujadili
  15. rilprogrammer

    Laptop mpya inauzwa

    Zipo HP pia ..upo wapi eliezar
  16. rilprogrammer

    Laptop mpya inauzwa

    Dell latitude E6430, hdd 500gb, ram 8gb, core i7, speed 2.9ghz, webcam, Nvdia graphcs card, bei laki 9,computer mpya kabisa ipo Dar es salaam ni mpya kwa maana ya upya, haijatumika kokote. Mnunuaji ani pm Sample pictures included
  17. rilprogrammer

    Laptop mpya inauzwa

    Dell latitude E6430, hdd 500gb, ram 8gb, core i7, speed 2.9ghz, webcam, Nvdia graphcs card, bei laki 9,computer mpya kabisa..ipo dar..ni mpya kwa maana ya upya, haijatumika kokote..mnunuaji ani pm.
  18. rilprogrammer

    Suzuki carry inauzwa 5.8mill

    Nachukizwa sana na watu wa namna hii...kama we huwezi kununua kausha tu...mnunuaji ataenda kuona bidhaa..akilidhika nayo watafanya biashara,unaongea utadhani Hiyo pesa unatoa wewe..acheni tabia ya kukurupukia post za watu..mnaboa kinyama..kama unataka kuwa mama ushauri Fungua center ukawashauri...
  19. rilprogrammer

    Jokofu/fridge linauzwa Magomeni, Dar es salaam

    Ahsante kwa udadisi wako...limeshauzwa tayari...
  20. rilprogrammer

    Jokofu/fridge linauzwa Magomeni, Dar es salaam

    Sold..today..ahsanteni sana
Back
Top Bottom