Search results

  1. L

    Hali ilivyo kituo cha Mwendokasi Kimara Korogwe, wengine waghairi na kutoka nje ya kituo

    Mkuu inaonekana una duka la pikipiki unataka watu wakuungishe😂
  2. L

    Mabasi ya Allys Star na Katarama Express yapigwa 'Stop' kusafiri usiku

    Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza😂, halafu katika watu ambao hutakiwi kuwasifia kwa ustaarabu ni watu wa mabus coz wanaweza kukushangaza anytime
  3. L

    Mchekeshaji bora Tanzania kwa sasa

    Joti na stand up comedy wapi na wapi?
  4. L

    Mchekeshaji bora Tanzania kwa sasa

    Au kamfananisha😂
  5. L

    Biashara ya Restaurant/ Mgahawa Kahama

    😂😂😂Hakuna sehemu watu wasipokula kweli, kikubwa ahakikisge huduma zake ziko vizuri na usafi
  6. L

    Ni mambo gani ambayo ukifanya kwa kutumia pesa yako nafsi yako hupatwa na furaha sana na amani?

    Nikitoa pesa kwa ajili ya kumnunulua kitu mzazi wangu najiskia amani sana
  7. L

    Mabasi ya Allys Star na Katarama Express yapigwa 'Stop' kusafiri usiku

    Happy Nation mwendo wa kobe?!!! Mkuu ushawahi iona hata happy Nation kweli? Hii Happy Nation ni onatembea balaa tena hii wiki nzima alikuwa anawwpita Ally's na Katarama gepu kubwa tuu sijui kaponaje
  8. L

    Mabasi ya Allys Star na Katarama Express yapigwa 'Stop' kusafiri usiku

    Hizo zinazoenda mwendo wa kobe ndo mbaya sasa usijidanganye eti ni salama coz unakuta service yake yenyewe sio ya uhakika, dereva posho analipwa kidogo amejaa stress, mnakaa masaa mengi barabarani mwisho dereva anachoka maana siku nzima yuko road
  9. L

    Nahitaji kupungua Mwili/ Kilo. Naumia sana

    😂😂😂Haya majibu nilikuwa nayatafuta🤣🤣
  10. L

    Nahitaji kupungua Mwili/ Kilo. Naumia sana

    Nikiwa na miaka 10++ nilikuwa mnene sana ila baada ya kuingia boarding nilipungua sana.. kilichonikuta ni limit ya chakula nilichokuwa nakula, maana asubuhi ni uji mkavu, mchana ugali na haushibi, usiku ni ugali na haushibi kivile (wale tulosoma shule za katoliki maharage kama Karanga)...
  11. L

    Kila siku mabasi mapya yanaingia bongo lakini hutosikia tangazo la nafasi za kazi, hizo ajira wanawapa akina nani?

    Habari wakuu! Nadhani kwa kipindi hiki wengi mnaelewa katika tathnia ya usafirishaji abiria (mabasi) kumekuwa na ushindani mkunwa sana. Yaani katika ushindani huo imefikia kipindi watu wanaingiza mabasi nchini kwa wingi kuliko kawaida, lengo ni kuweza kuhimili ushindani huo kwa kuboresha huduma...
  12. L

    Gari BMW X3 tatizo lishalekebishwa lakini Taa inaendelea kuwaka

    H Iyo inatakiwa ifanyiwe reset na diagnosis machine
  13. L

    Rais Samia kununua kwa milioni 10 kila goli la Taifa Stars kufuzu AFCON

    Hongera sana mama Samia, hamasa yako inaonekana
  14. L

    Uwezo wa gari kukimbia angalia RPM sio KMH

    Yaani kwakweli huyu ni injinia wa yudisimu kabisa😂😂
Back
Top Bottom