Search results

  1. srinavas

    Je, ni sahihi Mwamposa kuimba wimbo wa taifa kanisani kwake?

    Mbona tumeuimba sana tukiwa mashuleni huko??
  2. srinavas

    Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

    Hii Sio sawa kabisa
  3. srinavas

    Biashara ya kutoboa kirahisi Dar 2024

    Mkuu milion 5 sio mchezo
  4. srinavas

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Nataka niamzishe uzi wa kutokupeana likes. Comment chochote ila haupewi like yoyote. Mnanishaurije wadau??
  5. srinavas

    Kilimanjaro: Ajinyonga hadi kufa kisa wivu wa kimapenzi

    Labda iwe zaidi ya mapenzi labda ugumu wa maisha
  6. srinavas

    Tujikumbushe maisha ya chuo wadau

    UDSM miaka ile ilikuwa poa sana. Zama za kwenda savannah posta then nakaa mpaka asubuhi ili nirudi na daladala
  7. srinavas

    TANZIA Pumzika kwa amani Sanctus Mtsimbe

    R.I.P Boss, Huyu alikuwa Country Manager wetu kwenye kampuni ya Wananchi group of Companies (Zuku & SimbaNet) Apumzike kwa amani na ninamshukuru kwa Kunipa fursa ya Ajira bila ya kunifahamu na akaniamini akanipa Kazi..
  8. srinavas

    Design hii ya wanawake wanastahili kutorokwa kwenye bill

    Mkuu, Kwa usawa huu kama huna maokoto wewe kaa mbali tu na hao viumbe. Maana ni stress tupu Ila pia naomba share namba mkuu na mm nikajibless na tunda kimasihara. Hao wa namna hiyo ndio nawapendaga mimi
  9. srinavas

    Umekula tunda gani leo?

    Peas
  10. srinavas

    Bikira ina nini special kwa watu wa dini hadi waitukuze kiasi hiki?

    Utajuaje kuhusu bikira ya nyuma?? Kama siku zote alikuwa anatumia nyuma ili kutunza mbele
  11. srinavas

    Wizi wa viatu msikiti wa Manyema

    Ila kuna watu hawaogopi aisee. Kweli unaiba kwenye nyumba ya Ibada
  12. srinavas

    Rais wa Awamu ya Pili, Mzee Ali Hassan Mwinyi alazwa kwa maradhi ya kifua

    Tunamtakia afya njema apone arejee kwenye kawaida
  13. srinavas

    Hakuna ubishi, S2kizzy ni producer bora kuzidi mkongwe Master Jay

    Kwani huyo master Jay bado anafanya kazi ya ku produce nyimbo? Maana sijawahi kumsikia kabisa
  14. srinavas

    Hii ndiyo itakuwa safu mpya ya Uongozi CHADEMA

    Mdude hapana aisee
  15. srinavas

    Msaada; Tv za kichina nzuri ni zipi?

    Mimi ni muuzaji wa TV , ukitaka tv nzuri hakikisha tu unapewa Warranty card imejazwa na ipo verified. Achana na brand , brand zote zinakufa muda wowote, hakuna cha LG wala Samsung, zote ni uchafu
  16. srinavas

    Diamond: Manara ana mchango mkubwa kwenye mpira, tukiendekeza chuki za mtu mmoja mmoja ni kudidimiza mpira. Aiomba Serikali imfungulie

    Yeye manara Soka ndio lina mchango mkubwa kwenye maisha yake. Na sio yeye ana mchango mkubwa. Ametumia vibaya nafasi zake kwa kujinufaisha mwenyewe, kujitengenezea brand yake. Yeye ndio kapata jina kwa sababu ya soka la tanzania na sio soka la tanzania limepata jina kwa sababu yake.. muwe na...
  17. srinavas

    Kuna mambo hutokea katika Uhusiano ujue mwenzi wako ni mtu wa namna gani. Huyu wangu nimegundua hana akili

    Mkuu, Kichaa kama huyu umemtolea wapi?? Yaani hata aibu hana. Na hapo kwenye kushindwa kutofautisha L na R ndio nisingekuqa hata nasoma message zake. Huyu mwanamke sijui hata kama kasoma kwa kweli Pole sana ila wanawake wapo wengi sana aisee. Piga chini Tembea
  18. srinavas

    Polisi aliyekodi majambazi kumuua mumewe akamatwa, hawara ni miongoni mwa wahusika

    Jamani ni mambo ya kawaida kwa watu waliopo kwenye ndoa , Tusimlaumu sana polisi.
Back
Top Bottom