Search results

  1. R

    African Satellite World and Sat Gear

    Hi Members Where I can track sports 24 hd Channel on 6ft Arusha Tanzania?
  2. R

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Hiyo video order inapatikana wapi Google au play store, kama Google naomba msaada wa link yake Sent using Jamii Forums mobile app
  3. R

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mwenzako kafunga ili awezwe kusamehewa makosa yake na awe karibu na muumba wake
  4. R

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Wakati umefunga unatakiwa kutekeleza matakwa yote ya M/Mungu na kujizuia na maasi ili uweze kufikia lengo LA funga
  5. R

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Juu ya miti kuna ndege wengi amba hufuata matunda na mapumziko.
  6. R

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Amani inapatikana kwenye busara na kukipa kila kitu haki stahiki.
  7. R

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kibera ni mji uli karibu na Nairobi ila maisha ya hapo ya hali ya chini sana
  8. R

    Ipi ni web browser nzujri kwa computer?

    Uc browser kwani katika kudownload ipo vizuri na hata torrent file na pia hua ina boost speed.
  9. R

    Natafuta drafti kama tunalocheza Tz la android.

    Kuna draft la online ila ni slow king ukiweza ni zuri maana mnashindana na watu wa nchi tofauti ingia flyordie
  10. R

    Njoo tujuzane ujuzi wa kutafuta sattelite za chaneli bila kubahatisha

    Ok nashukuru. Ila frequency za channel zipo vizuri na na diesq ipo vizuri. Na nilijaribu receiver nyingine ikakubali. Na mpaka chaneli za free zilizoko azam hazionekani kama afrika tv, imani tv, peace tv,... Ukisearch linatokea jina tu ila picha hamna
  11. R

    Njoo tujuzane ujuzi wa kutafuta sattelite za chaneli bila kubahatisha

    Mkuu mi na shida, nina king'amuzi cha azam nimeunganisha na dish la ft 6. Mwanzo ilikua inaonyesha chanel zote zilizoko azam dish na la ft 6. Ila kwa sasa zimebaki za azam tu. Ila frequency za dish la 2 zipo na frequency zake zote zipo vizuri ila chanel zote za dish la ft 6 nikisearch...
  12. R

    Mkandawile, Mbuga, Hidden agenda,Moody physics, mako maku, et al

    Enzi hizo nakumbuka practical unafunga safari pugu sec
  13. R

    Mkandawile, Mbuga, Hidden agenda,Moody physics, mako maku, et al

    Kuna jamaa alimeza four figure four figure alisoma tambaza mr magessa
  14. R

    Mkandawile, Mbuga, Hidden agenda,Moody physics, mako maku, et al

    Umenikumbusha mbali sana tulipokuwa tunachungulia hadi dirishani mchikichini. Kuna mama Shija kemia
  15. R

    Javascript For Beginner In Swahili

    Tupo pamoja mkuu usihofu.
  16. R

    Nimetengeneza App ya kumsaidia mtoto katika mathematics

    Iko poa ila. Badala ya kuselect weka option user aweke jibu.
  17. R

    Tatizo la Samsung s4

    Jaribu kuangalia application ambazo zina run inawezekana umefungua nyingi kwa wakati mmoja. Jaribu kuzi uninstall zile ambazo hutumii kabisa.
  18. R

    Msaada: Nitajuaje kama hii Samsang ni copy?

    Downloa cpu z halafu angalia information zake oanisha na za samsung
Back
Top Bottom