Jamaa mbona unatupa chai ya pilipili? demu wakat anapewa mimba alikua ana miaka 14, sasa hivi ana miaka 20 afu mtoto ana miaka 3. Sema ID yako nimeipenda
Mbona anaonekana ni mrefu sana, watu wanavyodai anasimamia mkia, akisimama c anamzidi binadam kama mara 2, ni ngumu sana kupambana nae, sijajua kama ukikutana nae af ww ukatulia tu bila kujitingisha atakudhuru? au ataona huhitaj ugomvi atakuacha na kuondoka
Mleta mada kasema mwenyewe anamshukuru Mungu kwa kumpa wa kufanana nae, na mm nimepita humohumo nimempongeza kwa kupewa wa kufanana nae.
Sijajua wamefanana nini mkuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.