Search results

  1. dkamgu

    Nimenunua home theater LHD657 Model, lakini cha ajabu ina Sauti ya kawaida sana

    Mkuu me nilinunua Radio LGCM5760 Watt 1100. Mwanzoni nilikuwa kama siielewi nilikuwa naiunganisha kwenye computer Kwa kutumia haya manyaya ya kichina nilikuwa naona inamziki wa kawaida Sana. But siku Computer yangu ilipokubali kuiunga hii radio Kwa Bluetooth hapo ndo nilipoanza kusikia mziki...
  2. dkamgu

    Tuweke ushabiki pembeni, ipi ni medali hapo?

    Final mechi 2 ndo Iko poa Ili kama ukifungwa tujue umefungwa kweli sio Kwa bahati mbaya. Maana unapewa nafasi ya kurekebisha makosa kama ulikosea mechi ya kwanza
  3. dkamgu

    Uzi maalum: Nukuu kutoka kwenye Movies au Series

    "Nothing unifies a people like a common enemy" (Agamemnon in Troy)
  4. dkamgu

    Uzi maalum: Nukuu kutoka kwenye Movies au Series

    "peace is for the women,and the weak.Empires are forged by war. ( Agamemnon in Troy)
  5. dkamgu

    Uzi maalum: Nukuu kutoka kwenye Movies au Series

    "There are no pacts between lions and men" ( Achilles- Brad Pitt)
  6. dkamgu

    Uzi maalum: Nukuu kutoka kwenye Movies au Series

    "The Gods only protect the strong" (Agamemnon in Troy)
  7. dkamgu

    Uzi maalum: Nukuu kutoka kwenye Movies au Series

    "Nothing makes a person more productive than the last minutes" (John Ciard)
  8. dkamgu

    Series (Special thread)

    OUTER BANKS Ndiyo Jina la series
  9. dkamgu

    Series (Special thread)

    Hiyo hutajuta kaka inakisa kitamu sanaaa.
  10. dkamgu

    Series (Special thread)

    OUTER BANKS
  11. dkamgu

    Series (Special thread)

    The big John anatumia Zaidi ya miaka 20 kufanya utafiti ni wapi meli ya matajiri ilizama na shehena ya dhahabu. Kwa BAHATI mbaya inatokea kutokuelewana na rafiki yake ambaye Huwa anamkodishaga boti yake KWENYE harakati ya kuitafuta the royal merchant gold. Wakiwa Kwenye boti katikati ya kisiwa...
  12. dkamgu

    Series (Special thread)

    icheki na outer banks. Hautojutia muda wako
  13. dkamgu

    Pele aingia katika kamusi kama kitu au mtu asiye mfano kwa ubora wake.

    Mayele tafsiri yake ni mtu mwenye juhudi ya kutafuta mafanikio au mtu mwenye kujituma zaidi
  14. dkamgu

    Mark Dacascos mkali wa muvi ya Drive

    Yaah yule demu Alifariki 2009 , akafuatia mume wake anaitwa Simon Monjack MWAKA 2010. Walikuwa wanabwia Unga kinomaa.
  15. dkamgu

    Mark Dacascos mkali wa muvi ya Drive

    Brittany Murphy (R.I.P)
  16. dkamgu

    Mbappe kanitekea demu wangu

    Cha Kufanya na wewe anza kuwasifia kina Mobeto ili muende sawa. Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
  17. dkamgu

    Yaliyotokea Leo Chamazi baina ya Azam vs Coastal Union ni aibu kubwa sana kwa soka letu Tanzania

    yaah Angalia mechi ya Argentina na Saudi Arabia, dakika za nyongeza zilikuwa 8 na bado mwarabu akapoteza muda kwa kujiangusha hovyo. ikabidi refa aongeze dakika nyingine 8. Kiufupi mambo ya kupoteza muda ni uhuni.
  18. dkamgu

    Kumi bora yangu ya wakati wote ya nyimbo kali za muziki wa Congo

    Ongeza na Colonization. Hiyo studio iliyorecord nyimbo ya Sije is savai sca waliitendea haki sanaa
Back
Top Bottom