Search results

  1. moudytz

    Msaada kuhusu tv za solar wakuu

    Msaada wakuu nilikuwa natumia tv hizi za Mobisol badae ikawa inanisumbua nikaiuza. Naomba kujuzwa ni tv ya kampuni gani za solar ambay ni nzuri kwa uangavu wa picha na uimara wake pia na bei pleasee.
  2. moudytz

    Naomba kufahamu bei ya pikipiki aina ya XR 250 mpya

    Wakuu naomba kujua bei ya hii pikipiki ikiwa bado mpya kabsa kwa hapa Tanzania naipenda kuliko hata gari
  3. moudytz

    Naomba kujuzwa kuhusu king'amuzi cha Azam TV wakuu

    Wakuu naomben ushauri nahitaj kununua king'amuzi cha Azam TV kwa wale wenye uzoefu navyo Naomba kujua list ya local channel. Uangavu wao unazidi startimes ya dish? Hdmi cable ni bure wakati wa kununua king'amuzi au una uziwa Mwisho kabisa mimi ni mtumiaji wa sola sijafikiwa na umeme bado...
  4. moudytz

    Wakulima wa nyanya tukutane hapa

    Mimi ni mkulima wa nyanya nipo Singida. Sio mbaya tukabadilishana uzoefu kuhusu zao hili ambalo kimsingi zao hili linawatoa sana watu ukilima ipasavyo. Hebu tuambiane upo mkoa gani na mbegu ipi unatumia na vipi changamoto mnazo kabiliana nazo kwa kipindi hichi na soko kwa ujumla hiyo sehemu...
  5. moudytz

    Wale tunaotumia mitambo ya solar ya Mobisol tukutane hapa

    Wakuu wale tunaotumia mitambo ya Mobisol naomba tuelezane changamoto za hii mitambo ya solar. Mimi nina mwaka na nusu natumia mtambo wa 120 watts ila mahitaji hayaendani na maneno yao ya mwanzo wanapo kuuzia na ukiwapigia simu kuhusu changamoto unazo kabiliana nazo wanakupa sababu za hovyo.
Back
Top Bottom