Search results

  1. S

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Kwahiyo Mkuu hapo matajiri mbinguni nje nje?🤣🤣🤣
  2. S

    Watu watano wafariki dunia baada ya Lori kufeli breki kwenye mlima Mbalizi, Mbeya

    Maskini Kamanda Mpinga aliyekua RPC Mbeya aliwahi kutolewa kafara na Mwendazake kwa kushushwa cheo. Kisa ni kwanini hakukagua gari lililotokea Tabora na kuja kupatia ajali Mbeya usiku mwingi kwa ku fail brake!!! Marehemu alikua akitaka kula kichwa chako basi atakutafutia lolote la kukutosha na...
  3. S

    Tanga: Ashikiliwa kwa tuhuma za kuua baada ya kumfumania mkewe

    Tanga kunani pale? Nakumbuka enzi hizo kuna mchezaji mpira maarufu sana wa Coastal Union ya Tanga wana Maangush tulikua tukiaa nae jirani, katika mojawapo ya barabara za Tanga Siku moja alirudi nyumbani kwake ghafla na akamkuta mkewe yupo na njemba na wakiwa chumbani kwake, kwenye kitandani...
  4. S

    Huu ni upendo, utu wema au mtego?

    Wabongo aisee!!! Siku za nyuma kuna abiria mmoja kutokea Bongo aliingia matatizoni baada ya kulazimisha busu na kumbato(hug) kutoka kwa air hostess wa ndege ya Emirates iliyokua ikienda Marekani Jamaa alielewa vibaya kule kuchekewa chekewa na air hostess kua labda demu kamzimia asielewe yale...
  5. S

    Makapuku Forum

    Acha arudi turudishe heshima yetu. Tuondokane na ukame wa magoli
  6. S

    Makapuku Forum

    Hii habari ya Miquissone tamu sana aisee🤪
  7. S

    Tahadhari kubwa kwa mdau kamwe usitumie Neno " Nimefarijika" badala yake tumia Neno " Nimefarajika"

    Katu usitumie neno “Hamjamboni”. Neno sahihi ni “Hamjambo?”
  8. S

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Kimasihara inanukia😀
  9. S

    Uhaba wa maji Dar es Salaam kuwa historia, ujenzi wa Bwawa la Kidunda kuanza

    Ni miradi mizuri na muhimu sana kwa nchi. Jambo la muhimu ni kudhibiti tu mchwa wala fedha za umma maana kwenye miradi ya maji ndio kuna upigaji wa kiwango cha SGR
  10. S

    Wasanii wamjia juu Fid Q kwa kufanikisha Steve Nyerere kuwa Msemaji wa Wanamuziki wote Tanzania

    Ni mgogoro na vurugu za kutengenezwa kwa makusudi. Imepengwa iwe hivyo kwa nia na madhumini mengine kabisa na watu wazima are dancing to the tune. Nchi inaulinzi barabara kabisa hii😀😀😀
  11. S

    Kwa staili hii Simba hatuwezi kuchukua kombe la Caf

    Mkuu, unazungumzia kuchukua kombe wakati hata hiyo hatua ya makundi hatujavuka? Kuna wachezaji kadhaa hawana hadhi ya kuchezea Simba kwa ngazi ya kimataifa
  12. S

    Ushawahi kukutana na hii kamati ya Nidhamu? Tuambie ilikuaje!

    Ndio Rwanda wakaipa timu yao ya taifa ya soka jina la Manyigu (Amavubi). Ni wadudu wakali kweli kweli
  13. S

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Na mimi ningependa kujua. Kama ni jokes za kuchombeza baraza naomba Mkuu Mshana atuambia kua hii ni just for laugh
  14. S

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Kasema lini hii huyu Mwamba mkuu?
  15. S

    Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

    Sasa imekula kwake😀😀😀
  16. S

    Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

    Na kama alinunua 2013 na mikataba kama hivyo inajionyesha si transfer ya Title Deed ingekua ipo kwa jina la Makonda sasa hivi? Kitu gani kimepelekea transfer of ownership isikamilike miaka tisa baadae? Hiyo inayoonyweshwa na kubishaniwa ni mikataba. Tunataka kuona Title Deed yenye jina la...
  17. S

    Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

    Hata mimi sijaelewa hii post yako unamaanisha nini. What I wanted to express is that; Makonda has inflicted so much pain kwa baadhi ya watu hasa kwenye business community. Rafiki yangu Mpakistani akiwa one of his victims Ilipoingia awamu ya tano kulikua na mixed opinions huku wengine wakidai...
  18. S

    Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

    Tuliaminishwa kua Bwana PCM hagusiki hata na awamu hii. Lakini kwa kilichotokea kwenye sakata la hiyo nyumba linanipa mashaka na zile kauli za kua ana godfather wa ngazi ya juu sana na kwa hiyo anaendelea ku enjoy impunity
  19. S

    Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

    Dah! Kweli Enzi na Zama huwa hazidumu. Hubakia historia na simulizi tu
  20. S

    Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

    I see! Inaonekana hata transfer ilikamilika?! Hadi spouse consent? Hii ngoma naiona ikienda kuishia Land Tribunal
Back
Top Bottom