Search results

  1. M

    Kadi za Ikulu anazigharamia nani?

    Mwaka jana mtaalamu mkuu alipiga marufuku wizara na idara za serikali kutengeneza kadi za Xmas na vitu vya aina hiyo ambavyo husambazwa kwa madai ya kutokuwa gharama za msingi na kwa lengo la kuondoa matumizi mabaya ya fedha. Mwaka huu zimetoka kadi kwenda kwa walengwa mbalimbali kama Clouds...
  2. M

    Je, ni kweli tuna watalii wachache sababu hatuna ndege zetu wenyewe?

    Bwana yule anauaminisha umma wa Watanzania kuwa ndege zikija zitaongeza watalii na anatoa mfano wa Morocco. Kuweka rekodi sawa ni kwamba Morocco haipati watalii wengi sababu ya shirika lao la ndege, la hasha, Morocco wana vivutio vichache ila wanajua kuvisimamia na kuvitangaza Ulaya na America...
  3. M

    Je, hili ni agizo la RC wa Kagera au?

    Hii inawezekana kweli?
  4. M

    Shughuli za maendeleo zitakazofanyika Septemba 1 ni zipi?

    Karibu nchi nzima inasubiri Operation UKUTA ambayo imepangwa kufanyika tarehe 1 mwezi ujao, yaani Septemba. Vitisho karibu vyote ambavyo vimetolewa na mabwana wakubwa kwa nyadhifa zao mbalimbali vimejijenga katika hoja kwamba siku hiyo wananchi wasishiriki harakati hizo na badala yake wajikite...
  5. M

    Kwanini baadhi yetu hatuamini juu ya uwezekano wa Tanzania ya viwanda katika awamu hii ya tano

    Habari za weekend, Serikali ya awamu ya tano imeingia kwa gear ya kwamba Tanzania ya JPM inakuja kuwa ya viwanda. Ingawa ni vyema kuwa na malengo katika uongozi lakini hii injili ya viwanda ina matatizo. Tanzania ya JPM sana sana itakuwa ya miaka kumi; hakuna duniani na wala haijawahi kuwepo...
  6. M

    Iran na Marekani kuipa ushindi CCM 2015

    Duniani kote kuna Watanzania wa aina mbili tu - wale wanaoamini CCM itashindwa katika uchaguzi mkuu wa 2015 na wale wanaoamini kuwa itashinda. Kila kundi lina orodha ya sababu zake, lakini ipo sababu moja yenye pande mbili ambayo haimo katika orodha za wengi walio katika kundi linaloamini CCM...
  7. M

    Jumba la mtoto wa Gaddafi Uingereza lakabidhiwa kwa Serikali ya Libya (Eng)

    LONDON - The Libyan government reclaimed possession from Saadi Gaddafi of a London mansion worth 10 million pounds ($16 million) after a British court ruled on Friday it had been bought using stolen Libyan state funds. Anti-corruption activists said it was the first successful asset recovery...
  8. M

    Unafiki wa Marekani na ukibaraka wa Kikwete vinavyoangamiza Watanzania

    Siku wananchi watakapoamua kupigana dhidi ya udhalimu (kama itatokea wakawa na ujasiri huo) wanaofanyiwa na serikali iliyoko madarakani, Wamarekani hapa nchini wasiachiwe. Hii ni kwa sababu Marekani inajipambanua kuwa mpigania haki za binadamu duniani kote, lakini cha ajabu mauaji ya raia na...
  9. M

    Je, Nape Nnauye anapinga kila kitu cha Chadema?

    Siasa za nchi nyingi duniani, Tanzania ikiwemo, ni za milengo au vyama tofauti, lakini pamoja na utofauti huu yapo mambo ambayo huwa yanafanana na si jambo la ajabu kukuta mtu wa upande mmoja akikubaliana hadharani na mambo fulani ya upande mwingine. Tumemsikia Nape mara nyingi akikemea mambo...
  10. M

    AMIMI USIAMINI - Hii ndiyo fomu ya kuombea viza ya kuja Tanzania!

    Mara nyingi huwa tunazungumzia namna ambavyo nchi ya Tanzania inaendeshwa katika utaratibu wenye kutia aibu na fedheha kwa taifa na wananchi wake na inastaajabisha pale unapotafiti aina ya watu wenye madaraka ukilinganisha na uwezo wao. Atachment iliyopo kwenye mada hii ndiyo fomu raia wa...
  11. M

    Akina mama Kijo-Bisimba na wanaharakati wengine matatani

    Kwa mujibu wa taarifa za habari jioni hii, mashitaka dhidi ya wanaharakati akina mama Kijo-Bisimba, Ananilea Nkya na wengineo yamefikishwa kwa Mwanasheria Mkuu. Vielelezo ambavyo vimekamatwa ni pamoja na mabango yaliyotumika. Hii ni dhahiri kuwa serikali ya Baba Mwanaasha inajaribu ku-divert...
  12. M

    Swali kwa Pasco na waosha vinywa wengine

    Wapo watu humu, akiwemo mtajwa hapo juu, ambao wanampigia debe na kumng'ang'ania Lowassa kama luba wakiwa na uhakika wa asilimia zaidi ya mia moja kuwa 2015 ndiye atakayechukua uongozi wa nchi. Ikizingatiwa kuwa huyu bingwa ndiye mwenyekiti asiye rasmi wa CCM ya leo na kwamba kwa kiasi kikubwa...
  13. M

    Kazi na majukumu ya Meya hapa Tanzania ni nini?

    Utafiti wa haraka haraka usiohitaji utaalamu utakuonyesha kuwa katika nchi nyingi meya wa mji au jiji ni mtu mwenye madaraka na majukumu yanayofahamika na kuonekana wazi. Haya ni pamoja na masuala ya uchumi na uwekezaji katika mji, afya, miundombinu, mazingira, makazi, usalama, usafiri, n.k...
  14. M

    Je, hali ilivyo sasa, askari wanaogopa nini, na sisi raia tunaogopa nini?

    Kutokana na hapa taifa lilipofikia, mahala ambapo bila haja ya maelezo ushahidi uko wazi kuwa mwelekeo wa nchi ni lazima ubadilishwe; na kwa kufahamu kuwa hakuna aliyeko madarakani mwenye uwezo wa kubadili hali hii, maswali ya kujiuliza ni haya: 1 - Inafahamika kuwa askari tunaowaona kila siku...
  15. M

    Rwanda reduces poverty by 11.8%, (Tanzania tunafanya nini jamani?)

    One million Rwandans have emerged out of poverty in the last five years, six times faster than the country has achieved between 2000 and 2006, a new survey of household living conditions in Rwanda indicates. The survey, which represents the international benchmark for measuring poverty, will...
  16. M

    Mpango wa kijanja wa CCM Mwanza wagundulika

    Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa BAVICHA, John Heche, CCM wamepanga kuwa na kadi nyingi bandia za Chadema ambazo watu watapangwa wazirudishe wakati wa maadhimisho yao Mwanza ili ionekane wameivunja ngome ya Chadema. Anasema mpango huo umeshajulikana tayari ingawa hajaeleza hatua za kupambana nao...
  17. M

    Mgomo wa madaktari: Kigwangwalla kufukuzwa CCM?

    Wanabodi, hii imetoka jikoni kabisa: Jana jioni majira ya saa 10, kikao cha kamati ya wabunge wa chama cha mapinduzi ilikutana Dodoma kujadili mambo mbalimbali na hapo ndipo suala la mjadala wa sakata la madaktari ililipoibuliwa na Mbunge wa Nzega kuhusishwa na mgomo huo. Taarifa kutoka ndani...
  18. M

    Kenya kutumia teknologia ili kuepuka ya "Tume ya Uchaguzi ya CCM"

    Kenya counters vote-rigging with electronic register NAIROBI (Reuters) - Kenya will switch to an electronic register of voters to curb ballot-rigging after ballot boxes at the 2007 elections were found to contain the votes of people who were dead, the electoral commission said. The polls...
  19. M

    Tuwe wakweli - Uwezekano wa katiba mpya kabla ya 2015 upo?

    Zingatia yafuatayo halafu upime uwezekano wa katiba mpya kabla ya 2015: 1 - Mijadala ya katiba mpya inaendeshwa kwenye TV mijini wakati kuna watu wengi sana vijijini hata katiba ni nini hawajui. Uwezekano wa kila mtu kufikiwa na kuelewa umuhimu wa katiba mpya ndani ya miaka minne ni mdogo...
  20. M

    Mke wa Rais ana madaraka gani hapa nchini?

    Wakuu, leo (7/10/2011) mchana nilipata fursa ya kuzungumza na mmoja wa marafiki zangu ambaye ana taasisi ndogo ambayo wiki chache kutoka sasa itakayosherehekea miaka mitano tangu kuanzishwa. Akanijulisha kuwa kwa sababu inashughulika na masuala ya wanawake aliona vyema kumwalika Salma Kikwete...
Back
Top Bottom