Search results

  1. M

    Askofu Kakobe: Usalama wa Taifa msihangaike nami. Adai kuna kiongozi kavaa hirizi!

    Sasa tayari umeshasema kuvaa hirizi ni jambo la kawaida kwenye jamii zetu, why in hell do you need to know Kakobe ameonaje hirizi ya huyo kiongozi? Huoni jinsi ambavyo unajichanganya?
  2. M

    Je, huu ni ufuatiliaji wa uwajibikaji au udhalilishaji kwa bullying na intimidation?.

    Hivi wewe si juzi juzi tu ulipayuka humu kulaani jarida la The Economist lilipomuita Magufuli "bulldozer"; iweje wewe leo umuite "bully" na "intimidator" na iwe sawa? Ukweli ukisemwa na wageni ni fedheha ila ukisemwa na wenyeji ni sawa?
  3. M

    Dkt. Bashiru Ally ''amkaanga'' Lazaro Nyalandu

    Awe amekaangwa au hajakaangwa, awe ametoka kwa sababu za maana au za hovyo the point remains ameamua kuondoka CCM na ameshafanya hivyo. Haya mengine ni umbea na ufukunyuku tu kwa masuala binafsi ya mtu. It's not gonna put food on your table or pay your next salary.
  4. M

    Spika Ndugai: Walisema Spika dhaifu wakaingia kwenye 18 zangu

    Ule ugonjwa mkuu duniani kuna stage ukifika huwa unadhuru akili na kumfanya muathirika kuwa na hasira za ajabu ajabu na mihemko sababu ya kuchanganyikiwa.
  5. M

    Rais Magufuli asali kanisa la Wasabato(SDA) Magomeni

    Hakuna coincidence yoyote, usijenge taswira isiyokuwepo. Jaji Maraga ni muumini wa dhehebu la Wasabato na hata wakati wa usaili wake alisema hatafanya kazi siku ya Jumamosi. Kwenda kusali leo ni kawaida yake hivyo usitafute kuwachota watu akili kirahisirahisi.
  6. M

    Serikali ipo mbioni kutunga sheria mpya ya kusimamia vyama vya Siasa nchini

    Hivi hii dhana ya "Watanzania tunataka maendeleo" mnaitoa wapi? Unaposema unataka maendeleo unamaanisha yatoke wapi ili yaje? Hivi kwa akili zinazofanya kazi (ambazo sidhani kama unazo) unaona kabisa hili ni taifa linaloweza kuendelea? Kwa kukusaidia tu ni kwamba hakuna popote duniani taifa...
  7. M

    Magufuli awashukia viongozi UVCCM Shaka na Sadifa

    Unapoandika habari za Magufuli na utumbo wa CCM yake unatakiwa kutumia jina "Mwenyekiti wa taifa wa CCM" na si Rais, umesikia? Sitaki kurudia hili suala tena.
  8. M

    RC wa Dar hata kama hajapata div 1 ila ana upeo mkubwa kuliko wasomi wetu wa Tanzania

    Kelele za chura tu kutaka kutokea kwenye vyombo vya habari. Enzi za Dar Mpya mlimsifia hivi hivi sijui leo Dar Mpya imefia wapi. Hii ya leo baada ya wiki mbili hamna atakayeikumbuka wala kuizungumzia na litatafutwa jingine jipya. Akili zilezile, Bashite wenu yuleyule matokeo tofauti yatoke...
  9. M

    Kwanini Tundu Lissu hakuudhuria mkutano Chadema na wanahabari? je kasusa au?

    Mleta mada na yule waziri wa viwanda wote mediocre. Kila uzi unaoanzisha unahusu Chadema au unailenga Chadema, vipi kuna kitu unawadai wanakuzungusha kukulipa?
  10. M

    Waziri Mkuu Majaliwa amtumbua DED wa Mbozi, wengine 3

    Kwa hiyo TAKUKURU wachunguze halafu ripoti wampelekee yeye; polisi na mahakama hawana kazi kwenye utawala huu.
  11. M

    Askofu Dallu: Marufuku shule za kanisa katoliki wanafunzi kuendelea na masomo baada ya kupata mimba

    Kuishi bila kuoa kwa madai ya utumishi wa Mungu siyo utamaduni wa Kiafrika pia.
  12. M

    Nisaiadieni CV ya Mkuu wangu wa Wilaya ya Ubungo, Mh. Kisare Makori

    Hilo jina la "Makori" ni jina la kabila la Wakisii nchini Kenya na maana yake ni "aliyezaliwa njiani". Sasa sijui taarifa zake zaidi.
  13. M

    Spika Ndugai aelezea utaratibu wa Chenge kuvuliwa uenyekiti wa bunge

    Je, hamjagundua kwa muda mrefu kuwa Ndugai ni kibaraka wa Chenge?
  14. M

    SAKATA LA MADINI: Karamagi ahoji, nisaidie nini ?

    Sheria ya madini au ya Tanzania inatamka eneo mkataba unapotakiwa kusainiwa?
  15. M

    Magufuli's government switching costs to citizens

    Ni sahihi kwamba nchi ilikuwa na mfumo usiofaa kiuchumi na kimaisha lakini kudai au kuamini kwamba yanayofanyika sasa hivi ni maandalizi ya mambo kuwa sawa ifikapo 2018 ni aina nyingine ya udhaifu wa fikra. Umewahi kusikia economic strategy yoyote toka kwa Magufuli? Katika mazingira ya namna...
  16. M

    Dr. Dalaly Kafumu: Kusema ukweli uamuzi wa Rais katika suala la mchanga utaligharimu taifa baadae

    Inaonekana hujaelewa kinachozungumziwa. Swali ni kwamba huo mchanga unaozuiliwa Tanzania hatuwezi kuichakata hiyo 20% ya dhahabu iliyomo kwa sababu hatuna kinu cha kufanyia hivyo. Sasa jambo la kujiuliza ni kwamba mchanga unazuiliwa halafu ufanyiwe nini? Tuna tatizo la uzalendo usio na akili...
  17. M

    CCM mkimwachia Rais Magufuli atakuwa kama Kagame!

    Rwanda haijaendelea kwa sababu tu Kagame ni dikteta bali ni kwa sababu ni dikteta MWENYE AKILI; jifunze kuwa na jicho la tatu.
  18. M

    CCM mkimwachia Rais Magufuli atakuwa kama Kagame!

    What's he delivering if anything?
  19. M

    Kusomea Sheria ni kusomea utamaduni wa Uingereza, hakuna kingine!

    Mlie tu, mmekung'utwa vizuri kwa zaidi ya 88% ikimaanisha kuwa hata mawakili wenu nao wamempigia Lissu kura. Kunyweni sumu mfe mkitaka.
  20. M

    Kwa mlio na matarajio makubwa kwa TLS ya Tundu Lissu, waulizeni wana Ikungi

    Sogeza karibu tako lako jeusi hilo sindano ikuingie vizuri.
Back
Top Bottom