Search results

  1. Asiejulikana

    Nvidia Quadro 600 for sale

    Mbagala
  2. Asiejulikana

    Nvidia Quadro 600 for sale

    Desktop Graphics Card Kwa 3D Designing & Gaming Memory 1GB Vram Ddr3 DVI & Display port Ina uwezo wa kucheza Modern Games kwa low settings (Tested on i5 2400 8GB Ram) GTA V, FIFA 18,19, PES 19,18, GHOST RECON, ASSASSINS CREED, FAR CRY, WATCHDOGS, SLEEPING DOGS, NFS etc Price 80,000 tu...
  3. Asiejulikana

    Building:Wataalam Sogeeni pande hizi

    Nimeingia kama napiga windows then nikaingia Bios Setup...Natumia Dell Optiplex
  4. Asiejulikana

    Building:Wataalam Sogeeni pande hizi

    Chief naingia ktk Bios naona black screen tu...nini shida hapa
  5. Asiejulikana

    Building:Wataalam Sogeeni pande hizi

    Device Manager nimeangalia ina display only intel...ngoja nijaribu ku enable on bios
  6. Asiejulikana

    Building:Wataalam Sogeeni pande hizi

    Wataalam Nimefunga vifaa vyangu sawa...ila nikichomeka cable ya HDMI katika port ya GPU yangu niliyofunga Monitor haiwaki (No Signal) lakini nikichomeka ktk port ya onboard inakubali...nini shida Wakuu?? Nimejaribu kudisable Onboard graphics card lakini bado tatizo lipo pale pale...Msaada...
  7. Asiejulikana

    Building:Wataalam Sogeeni pande hizi

    Katika shipping mbona wanaweka 23-44 days hawa ni wa free shipping? Vp kwa wale wanaocharge up to 20,000/= ndio hawa wa two weeks??
  8. Asiejulikana

    Building:Wataalam Sogeeni pande hizi

    Ok ngoja nichek boss
  9. Asiejulikana

    Building:Wataalam Sogeeni pande hizi

    Nitajitahidi nifanye hivi Chief, shukran sana.
  10. Asiejulikana

    Building:Wataalam Sogeeni pande hizi

    How long does it take ukiagiza ebay na cost za usafiri..!? Na naweza kupata kwa cool price kuliko kuisaka hapa Bongo
  11. Asiejulikana

    Building:Wataalam Sogeeni pande hizi

    Duuuh FIFA 19 nayo pia at 1080 kwa GTX 750ti..!? Hii imekaa poa
  12. Asiejulikana

    Building:Wataalam Sogeeni pande hizi

    Chief vp kuhusu processor yangu umeipitisha!? Na nikifunga GPU ya Nvidia 2gb na kuongeza Cooler mambo yatakua sawa au!?
  13. Asiejulikana

    Building:Wataalam Sogeeni pande hizi

    So hapo niongezee cooler na power supply nitafute ya namna gani?
  14. Asiejulikana

    Building:Wataalam Sogeeni pande hizi

    Boss upo vizuri...na vp kuhusu Graphics card naweza kuweka yoyote au kuna vitu muhimu vya kuzingatia
  15. Asiejulikana

    Building:Wataalam Sogeeni pande hizi

    Na hii nimejaribu ku compare hizi processor mbili ya FIFA na ambayo ninayo mimi
  16. Asiejulikana

    Building:Wataalam Sogeeni pande hizi

    Kumbe hii ni ndogo !! Nilijua ina ubavu kidogo maana nimeona kuna sehemu wameweka specs za FIFA 19 nikajua zinaendana Hiyo core i3 2100 with 3.1GHz.. Kama nilivyo mark katika Picture.. Naomba nipe elimu kidogo kuhusu tofauti ya hizo requirements na pc yangu next time nisiweze kuyumba mkuu.
  17. Asiejulikana

    Building:Wataalam Sogeeni pande hizi

    Niaje wazee Hope mko poa!! Kwa nyakati hizi za likizo nimeona bora nifufue Machine yangu hii niwe napiga games kusogeza muda kidogo. Machine hii kama inavyoonekana uwezo wake sio powerful kihivyo kusukuma Game nzito na latest so nimeamua kufanya building kidogo kuiboost. Binafsi nimepanga...
Back
Top Bottom