Search results

  1. capitalcity

    Msaada: Kuhusu ugonjwa wa pumu

    Habari wana JF, Kwa muda sasa huu ugonjwa unaniletea shida japo nimejaribu kutumia dawa mbali mbali za hospitali na za asili lakini bado kwa kiasi fulani hali sio nzuri. Nataka kujua kama ipo dawa ambayo inaweza kutibu hili tatizo kwa asilimia 100, na Je, huu ugonjwa unatibika na kuisha...
  2. capitalcity

    Hodi Wenyeji..

    Ni Jambo jema kubisha hodi ufikapo ugenini na kujulia hali wenyeji, Natumaini mko poa. Mgeni nimefika...!
Back
Top Bottom