Greetings;
I have a life story to share; if you have already seen this video then take it as a reminder.
Share your excess;Dont waste food since there are people who need the little you through and lets pray for those in need. And love each other in all situations.
I am touched. May god bless...
Pole ndugu. Hiyo kitu inaitwa Hemorrhoid. Inauma sana. In early stages kuna dawa unapaka na nyingine unapewa kudumbukiza ili ikusaidie kupata choo laini after some time with aid of mlo kamili and maji kwa wingi. kinaisha mostly after 2-3 weeks. From there kama hakijaisha unashauriwa surgery...
jamani ukiwa na mwili wenye ukubwa fulani; haipendezi tena kuachia maeneo wazi. kwa kweli hapendezi kuangalia tena. angejihifadhi angekuwa super model wa aina yake but like this mwe!hapana halipi!
Cinnamon and Honey formula for weight loss
This should be prepared at night before going to bed.
1. Use 1 part cinnamon to 2 parts raw honey. 1/2 tsp cinnamon to 1 tsp honey is recommended but can use more or less as long as in the ratio of 1 to 2. --- so 1 tsp cinnamon to 2 tsp raw...
Nimesikitika kusikia hawa watu wawili wako kwenye process za divorce; fighting for custody ya 6 kids. It is so sad.
Mungu atuepushie sie wengine maana..Watoto ndio victims hapa jamani...
SOURCE:
http://www.showbizspy.com/article/183948/angelina-jolie-brad-pitt-officially-split-report.html
Friends;
Nimeona hatuipi kipaumbele Jamii Doctor.
It is equally important to visit. Maana najua tulio humu tuko na professional tofauti so tutumie column hiyo kusaidia jamii kuhabarishana healthy news too; how to keep healthy and kubrainstorm some health issues zinazoweza kutusaidia before...
What a wonderful wife; first lady with all talents.
Ameizing.
Leo mandela ametimiza 20 years; as a free man. Amongst the entertainer was mke wa rais wa ufaransa.
Mwe! i guss husband yake is very luck and proud of her.
http://www.msnbc.msn.com/id/21134540/vp/32013432#32013432
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.