Search results

  1. Mkuu wa Kibiti

    Mvua ya wakenya

    Hivi ile mvua tunayowagawiaga wakenya walishakuja kuchukua au wanataka tuwapelekee!?Waambieni walipe kodi na wadai risiti tena ya efd's wasilete ujanja ujanja hii ni tz mpya kabisa
  2. Mkuu wa Kibiti

    Maisha ya upweke(mpenzi njaa)

    Niliandika hii kitu muda mrefu ulio pita,ila kutokana na yanayo endelea ya wenye nguvu kutamani kula akiba ya wanyonge imenikumbusha kupandisha bandiko hili linalo kwenda kwa mtindo wa hadithi simulizi ili pengine wenye macho wataona na wenye masikio wataelewa. Maisha yalinipelekea kupata mwenzi...
  3. Mkuu wa Kibiti

    Hivi nani ni kichaa zaidi?

    Unaenda kumkamata kichaa na magari kadhaa,siraha za kutosha na askari kombania nzima kwenda kumkamata kichaa.Nani anakuwa kichaa zaidi?
  4. Mkuu wa Kibiti

    Ilala mmeitelekeza barabara ya Vingunguti Mnyamani

    Msemo wa wahenga kuwa usipoziba ufa utajenga ukuta umetimia vilivyo kwenye barabara hii.Barabara hii inayo hudumiwa na manispaa ya Ilala ina miaka mitatu tangu ilipoweka mashimo madogo madogo kwenye lami. Ilipofikia sasa huwezi jua kama kulikuwa na barabara nzuri ya lami kabla.Barabara ipo kama...
  5. Mkuu wa Kibiti

    Kitabu cha Membe kinaitwaje na kinahusu nini?

    Wana jamvi kuna taarifa kuwa Benard Membe ameandika kitabu sijajua kitabu kinaitwaje na kinahusu nini hasa.Mwenye kujua hebu tupe walau mawili matatu juu ya kitabu hicho. Nawasilisha
Back
Top Bottom