Search results

  1. Mkuu wa Kibiti

    Nitabaki na mke wangu na wanangu, kumbe ndugu ni kenge tu

    Pole dunia ndivyo ilivyo.Thamani yako ni vile ulivyonavyo si vile ulivyo.Watu hawaaminiki tena bila chochote wewe si lolote
  2. Mkuu wa Kibiti

    Dark days 17/03/20...

    Mambo ya akina Mackenzie haya,bado hatujakoma tuu
  3. Mkuu wa Kibiti

    Jerry Silaa atoa siku 100 kwa waliovamia maeneo ya wazi kuondoka Mara Moja

    Haka kajamaa msikaamini maneno yake,kenyewe ni kapiga deals kazuri tu,kakipiga mkwara we cheka na uende ukiwekea maanani utaumwa kicnwa bure,Haka ni kajizi promax waulize Ilala wana kumbukumbu nako.Kanajipaga muonekano wa mtu smart sana wakati kiuhalisia ni tabu tupu bora madelu
  4. Mkuu wa Kibiti

    Baada ya Uteuzi wa Dkt. Biteko kuwa Naibu Waziri mkuu Kanda ya Ziwa yazizima Mikutano ya Chadema yaanza kupotezewa!

    Kama unadhani ni jambo kubwa ndugu Biteko kuwa 'naibu waziri mkuu'jipige kifua mara tatu kisha ujiambie "mimi ni zwazwa".Unatwishwa zigo la mavi(nishati)halafu unapewa kitambaa chenye manukato(naibu waziri mkubwa)ujifutie jasho wakati bado zigo lipo kichwani,kisha ushangilie!?Hautakuwa sawa...
  5. Mkuu wa Kibiti

    Je, upi ni msingi wa falsafa ya Freemason?

    Masonic at their best
  6. Mkuu wa Kibiti

    Theological view: Yesu na Maria Magdelena

    Kumbe ni hadithi ya bw.Darwin!Haiwezi kuwa theological view bdala yake ni "historical confutione"
  7. Mkuu wa Kibiti

    Mashujaa FC wamenikumbusha enzi za RTC Kigoma

    Nimecheka kizuzu yaan dah!
  8. Mkuu wa Kibiti

    Togolani Mavura: Kila Mtu anaye Bernard Kamillius Membe Wake

    Duh!aahaaaagh!(in mwendazake voice)
  9. Mkuu wa Kibiti

    Kabla hujamdhamini mtu, hakuna tofauti kati ya mdhamini na mkopaji deni linaposhindwa kulipwa

    Ukikopa bank,ukashindwa kulipa ni shida.Japo kuna wachagga waliosoma CUBA wanajua jinsi ya kusolve hii issue.Ila hii ya kausha damu na chupi mkononi natoka na rungu tu hambebi hata vumbi!Maana hawa wake zetu wanakopa bila kutuambia wakianza kudaiwa wanahamishia zengwe nyumbani
  10. Mkuu wa Kibiti

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Sie bado twajifanya popo,huku twapinga kisha twaambiana kama "kulegezana tulegezane wakubwb watoto tuwache".Upi ni msimamo wetu kitaifa?Au ndio maskini hana chaguo?Remember God created Adam&Eve not Adam&Stive.Nice Easter monday
  11. Mkuu wa Kibiti

    Leo tuwachane madaktari na manesi kujiona wadogo zake Mungu

    Sawa mkuu,ila tahadhari isivuke mipaka mpaka doctor/nurse akahisi unataka kumfundisha kazi.Ninachosema,tuchukue tahadhari kwa tahadhari pia
  12. Mkuu wa Kibiti

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tabata kuna nini siku hizi?Mwakata sana umeme ati!
  13. Mkuu wa Kibiti

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Shirika la Umeme Tanzania - TANESCO

    Asee TABATA wanakata sana siku hizi sijui tatizo nini yaani wasipokata asubuhi watakata usiku.Bado tuna safari ndefu sana kufika kwenye ustawi
  14. Mkuu wa Kibiti

    Kwahiyo Ndugai na Chamuriho ndio mliutaka Urais miaka 2 iliyopita?

    Unamzungumzia marehemu asiye weza kukujibu chochote,amelala mazima wala hataamka tena. Shughulika na waliopo kushughulika na hamna ni upotevu wa muda usio na msingi wowote mkuu, tafuta pesa mkuu legacy yako italindwa na chawa wako. Narudia tafuta hela mengine ni mbwembwe tu.
  15. Mkuu wa Kibiti

    Siku nzuri inavyokwenda, we mwenyewe utaipenda.Kwako kunapoungua kwa mwenzako kunateketea

    Pole kwa kuuguliwa na mtoto,mambo ya wakazi wa pwani na pwani yao yasikuvuruge sana wenyewe wameyazoea
  16. Mkuu wa Kibiti

    Polisi wampe ulinzi mke wa Dr. Mwaka. Sakata la ndoa yao lina vita ya kiuchumi ambayo inaweza kupelekea mauaji

    Vijana wangu,mashauri ya ndoa hayatatuliwi kwa ushabiki au mihemko.Hayawezi kutatuliwa kwa haraka kama mpendavyo.Hawa wote wawili wanaonekana ni mabingwa wa sarakasi kiasi kwamba wamewapofusha hata watazamaji wao wasione tatizo lao halisi. Kumbukeni mahali sakata hili lilikoanzia mtajua...
  17. Mkuu wa Kibiti

    Wadada jifunzeni kupitia binamu yangu

    Anafanyaga makusudi kujifanya hajui kuandika ili aonekane zamwamwa kumbe ni mtu na akili zake
  18. Mkuu wa Kibiti

    Kweli pombe sio chai!

    Umenifanya ncheke
Back
Top Bottom