Search results

  1. Lukaku Tanzania

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Iyumbu Dodoma

    01.Kiwanja namba (plot No.) 647. Block .... Ukubwa wake SQM 880. Bei milioni nane (8Mil). Daladala inafika kwenye kiwanja Karbu njoo DM 02.kiwanja kingne kina ukubwa wa SQM 427 Plot No.119 Maji na umeme vipo hapohapo Daladala inafika pia Bei mil3 (milioni tatu )
  2. Lukaku Tanzania

    Wajuzi wa mambo ya ujenzi

    Huyo mtupe fundi haizidi laki tano (500,000/) Au nunua material then ita day workers hiyo utaelewana nao kila siku fundi 20,000/ tu utajenga siku mbili tu au uza tofali hapo boss kila tofali sh250 au Mia tatu tu (300) hapo anajenga tofali nyingi ndio anatoka na mkwanja
  3. Lukaku Tanzania

    TV4Sale Nauza LG TV 32” inch (300k TZS)

    Bado ipo kiongozi?
  4. Lukaku Tanzania

    Madereva wa daladala na makondakta wa Dar kuweni na utu na muige mfano kwa wenzenu wa Dodoma

    Nakupa wazo lovie Tengeneza vipeperushi vya kuzuia tabia Kama hyo kwa makondakta then kakae stendi kila abiria wa kila gari mpe kipeperushi hicho then atakakoshukia na yeye atampa abiria wa huko then kwa kiasi flan utakuwa umetoa tatzo na soln kwa siku moja ....sasa usiniulze utaweza kweli ama...
  5. Lukaku Tanzania

    Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye arejea CCM, alijiengua CHADEMA baada ya kuambiwa na Mbowe 'Sumu haionjwi kwa kuilamba'

    Sumaye alijua amehamia Chadema mtelezo tu watampa vyeo na utopu kwenye chama ili aje awanie uraisi ndani ya chama ili ajidai baadae chama Cha ccm anakijua wakati wapinzani ndio wanakijua zaidi chama Cha CCM kuliko hata CCM wenyewe
  6. Lukaku Tanzania

    Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye arejea CCM, alijiengua CHADEMA baada ya kuambiwa na Mbowe 'Sumu haionjwi kwa kuilamba'

    Huyu mzee ana tamaa tu zikiisha atalisaidia taifa Ila sijui ni lini tamaa zitaisha. Haiwezekani ulkuwa Waziri Mkuu then umekosa nafasi ya chama tu unabutuka mwenyewe bila kubutuliwa Wala na silaha Mali zenyewe huna kivile kelele Kama chura tu. Wazee Kama Hawa vizazi vyake huwa vinashida sana...
  7. Lukaku Tanzania

    Madereva wa daladala na makondakta wa Dar kuweni na utu na muige mfano kwa wenzenu wa Dodoma

    Scenario Kama hii nmewahi kukutana nayo...kwenye mwaka mpya nilikuwa naelekea mwanza kondakta akawa amekwazana na abiria ikabidi dreva aingilie kesi wakalga makelele sana mwishowe yule dreva akawa na stamina ndogo ikabidi atoe gari nje ya barabara kupgana na yule abiria kwa maana amekerwa na...
  8. Lukaku Tanzania

    Pascal Mayalla ndiye aliyemchongea Erick Kabendera kwa dola

    Alipoitwa bungeni ndg bwana Paschal Kama ukifuatilia kwa undani Kuna speed ya kuikosoa serikali na bunge kiujumla ilpungua kutoka kwa huyu ndg...hapo huwa nahisi pengne alitishiwa au la Basi aliahidiwa nafasi sio bure Paschal na najua hawezi sema
  9. Lukaku Tanzania

    Pascal Mayalla ndiye aliyemchongea Erick Kabendera kwa dola

    Watanzania wengne ni vimbelembele sana sijui tunahitaji vyeo!!!! Hata wakat mwngne cjui tu hata mm nakubaliana na andiko hili ndg #paschal Kuna mazingira huwa Kama naona ananyenyekea na kupiga magoti serikali kana kwamba there is something in needy....anyway ndio hivo jamaa yupo ndani na anasota...
  10. Lukaku Tanzania

    Madereva wa daladala na makondakta wa Dar kuweni na utu na muige mfano kwa wenzenu wa Dodoma

    Abiria pia mna nguvu ya kuwasaidia Kama kondakta anawafanyia uonevu Kama huo ...unashindwaje kumramba Kofi kondakta Kama huyo?
  11. Lukaku Tanzania

    Kilimanjaro: Mwekezaji alima bangi na kuichakata na kupeleka nje ya nchi

    Mwekezaji,anasafrisha kwenda nje ya nchi Ombi langu hyo ahakikishiwe majiran hawatumii bangi hyo anayozalisha .....hapo serikali iliangalie vzr aendelee kupeleka na kuchakata kikubwa kodi
  12. Lukaku Tanzania

    Halima Mdee na Esther Bulaya watakiwa kujieleza kwanini walienda Afrika ya Kusini bila kibali cha Mahakama

    Mahakama nao km hawana la maana,kwani si wamerudi??? Utakaa Tanzania tu mda wote?
  13. Lukaku Tanzania

    Kwanini goal la Salah limekubaliwa na kuna VAR

    Ngoja nipreview mechi Tena aisee
  14. Lukaku Tanzania

    Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

    Watu wanajisahau sana mambo muhm wanakumbka mwshoni mwaka Jana Kenya walifanya kufunga ni Kama masihara na ikawa hvo...nasi ni hvohvo ww Kama una laini na hukuisajili kwa Alama za vidole itunze tu itakusaidia siku ukiihitaji
Back
Top Bottom