Search results

  1. E

    Je ingekuwa wewe utafanyaje?

    Habari! Hivi ikitokea siku mwizi akaja akakuibia dhambi zako zoote ulizokuwa nazo...je utafanyaje? Utapiga kelele za mwizi mwizi...?au Utafurahia..? Nipo Mbeya City
  2. E

    CHADEMA mpaka huku??

    Wadau mi nipo huku Morogoro,Wilaya ya Morogoro Kusini,Kata ya Mtombozi,Tarafa ya Mtombozi,Kijiji cha Nemele,Mwenyekiti wa hiki kijiji ni Mwanachama wa Chadema na ndo wanaongoza hapa kijijini,tena ni kijana ana umri wa miaka 27 tu..nimeambiwa katika uchaguzi uliopita alishndana na Babu yake Mzaa...
  3. E

    Je ingekuwa ni wewe ungeweza??

    ANAKUFUMANIA: Analia, ananyamaza, anasononeka, unambembeleza anakuelewa anakusamehe halafu anasahau na anaendelea kukupenda!!! ... UNAZAA NJE YA NDOA: Anasononeka na kulia sana. Anakuchukia lakini baadaye anakusamehe. Halafu analea mtoto uliyemzaa nje kwa upendo. Kama ni kuchukiwa atachukiwa...
  4. E

    Kaka na Dada wapeana mimba

    Katika hali isiyo ya kawaida,kaka na dada ambao mama zao ni mkubwa na mdogo wamepeana mimba,stori yenyewe ilikuwa hivi,huyu msichana aliyepewa mimba alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na kaka yake yaani mtoto wa mama yake mkubwa ambaye ni tumbo moja na mama yake mzazi, kipindi wapo katika...
  5. E

    Mwaka wa maajabu 2011

    MWAKA WA MAAJABU 2011. Chukua tarakimu mbili za mwisho za mwaka uliozaliwa,jumlisha na umri ulionao utapata jibu kuwa ni 111, unajua maana ya namba hz? kama jibu lisipokuja hlo unadanganya umri!
  6. E

    Simu aina ya IDEOS with GOOGLE inauzwa sh.Laki na nusu(150,000)

    Simu aina ya IDEOS inatumia laini zote haichagui,unapata betri mbili na chaja yake kwa kiasi cha sh.laki moja na nusu,namba yangu ni 0713542446
  7. E

    Simu aina ya IDEOS inauzwa

    Nauza simu aina ya IDEOS with Google kwa kiasi cha sh. Laki moja inatumia line zote napatikana kwa namba 0713542446
  8. E

    Hajawahi kutokea na hatotokea Rais kama Jakaya Mrisho Kikwete

    Ukubali ukatae uho ndo ukweli halisi.....Just now via Nokia tochi
  9. E

    Eneo linauzwa

    Eneo linauzwa lipo kiwalani kigilagila.limepimwa na lina leseni ya makazi,lina ukubwa wa mita za mraba 340,bei ni milion 32.mawasiliano 076797955d
  10. E

    Eneo linauzwa

    Eneo linauzwa.lipo mbagara mtaa wa mwanamtoti lipo karibu na barabara lina lesen ya makazi,bei ni milion 18 kwa mawasiliano 0767979553
  11. E

    Mtoto wa ajabu

    Kuna mtoto alizaliwa akawa haongei mpka alivyotimiza umri wa miaka 8,neno lake la kwanza kuongea likawa ni bibi,mara bibi yake akafa ghafla,akaja tena akatamka babu,naye babu akafa ghafla,kwa hiyo watu wakawa na wasiwasi na matamshi yake,ikaja siku akatamka baba,basi baba akawa na presha alijuwa...
  12. E

    Mzee Kipara amekufa

    Ndugu zangu wana jamii nimefungua Page ya Millard Ayo ktk Facebook na ameandka habari juu ya kifo cha Gwiji la Tasnia ya Filamu
  13. E

    Nyerere, Kaunda, Banda, Azikiwe & Kikwete

    Nyerere Kaunda Banda Azikiwe Kikwete
  14. E

    leo ni siku yangu ya kuzaliwa

    Kwanza napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kuniweka mpka leo hii na kutimiza umri nilioufikia,wapo wengi wao hawajafikia umri wangu,Pili nawashukuru wazazi wangu kwa kunilea,kunisomesha na kufikia hapa nilipofka,mwisho ni kwa ndugu,jamaa na marafiki kwa ukarimu wenu kuwa nami tokea nazaliwa mpka...
  15. E

    Muziki unakodishwa piga namba 0713542446

    Kama unahitaji muziki kwa shughuli ya aina yeyote ile,iwe ubarikio,ubatizo,komunio,Kipaimara,Ndoa,Harusi,Send Off,Beg Party,Kitchen Party,Graduation,Mkutano,Misiba,Mhadhara au aina ya Sherehe yeyote,nipigie kwa namba hizi 0713542446
Back
Top Bottom