Search results

  1. N

    Dawa ya "histoacryl glue injection therapy for oesophageal, gastric and ectopic varices"

    Habarini wadau, Kuna mgonjwa jirani yangu ameambiwa achome dawa ya sindano aina ya "Histoacryl glue injection therapy for oesophageal, gastric and ectopic varices" kulingana na tatizo lake. Mwenye kujua inauzwa wapi atusaidie kutuelekeza kwa aumetafuta sana bila mafanikio. Asanteni Sent from...
  2. N

    NHIF wekeni uwiano wa matibabu kwa watumishi na watu binafsi

    Habarini, NHIF wekeni uwiano wa matibabu kwa watumishi na watu binafsi wote wachangie sawa na wapate huduma sawa. NHIF mnapotoa vifurushi vya TUNAJALI,TIMIZA,n.k na kuondoa malipo ya vipino kama vile OGD na kadharika wananchi tunashindwa kuwaelewa kabisa. Mtu analipia kifurushi cha TIMIZA...
  3. N

    Kunyimwa dhamana kituo cha polisi kwa siku 12 sasa

    Habarini wasomi, Leo ni siku ya 12 nimenyimwa dhamana hapa kituo cha polisi baada ya kifunguliwa kesi ua jinai kwa kujioatia pesa kwa njia ya udanyanyifu kitu ambacho siyo kweli kwani tulifanya biashara na mdai amekubali nimlipe kidogo kidogo lakini polisi wanataka nilipe nusu ya 15mln...
  4. N

    Natafuta banding procedure kit

    Habari, Naulizia sehemu ninapoweza kupata banding procedure kit kwa bei nafuu kwaajili ya mgonjwa wangu . Asanteni!!
  5. N

    TCRA na Polisi hivi mmeshindwa kabisaa kuwadhibiti hawa matapeli?

    Kuna sababu gani ya TCRA kuendelea kuwepo na kula mishahara ya bure iwapo mnashindwa kukamata hawa matapeli? Kila mara mnatujazia sms tuwatumie namba za hawa watu tumetuma wee lakini hakuna jipya hii namba nimewatumia zaidi ya mara 10 lakini hadi leo bado ipo hewani. Mnashindwa nini kuwakamata...
  6. N

    Lukuvi tusaidie Sumbawanga tupate hati za ardhi kwa wakati

    Swala la ucheleweshaji hati hapa Sumbawanga kutoka ofisi ya Kamishina wa Ardhi limekuwa sugu hasa ukizingatia tunakuwa tunelipia pesa za gharama. Ni wazi ofisi ya kamisha wa ardhi rukwa ni wababaishaji kila ukifuatilia wanakwambia kamishina kasafiri mara utapigiwa simu ikiwa tayari kitu ambacho...
  7. N

    Benki ya kilimo(TAB) na Waziri wa Kilimo vina faida gani?

    Ni kwanini ni ngumu sana kupata mkopo kutoka Benki ya Kilimo? Kwanini ili kukopa yabidi muanzishe kikundi ndiyo mpewe mkopo wakati kila mtu ana mopango yake malengo yake? Waziri anafaida gani iwapo anaona kabisaaa matawi ya benki ya kilimo yako miji mikubwa yenye lami na vijijini hakuna hata...
  8. N

    Hawa chachandu wasipochukuliwa hatua kwa haraka tusilaumiane!!

    Hivi kazi ya TCRA ni nini jamani?mtu anaamua kutunga habari hivi ya uongo na wao wanamuangalia tu manake nini? Matapeli wa kwenye simu tena kwa mtandao wa serikali wa TTCL wamewashinda nahawa nao wanaojulikana wawashinde kweli? Rais anadhihakiwa mnaangalia badae mkiwajibishwa mnaanza kulalamika.
  9. N

    TAKUKURU kuwabambikizia watu kesi

    https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1547734/ Ukisoma hapa mtuhumiwa alisingiziwa kesi na boss wake ambaye alikuwa ni mkuu wa takukuru mkoa wa rukwa ndugu hamis mwenda kwa ugomvi wao binafsi juu ya mwanamke. Kwa kutumia cheo chake na kwa kuwatumia rco na mwendesha mashitaka wa mkoa...
  10. N

    Kitengo cha cyber cribe ndani ya Polisi mnatuacha masikini

    Habari wadau, Nianze na kuwapongeza jeshi la polisikwa kazi nzuri wanayoifanya ingawa siyo polisi wote hususani kitengo cha cyber crimes. Lakini kuna tatizo kwa polisi wa kitengo hiki kwani wamegeuza mradi hasa mtu anapokuwa anamtafuta mtuhumiwa wake baada ya kufungua kesi na kisha kuambiwa...
  11. N

    TCRA wachukulieni hatua kali KALOMBA TV

    Habari, KALOMBA TV wamekuwa wanapost habari/za uongo kila kukicha zikiwa na vichwa vya habari tofauti na yaliyomo. Hali hii inakera sana haina haja TCRA kusubiri hadi wananchi walalamike wakati macho mnayo au mnawaogopa. Kila mara mnawafungia Clouds na Tv nyinginezo wakati hawa wajinga...
  12. N

    TAASISI ZA SERIKALI REKEBISHENI ANWANI /MAWASILIANO YENU KWA WAKATI

    Habarini wadau, Kuna kero kubwa sana kwa taasisi nyingi za serikali kutobadilisha anwani zao au anwani za viongozi wake mara wanapozibadili au wanapowabadilisha viongozi husika. Unakuta mwananchi anahitaji kywasiliana na ofisi fulani iliyopo mkoa fulani anaingia kwenye website ya ofisi na...
  13. N

    Kutoa lugha ya matusi kwa njia ya mtandao

    Habarini waheshimiwa, X alianza kutoa lugha za matusi kwa Y kupitia simu yake ya mkononi pasipo Y kutambua X ni nani,Y alimuonya juu ya matusi yake, baadae Y uvumilivu ulimshinda nayeye akatumia lugha ya matusi dhidi ya X na mwishowe Y akamuonya tena X kuwa hataki amutukane lakini aliendelea...
  14. N

    Nafikiria kuanzisha NGO ya kuwasaidia walioshikiliwa korokoroni, mahabusu na wafungwa nchini

    Habarini, Nimefikiria sana jinsi watu wanavyoteseka kwa kukosa dhamana wakiwa polisi na mahabusu na pia wafungwa waliofungwa kwa kuonewa au wanaocheleweshewa kesi zao pasipo sababu za msingi. Pia kuna ambao ni wagonjwa hawana msaada kabisa hasa linapokuja kwa maswala ya matibabu. Kuna ambao...
  15. N

    Kibaoni-Uvinza: Barakoa imekuwa biashara dili

    Habarini wadau, Juzi, jana na leo nikiwa katika shughuli zangu nimepata nafasi ya kupita katika geti lililopo Kibaoni Uvinza ambapo kuna huduma ya upimaji wa joto kwa ajili ya utambuzi wa korona. Kilichonishangaza kwa kweli ni biashara ya kuuza barakoa ambapo baadhi ya vijana wakiwekewa kifua...
  16. N

    NHIF ni taasisi ya ovyo haijawaitokea duniani!!

    Habarini wadau, Katika taasisi mbovu hii imepindukia kiasi cha kuhatarisha maisha ya wananchi. Wamefuta baadhi ya makundi yaliyokuwa wanachama wao pasipokutoa taarifa yoyote kitu ambacho ni usumbufu sana kwa madai kuwa wangeanzisha huduma nyingine mubadala kuanzia tarehe 1/9/2019 lakini...
  17. N

    NAHITAJI MASHINE YA NMB WAKALA HARAKA

    Habarini, Ninahitji mashine ya NMB-WAKALA haraka ambayo imesajiliwa kwa jina lolote, mwenye nayo tuwasiliane kwa pm
  18. N

    Brela acheni jeuri na ucheleweshaji wa huduma kwa makusudi!!

    Habarini, Hili la watumishi wa brela kuwa jeuri na kuchelewesha usajiri kwa makusudi kwa njia ya mtandao imekuwa kero sana kwetu. Mtu unatafuta jina halafu unaandaa nyaraka zote muhimu wanakwambia ulipie unalipia kisha wanasema jina lako linafanana na majina mengine rekebisha unarekebisha baada...
  19. N

    Kuendelea kutoa stakabadhi za mashine za EFD bila kuainisha aina ya bidhaa ni upuuzi tu

    Habari, Namshauri Rais JPM alione hili ,kwa kweli kama anataka kuzuia ukwepaji kodi arekebishe mfumo wa stakabadhi za efd machine hasa kipengere cha kutoandika aina ya bidhaa iliyonunuliwa na jina la mnunuzi. Mtu anauza bidhaa moja mf.tairi anatoa stakabadhi ya bei ya jembe na stakabadhi hiyo...
  20. N

    RPC TABORA KUNA RAIA KAWEKWA NDANI TANGU JUZI!!

    Habarini wapenda HAKI, RPC TABORA TUNAKUJULISHA KUWA KUNA RAIA KAKAMATWA NA KUWEKWA NDANI PASIPO DHAMANA WALA KIFIKISHWA MAHAKAMANKI KWA AMRI YA MAAFISA USALAMA (SO) KWA KESI YA KUVUNJA NA KUIBA NA. TAB/IR/2681/2019, WANAMLAZIMISHA AANDIKE MAELEZO YA KUKUBALI KOSA NA AWALIPE HAO MAAFISA AMBAO...
Back
Top Bottom