Search results

  1. N

    Hadi sasa tumekopa Trillion 8, nashauri tupunguze kasi

    Mmekopa na nani? Sisi maskini hizo fedha hazijawahi kutufikia hasa ukizingatia huduma za kijamii tunazilipia kila mahala. Waliokopa ni hao hao viongozi na familia zao kwani wanafaidika wao. Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  2. N

    Ujumbe wa Askofu Mwamakula kwenye kongamano la Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika wagusa wengi

    Ndiyo wanaokuongozeni wenye akili za kushikiwa,huna lolote! Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  3. N

    Ujumbe wa Askofu Mwamakula kwenye kongamano la Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika wagusa wengi

    Mnafiki mwenzio!!! Mbowe ni serikali na yuko kazini wanafiki kama nyie ndiyo mnaupotosha umma kwa sasa kwa kupanga matukio. Nabi anaweza kumdhuru mtoto wake mwenyewe???? Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  4. N

    Sasa ni dhahiri kwamba CHADEMA Digital yaanza kusambaratisha upande wa pili

    Kama wewe kila siku chadema digital Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  5. N

    Kwanini Paul Kagame aangalie jeshi letu kwa dharau likionesha uwezo wake kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru?

    Yeye kwanini hakuipotezea ya kagame au na wewe unanipangia cha kupost? Mwenyewe kaelewa unawashwa nini? Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  6. N

    Kuwe na kikomo cha umri wa kuchati kwa sms

    We umezalisha nini hadi sasa? Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  7. N

    Kwanini Paul Kagame aangalie jeshi letu kwa dharau likionesha uwezo wake kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru?

    Rafiki yangu tafuta vitu vya kuandika basi kama huna unaonaje ukikaa kimya kwani nani atakuona hujui fb? Huu ni upimbi watu wanahitaji mijadala inayowajengea weledi siyo upumbavu kama huu. Ifikie maadmin nyuzi kama hizi zisizo na tija zifutwe kabisa, ujinga gani huu? Sent from my SM-A107F...
  8. N

    Fact Check: Wakati tunapata uhuru hazikuwepo shule binafsi? Aliyeandika na kupitia hotuba ya Rais awajibishwe

    Usilazimishe maana yako ikubalike unajua alimaanisha ubinafsi upi ktk hotuba hiyo?mbona mnakuwa watu wa kuchamba mnaosubiri mtu anye then mmchambe. Acheni tabia za kishamba aisee!! Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  9. N

    Fact Check: Wakati tunapata uhuru hazikuwepo shule binafsi? Aliyeandika na kupitia hotuba ya Rais awajibishwe

    Usikimbilie kulalamika na kukosoa mtafute aliyeandika umuulize alimaanisha nini siyo kuja na tafasiri yako,je akikwambia alimaanisha mtu/watu binafsi na siyo jumuiya/utasimamia wapi? Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  10. N

    Miaka 60 ya Uhuru: Sina uhakika ni nani mwingine alisimamiwa ubatizo wake na Mwalimu Nyerere zaidi ya Freeman Mbowe

    Mtu yeyote mwenye makengeza kama mbowe huwa ni ndumila kuwili Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  11. N

    Miaka 60 ya Uhuru: Sina uhakika ni nani mwingine alisimamiwa ubatizo wake na Mwalimu Nyerere zaidi ya Freeman Mbowe

    Wapinzani wa tanzania hakuna wasichoamini hata wakiambiwa mama maria nyetere ni gaidi na akasimamishwa mahakamani watakubali Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  12. N

    Dk Slaa: Bado naweza kurudi kuwa Padre

    Si bora yake anayezini na mke kuliko mapadre wanaogeuzana! Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  13. N

    Yuko wapi Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango?

    Baba yako unajua alipo?mtafute baba yako kwanza achana na baba wa watu wengine!! Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  14. N

    Kesi ya Matumizi mabaya ya Madaraka inayomkabili Paulo Makonda inatajwa Leo Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni

    Sheria siyo ushabiki kama siasa mzee bali ni utaalamu,kinachokusumbua ni uchochezi na siasa za maji taka. Utahangaila sana kwenye mitandao juu ya hili tafuta kazi ya kufanya,plz!! Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  15. N

    Dawa ya "histoacryl glue injection therapy for oesophageal, gastric and ectopic varices"

    Habarini wadau, Kuna mgonjwa jirani yangu ameambiwa achome dawa ya sindano aina ya "Histoacryl glue injection therapy for oesophageal, gastric and ectopic varices" kulingana na tatizo lake. Mwenye kujua inauzwa wapi atusaidie kutuelekeza kwa aumetafuta sana bila mafanikio. Asanteni Sent from...
  16. N

    Kwanini Rais Museveni hajaenda kuzuru kaburi la Hayati Magufuli Chato?

    Liambie bwana halina kazi nyingine zaidi ya umbea ,sasa anataka kumpangia hadi rais wa Uganda ratiba Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  17. N

    Binti agundua mpenzi wake ana mahusiano ya kimapenzi na mama yake mzazi

    Haya ndiyo tunaweza kujadili Waafrika hasa waTZ na kuacha kujadili maswala muhimu yenye kutujenga na kutupeleka mbele kimaendeleo Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  18. N

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Hawa nao wana mbunge na bado wanaendelea kushiriki katika chaguzi ndani ya Afrika hii? Viongo-zi,matajri na mastaa wa Afrika wapo kustarehe tu na kuzawadiana fedha na mali wakisubiri WAZUNGU wawape misaada ya kurekebisha ujinga huu Huu ndiyo uafrika wetu na ule ndiyo UZUNGU wao...
  19. N

    Mdau ajitolea kuwapa maji ya kunywa wote wanaohudhuria Kesi ya Mbowe Mahakamani

    Wajinga ndiyo waliwao mbowe na ccm na serikali damu damu kalelewa huko leo eti wamshitaki kwa lipi hasa kama siyo kuwageuza ubongo wananchi? Watu sijui watakuwa na akili za kujiongeza lini?
  20. N

    Kwanini Dar kuna shida ya maji wakati bahari ipo hapo hapo?

    Kachote baharini utumie na ukilaza wako
Back
Top Bottom