Search results

  1. Fibinachi

    Story: Mtu chake...

    Money penny .. ebwana mzigo nimeukubali sana.. hapa naona kabisa JITU anaende kumuoa mtu aliyempenda tangu akiwa chuoni.. sorry nilikuwa busy kidogo but weekend nzima nilikuwa nasoma hadithi zako zote zilizopo kwenye website yako.. unatisha money penny..🍾🍾
  2. Fibinachi

    Story: Mtu chake...

    Money penny tumalizie basi story ya MTU CHAKE kwenye website yako kule.. tushasubiri sana money penny.. tunataka kujua JITU vipi..
  3. Fibinachi

    Story: Mtu chake...

    Moneypenny kwenye website yako hujamalizia , mashabiki wako tulienda hadi kwenye website yako ukahaidi utamalizia December 2019 ila naona hadi sasa hivi hujamalizia.. malizia basi na corona hii tungekuwa tunasoma story zako tuu.. nothing else..
  4. Fibinachi

    Story: Mtu chake...

    Mkule kwen
  5. Fibinachi

    We miss u lara1 where are youuuuuuu!!!!

    JAMANI huyu member ana story zake za mafunzo sana na exposure sijui siku hizi amepotelea wapi. Na hii karantini angekuja na bonge la story angetusaidia sana. Last time alianzisha story flani akaishia njiani. Hata kwenye michango ya humu ndani simuoni, yupo kweli? lara 1 jamani upo? Tupe hata...
  6. Fibinachi

    Hatma ya ndoa yangu leo usiku imekuwa hatari kwa maisha yangu

    Pole kwa yaliyokukuta..Brother nnachokiona hapo mimi ni mke mwema anayelelea wanao na kukujali.. ni vizuri amekuwa muwazi kwako ili umjue zaidi.. hizi dini zimeletwa tuu.. wazungu wametuletea ukristo and waarabu wametuletea uislamu.. let her enjoy her life by loving you bila kuwa na vishinikizo...
  7. Fibinachi

    We miss u lara1 where are youuuuuuu!!!!

    Daah karibu sana kubwa la Maadui..hilo story la kukata na shoka nalisubiria ile mbaya.. maisha magumu , tukipitia pitia story zako maisha yanaenda..
  8. Fibinachi

    We miss u lara1 where are youuuuuuu!!!!

    Poleni na kazi wanajukwaa la jamii.. Huyu mtu anaitwa Lara1 yuko wapi siku hizi jamani.. story zake tumezimiss sana.. mimi ni mmoja wa mashabiki wake ila wa kusoma kimya kimya.. ila leo uzalendo umenishinda nikaamua leo nimuuulizie.. Lara1 huko uliko please umetutupa mashabiki zako.. tunakupenda...
  9. Fibinachi

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    NATO will be Defeated in LibyaA Defining Moment for AfricaBy Gerald A. Perreira July 15, 2011 "Libya 360" -- The argument in Libya has been won by the Al Fateh revolution. There is now a glaring truth confronting the North Atlantic Terrorist Organization (NATO) – Muammar Qaddafi has handed out...
  10. Fibinachi

    Jamani nataka kupanda Mlima Kilimanjaro, naombeni msaada

    wasiliana na huyu mtu atakupa maelekezo yote muulize maswali utakayotaka..then he will help you.Nilikuwa TZ last year with my friends na jamaa alinisaidia sana kupanda mlima pamoja na safari . email yake hii hapa.............bern_tour@yahoo.com. Good lucky...
  11. Fibinachi

    Arusha beats Dar in number of internet users!

    hilo mbona ni jambo la kwaida tuuu,Arusha ni kitovu cha utalii kwa hiyo lazima itakuwa juu ya Dar tuu.go Arusha go.....))
Back
Top Bottom