Search results

  1. Nominee

    Piga kura, kati ya Simba na Yanga nani ana mashabiki wengi?

    Piga kura hapa ili tumalize huu utata humu jukwaani, timu gani ina mashabiki wengi kati ya Simba (Wenye nchi) na Young Africans/Yanga (Wananchi)? Usipoteze kura yako.
  2. Nominee

    Ulijisikiaje pale ulipoambiwa kuwa mpendwa wako hawezi kupona tena.Ugonjwa umeshambulia sana mwili?

    Nakumbuka Baba yangu mzazi alikuwa anasumbuliwa na saratani ya ngozi.Tulifanya jitihada za kila namna kuokoa maisha ya baba yetu mpendwa,tulizunguka hospitali mbalimbali ila mwisho wa siku tukaelekezwa tuelekee hospitali ya Ocean Road Dar-es-salaam. Ndugu walipambana kuchangishana hela ili mzee...
  3. Nominee

    Sakata la Bandari linaenda kuongeza mpasuko wa kidini. Tukosoe kwa tahadhari

    Ni haki na wajibu wa kila Mtanzania kuhakikisha rasilimali za nchi yake hazichezewi hovyo.Nawapongeza nyote munaotoa maoni yenu ya kuukosoa huu mkataba ila chonde chonde, tujitahidi kuongeza umakini tunapokosoa. Kikawaida,imani ina nguvu sana kwenye suala la ushawishi. Unaweza kushangaa mtu...
  4. Nominee

    Watu wengi wa Kanda ya Ziwa sio wastaarabu wakati wa kula, wanatia kinyaa!

    Picha linaanza, nimeenda ukweni kanda ya ziwa kulipa mahari. Siku hiyo walichinja Ng'ombe na msosi ulikuwa wa kutosha. Muda wa kula nakumbuka sisi tuliwekwa sehemu moja na wenyeji wetu wawili ili tusiwe wapweke, daah walivyokuwa wanalamba vidole wale mabwana hadi nikaghairi kula. Wenyewe...
  5. Nominee

    Kanuni ya mfungaji bora wa ligi kuu NBC inasemaje? Tuwekeeni vifungu

    Hivi kwanini Bongo tunaishi kama gari bovu. Ada za usajili za wachezaji haziwekwi wazi, hata malipo viwanjani nayo magumashi kibao. Haya tuwekeeni hapa kifungu cha kanuni ya bodi ya ligi kuhusu mfungaji bora. Ahsanteni.
  6. Nominee

    Sikumuomba, aliniruhusu nilale na mkewe ila ghafla kawa adui yangu

    Habarini wakuu.Nahitaji msaada. Mwaka huu mwezi wa kwanza,nikiwa nimetulia katika mgahawa fulani ulio na lodge kwa pembeni huku nikishushia msosi wa jioni,kuna jamaa alinifuata kwenye meza yangu.Huyu jamaa kwa makadirio ana umri wa miaka 37-40, basi nikiwa sina hili wala lile jamaa akanipa hai...
  7. Nominee

    Tunga Sentensi ikianza na maneno "Tafuta Hela"

    Haya wazee wa chit-chat,mi naanza. 1)Tafuta hela, hakunaga mke wa mtu. 2)Tafuta hela, bodaboda si usafiri official. 3)Tafuta hela, hakuna kitu kinachoitwa wikend (week-end) 4)Tafuta hela, mboga ya mchana haibakizwi hadi jioni. 5)Tafuta hela, kanisa halikatai kuja kukuzika. 6)Tafuta hela...
  8. Nominee

    Naomba msaada wa online sites na blogs za kujifunzia ufundi Radio na TV

    Habarini wakuu, Nisaidieni blogs, youtube chanels au hata websites zinazofundisha ufundi TV, SUBWOOFERS, na Radio nyinginezo bure. Natanguliza shukrani.
  9. Nominee

    SoC01 Nilivyotengeneza kipato kwa mtaji wa Tsh 50,000 tu

    Habarini wakuu. Najua kuna wimbi kubwa sana la vijana wasio na ajira. Hata wanaothubutu kujiajiri nao bado wanapata changamoto mbalimbali na mitaji yao inapotea pasipo kufanya jambo la maana. Hebu soma kisa changu. Ilikuwa ni mwaka jana(2020) mwezi wa saba nilipoamua kutoka mjini na kuhamia...
  10. Nominee

    SoC01 Waweza kuniiga. Niliteleza, nikaanguka, nikasimama na leo nakimbia

    Habarini wakuu.Maisha yana funzo kubwa sana,ukiwa na roho nyepesi waweza kukata tamaa. Ilikuwa ni siku ya jumamosi asubuhi,mwezi wa kumi mwaka 2019,miezi miwili tangu nihitimu shahada yangu ya kwanza kutoka chuo kikuu cha Dodoma(UDOM).Nipo zangu nimejipumzisha ndani ya chumba nilichopanga...
  11. Nominee

    Kwanini watu wengi huwa tunapenda kujitetea kwa kusema uongo pale namba ngeni inapopiga au kutuma meseji kwenye simu zetu?

    Habarini wakuu, Majuzi hapo kuna mtu nilimtumia meseji(sms) ya salamu kwa kutumia namba yangu ngeni niliyoisajili siku tano zilizopita. Na hii namba ndio mara ya kwanza kuitumia kwa kumtumia meseji huyo muhusika.Ila nilishangaa aliponijibu kwa kuandika. "Huku poa, ila samahani. Simu yangu...
  12. Nominee

    Je, unapenda kuendesha gari lako kwa usalama? Pitia hapa

    Habarini wakuu.Tunajua watu wengi wamepoteza wapendwa wao kutokana na ajali za barabarani.Wengi wamepata ukilema kisa ajali,ndoto zetu nyingi zimezimwa kutokana na ajali za barabarani. Nimeona nishee nanyi hii mada ili kupunguza ajali za barabarani. Ungana nami mwanzo mpaka mwisho wa nakala hii...
  13. Nominee

    Nisome nini ili niwe miongoni mwa "white hackers" hatari duniani kwenye suala la computer na mitandao kiujumla?

    Habarini wakuu. Mimi ni kijana "age below 35". Napenda sana siku zijazo nije kuwa miongoni mwa watu wenye uwezo mkubwa wa kuamrisha internet kufanya kile ninachotaka. Hizi 'Search engines' zote kuanzia google hadi yahoo nizikosoe kwa namna moja ama nyingine. Hizi facebook, whatsap, instagram...
  14. Nominee

    SIMULIZI:VIFO VYA WAPELELEZI (By FADDY)

    UTANGULIZI: Ni jumapili ya tarehe 14/03/2010,Mida ya saa 10 jioni vinasikika vilio vya uchungu ndani ya nyumba kuukuu iliyopo maeneo ya uswahilini kata ya Mpambano wilayani Majita.Ni kilio hiki ndicho kinachowafanya majirani wasogee karibu na nyumba ya Mzee Mohammed kuangalia kuna nini...
  15. Nominee

    Kwanini watu wengi wakilala chali(Kulalia mgongo) nyakati za usiku huota ndoto za kutisha?

    Habarini wakuu,hivi chanzo ni nini?.Nimechunguza kwa watu wengi(kama si wote) including me,kila nikilalia mgongo nyakati za usiku lazima niote ndoto za kutishatisha tu.Sijawahi kulala chali(kulalia mgongo) alafu nisiotr ndoto za kutisha.Hivi chanzo kikuu ni nini?.Nimeulizia kwa watu wengi nao...
  16. Nominee

    Uwezekano wa degree holder( Bsc with education) kusomea masters mambo ya Medicine au Pharmacy.

    Naomba kuuliza waungwana kama kuna uwezekano wa mtu aliyesoma bachelor of science with education(chemistry and biology) kujiendeleza masters kwa kuchukua maswala ya udaktari au pharmacy.
  17. Nominee

    Mtu aliyesomea bachelor of science with education, kwenye masters anaweza kusomea medicine na pharmacy?

    Habarini wanajukwaa, naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa mtu aliyehitimu degree BSC EDUCATION(Chemistry and Biology) kuweza kusomea masters masuala ya udaktari wa binadamu au madawa. Nielimisheni wapendwa.Nakaribisha maoni na ujuzi.Ahsante!!!
Back
Top Bottom