Search results

  1. ManiTek TV

    Maalim Seif ni rehma kwa wazanzibari, hatukaniki na hafedheheki

    Serikali ya Umoja wa Kitaifa ulitaka Mkristo gani awemo? Nani ameichagua serikali ya umoja wa Kitaif? Kwenye CUF kuna mkristo gani ambaye ni mwakilishi wa jimbo mpaka achaguliwe kwenye werikali ya umoja wa kitaifa? Wewe mdini humchukii Seif unachukia Uislamu wa Zanzibar. Na hili litakusumbua...
  2. ManiTek TV

    TANZIA Mcheza soka wa zamani, Duncan Butinini amefariki

    Nikiwa mshabiki wa Reli Moro miaka hiyo bado nakumbuka utaalamu na juhudi za Hayati Dancun Butinini. Hakika kwake tumetokea na kwake tutarejea.
  3. ManiTek TV

    Mambo matano ya kipekee kwenye apple watch

    Sony Smartwatches - Daily charging Samsung Gear Watch - Daily Charging LG G Watch - Daily Charging Pebble Watch - Weekly charging (roughly) - Ubovu wake hii haina touch screen, mbaya zaidi inatumia monochrome e paper display, rangi haina. That is the sacrifice you need to make kuepuka kuchaji...
  4. ManiTek TV

    Mambo matano ya kipekee kwenye apple watch

    Hatimae baada ya miaka miwli na ushee Apple wametoa saa ya smart. Saa hii sio tu itaimarisha mauzo ya iPhone bali pia inakuwa ni gajeti ya kwanza ya aina mpya kutolewa na Apple tangu Tim Cook kuwa Afisa Mtendaji mkuu wa Apple kufuatia kifo cha liyekuwa mwanzilishi wa kampuni hiyo Steve Jobs...
  5. ManiTek TV

    Apple wazima kelele za wapinzani na ios 8.0.2

    iOS 8.0.1 ilikuwa na glitch na bugs, utakapo update 8.0.2 matatizo yataondoka
  6. ManiTek TV

    Apple wazima kelele za wapinzani na ios 8.0.2

    Jaribu ku-install tena, tumia iTunes badala ya ku-install OTA.
  7. ManiTek TV

    Apple wazima kelele za wapinzani na ios 8.0.2

    APPLE WAZIMA KELELE ZA WAPINZANI NA IOS 8.0.2 Mwandishi Wetu Apple wametimiza ahadi ya kutokulala mpaka kieleweke kuhusu iOS. Siku ya leo wametoa iOS 8.0.2 ambayo itasuluhisha matatizo kadhaa baada ya jaribio la kurekebisha tatizo hilo kufeli vibaya mno walipotoa iOS 8.0.1 kwa kuongeza...
  8. ManiTek TV

    Matokeo ya Test Za BBC Tech yaonyesha iPhone 6+ Haipindi - Angalia Video

    Awali nilizungumzia kwamba siamini kwamba iPhone 6 Plus inaweza kuvunjika kwa kuiweka mfuko wa mbele bila ya kuikalia, na kueleza kwamba mwenyewe nimefanya jaribio hilo. Niliweka wazi kwamba the whole story have been blown out of proportion due to media frenzy na sensationalism. BBC are joining...
  9. ManiTek TV

    Teknolojia ya Iphone 6 Apple wamechemka

    Nilisema awali kwamba hi issue ni media frenzy na sensationalism. BBC technology wamefanya "unscientific test" juu kuvunjika kwa iPhone kwa kuiweka mfuko wa mbele na wa nyuma. Wamekalia kwenye sofa na kiti cha kawaida chenye surface ngumu mara kadhaa, simu haikupinda wala nini. Off course mimi...
  10. ManiTek TV

    IPhone 6 Plus na Kashfa ya Bentgate

    This is purely my guess that the next generation iPhone may have Sapphire glass. Please don't take my word for it. Sapphire glass is still pretty expensive so Apple may or may not use next year. Not only that it is still very expensive but as well the production is yet to meet the demand...
  11. ManiTek TV

    Teknolojia ya Iphone 6 Apple wamechemka

    chief-mkwawa unaona je tuanze thread mpya "iPhone 6 Plus Vs Samsung Galaxy Note 4". Hapa naona kama hapatoshi! Halafu ndio hizi tu strengh za Note 4 au unanitania?
  12. ManiTek TV

    Teknolojia ya Iphone 6 Apple wamechemka

    iOS 8 ina tatizo moja tu kubwa nalo ni la Health Kit, yaliyobaki ni bugs wa kawaida k ambapo OS mpya inapotoka hilo litarajiwe. Walichoombea radhi ni iOS 8.0.1 ambayo ilikuwa inalenga kufix tatizo lakini badala yake yenyewe ilikuwa na tatizo la network na touch id. Ndio wameomba radhi na...
  13. ManiTek TV

    IPhone 6 Plus na Kashfa ya Bentgate

    Sapphire glass was not used on any of the iPhone screen, it has only been used on the camera lens. Probably next year iPhones 6 S snd 6 Plus S.
  14. ManiTek TV

    Teknolojia ya Iphone 6 Apple wamechemka

    Wateja wa iPhone 6 na 6Plus wamepata specs za simu hiyo wiki moja kabla ya simu kutoka kwenye Keynote rasmi. Na info hizo ziko wazi kenywe mtandao wa Apple. Na hata GSMArena hawawezi kutoa specs zitakazosaidia kujua kupinda au kutokupinda kwa iPhone!
  15. ManiTek TV

    Teknolojia ya Iphone 6 Apple wamechemka

    Ahsante kwa kufatilia ninayoandika. Na huenda ukawa sahihi kwamba nina kiasi fulani cha ushabiki. Hata hivyo mimi binafsi siamini, katu siamini kwamba iPhone 6 Plus inapinda unapoiweka mfuko wa mbele bila ya kuikalia. Sababu ya kusema hivyo ni kwamba nilibahatika kuipata simu hiyo siku ya pili...
  16. ManiTek TV

    Apple wachomoa uboreshaji wa ios 8.01

    APPLE WACHOMOA UBORESHAJI WA IOS 8.01 Wiki moja baada ya kutoa iOS 8 Apple wamelazimika kuboresha (update) OS hiyo na kutoa iOS8.01, lengo la uboreshwaji huo lilikuwa ni kuondoa baadhi ya matatizo yaliyojitokeza kwenye iOS 8, ikiwa ni pamoja na simu na iPad mbali mbali kupoteza mtandao wa...
  17. ManiTek TV

    Teknolojia ya Iphone 6 Apple wamechemka

    Kwani Note 4 ina nini jipya zaidi ya fremu ya aluminium badala ya plastiki? What sort of proof do you want? Nikipata muda nitakuletea several comparison and between the two. Naamini comparison hiyo itatoa jibu lako
  18. ManiTek TV

    Teknolojia ya Iphone 6 Apple wamechemka

    Jibu lako ni neno moja tu: Sensationalism, wewe hujiulizi kwa nini mtu ukalie simu kubwa namna hii? Hebu ni nani kati yetu anakalia Samsung Galaxy Note au SOxy Xperia Z Ultra?
  19. ManiTek TV

    Teknolojia ya Iphone 6 Apple wamechemka

    Tupo pamoja idawa majukumu tu
Back
Top Bottom