Hamna waandish hoolwood script ni siri na unakuwa hujui next season nini kinakuja kama ndo mkatab unaisha wakat wa kipind cha kusoma kabla kwenda kushoot ndo unajua kuwa we mwish wak ndo hap unauliwa mamb yanasonga.
Mfano JUAKALI WANABADILI WAHUSIKA
WAKAT KWENY SERIES INAITWA SUIT KUNA DADA...
Mnaleta mamb ya bing bang theory sio,, mwish mtatiambia vorcanic eruption inaweza jenga nyumba. Once ur created and born its over no more brain modification kwan Ubongo wa mwanadam ndo zawad kutoka kwa Mungu.
Nkuulize kitu mpesya alikuwa mbunge kwa zaid ya miaka kumi alifanya nini?? Arusha lema alikuwa mbunge lakin kuna barabara balaaa mpaka vichochiron huk sombetin kuna lami.
Swala sio mbunge wala nini ni kwasababu huk kuna serikalin kuna wanyakyusa weng lakin wote wanajifanya DAR NDO KWAOO...
UKienda ofis za ardh mbeya wanasema viwanja vya kupima vipo nsalaga bei ya square meter 5000/= xawa alaf nsalaga ni mbli alaf IKOLOTI, IGANZO YA JUU, WANAPOCHIMBA KIFUS AMBAPO NI KARIB NA MJI YAAN MWANJELWA kipande cha ardh ya kujenga vyumba vitatu kinauzwa laki 9 au ikizid 1.5 kun mapagar yapo...
Vyanzo kidatu, mtera vyq vya mito yako ni nyqnda za juu kusin lakin kumbuken mwaka jan nyqnda za juu kusin mvua zilinyesha za kutosha ila maji yalimwagwa MAKUSUDI SO KAZ KWENU NA HUK MVUA BADO MPAKA JANUARY NDO ZINACHANGANYA HIVYO MPAKA MWEZ WA TATU NDO VYANZO VITAJAAA
Wanatunga xanaa we ukitaka kujua kuwa ni watunzi angalia majina wanayotumia hum mi nkiona "shemeji anakuja na taulo chumban kwang"najua ehee huwa sisomi
Tetesi nikuwa
Kuna twitt za 2022 ambazo zinasemekana ni za dada yake kuwa alikiwa ana mtomasa tomasa wakiwa wadog ye altman akiwa na 13 na mdog wake wa kike akiwa na 4 .
Sasa wanahisa wake wansema hakuwambia ukweli kama alikiwa na kit kama hivho ndo imebid achie ngaz.
GOOD NEWS
NI kuwa hisa...
Kama kuna wat NYOTA za uongizi zao haziendan na simba basi kaz tunayo hii hali ya SIMBA inankumbusha STORI MOM ALIWAH NAMBIA WAKAT NKO SHULE(BOARDING)
Alipata mfanyakaz wa kuhudumia kuku akaingiza kuku 700 unambiwa walianza kuumwa wakaanza kufa wakafa aliwapa kila aiana ya dawa lakin wap...
Wat wanaanzia mkoan wanajidunduliza kwa kulima kugunguq bishara za mitaj midog ikikuwa wanakimbilia dar wanatajilika.
Na asilimia kibwa ya ya waliopo kariakoo wanatoka mikoana kwan kuanzia dar moja kwa moja ni kaz kwan mtu anahamia dar pale anakiwa angalau ana million 100 so maisha...
70% ya migod yote ya cobalty iliyopp congo inamailikiwa na CHINA. Sasa sijui wao watasafirisha nini na madin yote na maligafi nyingine ambazo zinatoa rare earth minerals zinapelekwa china kwa ajili ya processing.
NA china naye ana mpango wa kuunganisha reli kutoka kapir mposh mpaka lobito.
Jua...
Mechi ya hiy tajwa inaonesha bado tunasafar ndefu ya kumakiza tatizo la mpira uchweze zaid na kupunguza kusimama bila sababu na mech ya leo mwamazi aliongoza hiloo.
Kil ikitokea faul alikuwa anachukua muda mrefu kutoa maelezo mengi na kupoza mpira na kama kungekuwa na stop watch bas mpira...
NA mwairir akatia ok taarifa ichapishwe jionee link ya nchi zinaongiza kwa watalii duniana
https://wisevoter.com/country-rankings/most-visited-countries-in-the-world/#:~:text=France%20is%20the%20most%20visited,culture%20and%20stunning%20natural%20beauty.
Yaan kama kuna wezekqna TARURA ya mbeya wasipewe hata kilometa moja kujenga mana wao ndo wanajenga mashimo sio barabara.
Na hata wakipewa watoe contactor ohoo ndo balaaa barabara ya crossway mpaka utokee isanga ina mshimo utazan kuna wat hjwa wanakuja kuchimba usiku. Wanarudia kila siku na...
Kabwe mashine za mpunga je?? Kuko kama dampo kipindi chamvuaa hakupitiki alafu angaliankweny pato la taifa mkoa unachangia kias gan
MFANO BARABARA ZA NDANI YA MKOA UNATOA KM 20 NKITAJA MAENO YANAYO HITAJI BARABARA SIDHAN KAMA ZITAFIKA POPOTE.
1 IYUNGA KWENDA LUMBIRA MPAKA IWAMBI
2.NJIA PANDA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.