Search results

  1. Equation x

    Mabaharia wenzangu, ukitembea na pisi kali, hakikisha unabebesha mimba

    :D:D:D hii haikwepeki, ndivyo maisha yalivyo
  2. Equation x

    Mabaharia wenzangu, ukitembea na pisi kali, hakikisha unabebesha mimba

    Wengine wanafeli kwenye swaga na kutanguliza hela mbele; hela sio kila kitu.
  3. Equation x

    Mabaharia wenzangu, ukitembea na pisi kali, hakikisha unabebesha mimba

    Na wengi wanaokuwa bila malezi ya baba huwa wana vipaji maalumu; muhimu kuwa hudumia pale panapo wezekana
  4. Equation x

    Ukiwa mpambanaji kuwa makini na idadi kubwa ya wapenzi watakufilisi

    Unachokitafuta lazima kiliwe, na kuliwa kwenyewe ndio starehe; kuna vitabu vimebainisha, mwanamke ni chombo cha starehe; kama hujajipanga usiende kwenye starehe. Lakini kujitesa hapa duniani bila kustarehe piani tatizo; tunaishi mara moja. Ata uchumi unaoutafuta utauacha.
  5. Equation x

    Mabaharia wenzangu, ukitembea na pisi kali, hakikisha unabebesha mimba

    Malezi ni muhimu hasa katika upatikanaji wa vitu vya msingi
  6. Equation x

    Mabaharia wenzangu, ukitembea na pisi kali, hakikisha unabebesha mimba

    Kuna maeneo, mapori yanazidi idadi ya watu
  7. Equation x

    Mabaharia wenzangu, ukitembea na pisi kali, hakikisha unabebesha mimba

    Kama nani yule wa kwenye maandiko?
  8. Equation x

    Mabaharia wenzangu, ukitembea na pisi kali, hakikisha unabebesha mimba

    Utubu kwa lipi sasa, wakati maandiko yanasema nendeni duniani mkaongezeke
  9. Equation x

    Mabaharia wenzangu, ukitembea na pisi kali, hakikisha unabebesha mimba

    Chukulia mfano una miaka 75 umelazwa, vijana wako wote 15 wako na wewe pale na wamepanda hewani na kila mmoja ana mishe zake huko duniani; hapo utajisikiaje?
  10. Equation x

    Mabaharia wenzangu, ukitembea na pisi kali, hakikisha unabebesha mimba

    Wanakuwa wana uzoefu na uzazi na wengine wanataka kutengeneza bond
  11. Equation x

    Mirathi ya Celebrities Bongo kizungumkuti

    Usijitese sana wakati tunaishi mara moja, kula kunywa furahi; ata ukirithisha viwanda vya magari haitakusaidia kurudi kwenye uhai, timiza kile unachoona ni muhimu kwako.
  12. Equation x

    Jizuie kuzaa au kuzalisha ikiwa huwezi kutunza wanao au familia yako

    Tutumie vizuri hizi mvua zinazonyesha, tuoteshe mazao yatakayo tupunguzia ugumu wa maisha, ili tuweze kuzaa kwa wingi na kuijaza dunia.
  13. Equation x

    Mabaharia wenzangu, ukitembea na pisi kali, hakikisha unabebesha mimba

    Unaozaa nao inabidi uwaweke sawa na uhakikishe kwa asilimia fulani wanaweza kujihudumia
  14. Equation x

    Mabaharia wenzangu, ukitembea na pisi kali, hakikisha unabebesha mimba

    Haina shida, muhimu mali inapatikana shambani; tutumie mvua hizi kwa kulima kilimo cha kisasa na chenye tija.
  15. Equation x

    Mabaharia wenzangu, ukitembea na pisi kali, hakikisha unabebesha mimba

    Ila kulia wali wa maharage kwenye sahani ya udongo ni tofauti na kula chakula hicho hicho kwenye sahani ya plastiki
  16. Equation x

    Jizuie kuzaa au kuzalisha ikiwa huwezi kutunza wanao au familia yako

    Kutokuzaa na watoto wa kali ni uzembe
  17. Equation x

    Mabaharia wenzangu, ukitembea na pisi kali, hakikisha unabebesha mimba

    :D :D :D alishatuaga humu sijui amekimbilia wapi
  18. Equation x

    Jizuie kuzaa au kuzalisha ikiwa huwezi kutunza wanao au familia yako

    Wengi tunakimbia majukumu kwa sababu hatutaki kulima, tunategemea 1000 ndio igeuke iwe unga, nyama, vitunguu, sukari n.k
Back
Top Bottom