Search results

  1. K

    Kwanini Ombaomba wengi wanapenda sana Kupita (kuomba) kwenye Bar

    Walevi tukiwa tunapata mambo yetu hatutaki bughudha so anapewa ili aondoke. Kuna watu wana kula bia lakini bado wanahisi wanamkosea mungu so kuwapa ombaomba pesa ni kitubio mbele ya mungu. Lakini wale hawatakiwi kupewa pesa mkononi.tunatakiwa tu apply strength perspectives kuwasaidia.
  2. K

    Hatulipi watumishi hewa, tumeziba mianya ya wezi, na kila mtanzania sasa analipa kodi, sasa mbona mambo magumu hivi?

    Jana akijibu swali aliloandaliwa mwalimu .. alisema marufuku mtumishi kuhamishwa bila kulipwa stahiki zake Tunaandaa namna bora ya kulipa mishahara bora kwa watumishi wa umma. Alisahau kuwa alipokuwa kwenye may mosi alisema mwezinjuly mwaka huu atapandisha mishahara kwa mujibu wa sheria yaani...
  3. K

    Rais Magufuli: Tunataka Tanzania ianze kutoa misaada hata kwa nchi za Ulaya

    Hahhaha ni juzi tyuu tumekopa mahela kwa riba kuuuubwa kwann mzee hapendi kusema ukwelii?
  4. K

    Madiwani walionunuliwa, Magufuli akwepa swali la Wanaarusha walipomuuliza asema sio mda wa kampeni huu ni kazi tu

    Tukubaliane kimsingi kwamba msafara wa raisi huwa hausimamishwi na wananchi ili wamwelezee shida zao! Huu ni uongo mkubwa ambao wale jamaa wa makumbusho tu ndo wanaweza kukubali na kuamini kwa kuwa ndio huwa wanautunga. Msafara wa raisi una kasi na hupita kwa hadhari kubwa mno. Kuendelea...
  5. K

    Itakuwaje siku Tundu Lissu atakaporudi uwanja wa ndege anawapungia waliokuja kumpokea?

    Wa Waliosoma mi chemistry na biology kwa kiwango kile hawatakuelewa mm wa ngwine nimekuelewa mkuu
  6. K

    Angalia Muundo wa ACT, Huu sio Udikteta Huu?

    Leo zitto hafaiii
  7. K

    Ukuta katika machimbo ya Mererani wazua utata

    Sio hili tuu mipango mingi inayoanzishwa na mukulu inaenda kukwama hana vission anafuata midundo ya kina gambo
  8. K

    Angalia Muundo wa ACT, Huu sio Udikteta Huu?

    Ha Hahahaha! Wakati chama kinaundwa mlikuwa mnasifia mkidhani wenzenu wanawaonea wivu? Mbona mnaitana wapumbavu jamani?
  9. K

    Hawakuwahi kujua kama LISSU ni mtu anayependwa na Watanzania kwa kiwango kikubwa hivi!

    Hahahaha mlitaka abakie nchini ili mumlamate mumpeleke mahakamani kisha mzuie watu kujadili mnasema swalla lipo mahakamani Kule arusha aliyeitwa mpumbavu alikuwa nani?
  10. K

    Nawezaje kupata wafadhili katika shule yangu?

    Kama upo dar nenda SOS karibu na Sm 2000. Kaulizie . Pia jaribu kutafta mashirika yanayofanya issues za child protections kama Reps nk.
  11. K

    Rais Magufuli hawezi kuinyoosha nchi, anaivuruga Tanzania

    Kama kweli anawachukia hao wenye vyeti feki awahakiki wale wa arusha alokuwa anawapa kamisheni juzi! Kama kweli anachukia vyeti feki awambie polisi wote kwa wingi wao wapeleke documents zao zikahakikiwe kama walimu na watumishi wengine. Kisha amalizie na DAUDI ALBERT BASHITE Nndo tuamini mzee...
  12. K

    Nape: Wananchi wanauliza Bomberdia ndio nini?Sisi wa vijijini tunafaidika nayo vipi?

    Hahaha raisi MAGUFULI keshasema alikuta kilo ya sukari 5000 sasa 2600 mzee muongo sana yule. Akiwa shinyanga ameshawahi kumuita jk mzee bure leo yeye ndiyo anaonekana bure bure bure kabisa
  13. K

    Jerry Muro: Urais wa Kizalendo ni mgumu Tanzania

    Jerry muro debe tupu haliachi kupiga kelele
  14. K

    Mbeya kuna Daktari anaitwa Danny, serikali imeshindwa kumuwajibisha?

    Si tunaambiwa hapa kuwa nidham.kwa watumishi imeonhezeka tangu mtukufu MAGUFULI aingie ikulu?
  15. K

    Rais hana hotuba mpya, zote zilipendwa!

    Wanajukwaa , nimsikilizapo huyu mkuu huwa haishi kusema serikali yangu ( ya watanzania) ni ya wote, haibagui watu kwa misingi ya itikadi za siasa, dini wala kabila . Nitaleta maendeleo bila kuangalia hapa kuna CHADEMA, wala ccm , wala cuf nk. Kauli hii yenye kujirudia rudia sio kweli kwamba...
  16. K

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Wewe siku usipoitaja chadema kwa masaa 24 unaweza kuwa chizi aisee yani we ni CCM lakini muda wote ni chadema hivi chadema vile. Hivi katika yote ya kujadili kuna kitu gani cha kujadili toka kwako mkuu? We lete nyimbo mpy za kumsifu mtukufu raisi hapa basi Ila mwambie zile milion 50 kwa kila...
  17. K

    Peter Msigwa: Polisi hawawezi kunipangia nini cha kusema na wala sio majukumu yao

    Hu Huwezi kujua kama hujui tukisema tutafika hujui wapi? Utajua hilo?
Back
Top Bottom