Search results

  1. S

    Katibu mkuu CHADEMA (Dr. Slaa) atoa tamko

    Dr Peter Slaa, usije ukadhubutu ku boycot bunge, utakuwa umewapa zawadi kama ile ya Maalim kutuitambua serikali ya Amani, mpaka mwaka wa mwisho wa amani maalim alivutwa pembeni, akapewa mfupa, sasa mambo poa znz, lakini kwa miaka 9 amani alifanya alichokitaka. Dr kama vipi wewe ni binadamu...
  2. S

    Nitaongezaje ukubwa wa jembe?

    we nenda kwa wamasai lakini sio wahuni, mwambie olpinas, tumia kila siku kama chai, balaa yake usiache, ukiacha tu siku 3 basi kama mke utajikojolea kutwa, kama mume utachana suruali, haina adabu, usiache. hakikisha ni OLPINAS original
  3. S

    Wahindi walazimisha kuuziwa nyumba za Upanga

    wahindi hawana makosa, tutalaumu wahindi, na baadae wakenya, baadae waarabu, baadae wazungu. tatizo lipo katika nchi yetu, kwanza tukubali sisi ndio problem
  4. S

    CALL FOR SUPPORT: To Build or not To Build - The Serengeti Highway saga

    tunajua hiyo ni ajenda ya kenya ili serengeti isiinyime masai mara biashara, mnatutesa nyinyi wakenya kwa kutumia power yenu ya juu
Back
Top Bottom