Search results

  1. N

    kuna umuhimu wa kuwa na chombo ambacho kitakuwa kinapitisha izi movie za kibongo !

    Angalia subtitles za kiingereza kwenye movies za kibongo ndo utachoka zaidi!
  2. N

    Mwenye CV ya Novatus Makunga atuwekee humu JF tuifahamu...

    Makunga alikuwa anaripoti kinazi sana uchaguzi wa Arumeru mashariki!kumbe alikuwa ameahidiwa hako kaukuu ka wilaya?
  3. N

    Diamond kama kweli unajua mziki kwa hili ulikosea..

    Hana lolote huyo!huyo ni msukule wa Wafu fm!
  4. N

    Simba oyeeee

    Hongereni zenu washindi!
  5. N

    Dr Manyau Nyau kumrudisha Kanumba...

    Cheap popularity!
  6. N

    Antivirus vol. 3-Vinega waendeleza bifu na Ruge

    Ukombozi hauji kirahisi wale wasioamini kwamba Antivirus ni wakili watafunuliwa cku moja na wataelewa nini magenge yanataka!endeleeni kuscan na kudelete virus yeyote anayeleta us**ge!
  7. N

    Wabunge wa CCm waliotia sahihi maisha yao hatarini.

    Gharama za ukombozi hizo!bravo mdogo mdogo hata wao wanajua!
  8. N

    Prof. Baregu aeleza kwanini hakutumia Biblia kuapa

    Thats freedom of worship congratulations prof Baregu.
  9. N

    Jimbo Lingine la Chadema Hili hapa endapo wakiamua kulibeba kirahisi

    Tusisahau Bariadi mashariki kwa Cheyo chama kishakufa,Bariadi magharibi fisadi hupita kwa kumnunua Isack manjoba Cheyo!
  10. N

    Hiki ndicho kilikuwa vikosi vya CCM na CHADEMA vya kampeni! Tucheki tofauti zao

    Sokwe mtu limejiju kazi majungu!mtakufa na presha awamu hii!nani anaongoza kusinzia bungeni??Sokwe mtuuuu!
  11. N

    You are Right BASHE

    Bashe CCM siyo Mungu kwako,siyo mama wala baba yako.Kama unadhamira ya dhati basi jiunge na wapambanaji wa kweli kwa lengo la kulikomboa taifa kutoka kwa mafarao wa CCM!Siyo leo unasema hivi halafu kesho unawaambia wandishi wa magazeti yenu na Tbc yenu kuponda ukweli!yuko wapi Tido Muhando?eti...
  12. N

    CCM yashinda Lagangabilili

    2015 lazima tuwaoneshe kazi.
  13. N

    Kesi ya Vinega: Kusaga Asanda, Afuta Kesi Kinyemela

    Magenge ya Mwengeeee....!
  14. N

    Mnyika's refusal of talking about his private life dissapoints Clouds FM

    Labda huyo Diva anamtaka Mnyika kimapenzi!halafu huwezi ukamlazimisha m2 azungumzie maisha yake binafsi!
  15. N

    Mtoto Linah mashalah

    Muulizeni Ruuugay utamu wa hako katoto!hakuna kitu hapo bila make up!
  16. N

    Mtoto Linah mashalah

    Muulizeni Ruuugay utamu wa hako katoto!
  17. N

    Clouds FM na unazi wao kwa CCM

    Antivirus ya vinega ndiyo kiboko yao hawa clouds!radio ya wafu...
  18. N

    Zitto: Ndio ninautaka urais

    Suala hapa siyo Zitto,suala la kujadili ni umri wa kugombea urais.Mnajadili mtu badala ya hoja!
Back
Top Bottom