Search results

  1. K

    Mume mwema na bora: Sifa na wajibu wake...

    lakini kuna akina dada wana yapenda hayo madole kila m2 na chachuzi lake
  2. K

    Hivi hatuna warembo zaidi ya hawa?

    hawana lolote midomo kama wana jiandaa kupuliza vuvuzela du!!
  3. K

    Kazi ya jeshi lazima ugangamare

    heeeeeeeee!!!!! sasa icho kilungu kikipitiliza itakuaje?
  4. K

    Mwanaume na nguo za kubana.

    ina wezekana huyo jamaa ni mtoto wawatu kwa mitindo hiyo duuuu!!
  5. K

    Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

    eti hujutii niaibuu yani najisikia ukakasi kwasabb ume jichafua kuliko sijuo sasa apo unaonesha jamii unatabia gani yani ume ni udhi sikidogo!
  6. K

    Amfumania mumewe akipopolewa na hausi boy

    jamanii!! namapa pole sana uyo dada ila dawa nikuachana na ilo gumegume.
  7. K

    Kamata Kamata Ya Wanaume Wanaovaa Cheni Iran

    huu ni uonezi kilamtu ana uhuru wake jamani kikubwa asivunje sheria naona kama hii sheria ina wanyima uhuru wana nchi wake ingawa kuna vitu vingine tunaiga mbaka tuna sahau utamaduni wetu.
  8. K

    Mombasa hakuna kulala

    iyo nommaaa!!!
  9. K

    Mabinti huwa mnahitaji nini?

    mabinti wengi tatizo hawajikubali kua kunamuda lazima wabadilike wanaona watapitwa nawakati.
  10. K

    Binti anaswa akibaka kavulana

    kweli dunia imevaa kipedo inasikitisha!!!!!
Back
Top Bottom