Search results

  1. vunjo

    Pendekezo: Kuwe na Daladala VIP kukabiliana na foleni

    Nilikuwa na wazo katika mkoa wetu Dar es Salaam nafikiri likikifanyika litapunguza msongamano wa magari kwa asilimia kubwa. Nilikuwa nafikiria zikisajiliwa daladala za VIP ambazo zitakuwa na Air conditioning usafi wa hali ya juu zikapiga ruti mfano Tegeta- Posta kwa Tsh 3,000 na abiria wote...
  2. vunjo

    Natafuta aina hii ya mawe

    Habari ndugu wadau wa jf kwa mwenye kujua wapi yanapatikana kwa wingi aina hii ya mawe yanaitwa MICA yana kama kurasa ukichana inakuwa kama kioo cha tinted.Kuna wachina wanayahitaji sana wameniomba niwachekie upaticanaji wake.
  3. vunjo

    TRA na kodi ya Mabango ya Indoor

    Habari wadau, nimekutana na changamito na hawa TRA sehemu ya biashara yangu kuna stika nimebandika katika vioo vya frame yangu ambayo ipo ndani ya shopping mall hapa jijini. Sasa wakapima na kulazimisha ni sign gharama ni laki nane na ilipwe ndani ya siku saba sasa naomba kuuliza kwa mwenye...
  4. vunjo

    PICHA:Mfumo wa Kisasa wa Kutrack Gari

    Huu ndio mfumo wa kisasa utaweza kutrack gari kupitia simu yako kwa bei poa Email:ejngalewa500@gmail.com Phone:0764818022 : Sent using Jamii Forums mobile app
  5. vunjo

    Vehicle Fuel Theft and Refuel Solutions

    Fuel monitoring and control solution is designed to monitor and optimize when fuel tank was filled and when fuel theft is being done from vehicles from your Smartphone.Call:0743000027
  6. vunjo

    Picture Simple way to Track your car Everywhere

    Track vehicle from your smartphone and web Check current location, speed and if your vehicle is parked or moving Identify vehicle misuse by your driver Check unintended trips stoppages and distance traveled Ensure your vehicle safety against attempted vehicle theft Enable safe mode and get...
  7. vunjo

    For Security Solutions

    Security solutions! We provide Car track system, Electric Fence,Security Alarms,Cctv Cameras,Access Control at affordable prices. PM or Email: ejngalewa500@gmail.com
  8. vunjo

    For Security Alarms, CCTV Cameras, Car Track, Electric Fence

    We provide installation of Security alarms, Cctv Cameras, Car Track, electric fence at the following areas. Residential Houses, Apartments, Godowns, Game Reserves, Mining Areas. We design, supply and install at a reasonable and affordable prices. For more info PM or Email...
  9. vunjo

    For Security Alarms, CCTV Cameras, Car Track, Electric Fence;

    We provide installation of Security Alarms, Electric fence, CCTV Cameras at the following areas, Residential Houses,Apartments,Godowns,Game Reserves,Mining Areas We design,supply and install systems at a reasonable and affordable prices.Call:0764818022
  10. vunjo

    Do you want electric fence and cctv cameras installation?

    We provide installation of electric fence and CCTV Cameras at the following areas,Residential Houses,Apartments,Godowns,Game Reserves,Mining AreasWe design,supply and install electric fence systems at a reasonable and affordable prices Call:0764818022 or 0717057552
  11. vunjo

    Bidhaa toka Uturuki

    Habari zenu wadau kuna ndugu yangu anataka kwenda uturuki kununua home decoration kama funitures,wallpapers sasa anahitaji kujua bei na kupata contact za mfanya biashara wa hizo bidhaa tajwa hapo juu. Nawasilisha kwenu wadau
  12. vunjo

    Kwa malaya bila kinga

    Habari wadau mimi nikijana wa chuo cha udom niliwahi kupost kufanya mapenzi na malaya bila kinga ilikuwa siku ya pasaka Dodoma mjini maeneo ya uhindini ndipo niliingia pabaya kwa kuendeshwa na nyege. Kipindi chote hicho nilikaa kwa wasiwasi takribani miezi mitatu week iliyopita nilikwenda...
  13. vunjo

    Natafuta msichana hapa dodoma

    Nahitaji msichana wa uhusiano wa muda mrefu sio kuchezeana napenda niwe karibu nae hapa dodoma wa mbali usaliti mwingi kama upo tayari PM.
Back
Top Bottom