Search results

  1. Thesis

    Msaada matumizi ya switch socket ya aina hii

    Jamani nisaidieni, nyumbani kuna socket hii yenye swich mbili. Hapa nyumbani nina Jiko la umeme, je swich ipi hapa niiweke on. Pia nina microwave ambayo nikiwasha switch hiyo iliyokaribu na socket linafanya kazi vizuri tu, Je, nipo sahihi kwa matumizi ya microwave? Wakati natumia cooker...
  2. Thesis

    Maoni yangu kwa Serikali kuhusu malalamiko ya Kodi, biashara kufa na ongezeko la kiwango cha utegemezi nchini

    Hivi karibuni kumekuwepo malalamiko mengi sana kuhusu hali ya maisha kuwa ngumu, ajira hakuna, TRA Kudai kodi kwa lazima hata kwa biashara changa au ambazo pengine mauzo yake hayakidhi kulipia kodi, ongezeko la utegemezi n.k. Binafsi siwezi kuverify malalamiko hayo kwa asilimia 100. Isipokuwa...
  3. Thesis

    Wewe unamiliki Bajiji au Pikipiki? Pata GPS Tracking devices kwa bei sawa na bure

    Wana jamvi, kwa wale waliopo Mkoani Dodoma, ninauza na kufunga GPS tracker za pikipiki na bajaji na magari. Huduma ya kufungiwa vifaa hivi pia wanaweza kuipata wale waliopo Iringa Mjini na watatakiwa kunigharamia nauli. GPS Tracker inafanya kazi gani?? Hiki ni kifaa kinachofungwa kwenye chombo...
Back
Top Bottom