Search results

  1. M

    Madiwani Igunga waomba wakamatiwe Elibariki Kingu, aliwaibia milioni 90

    Waulizeni BUNJU BEACH SACCOS jinsi alivyowatapeli shs. Milioni 30. Ni mwaka wa sita sasa. Alikuwa hajawa DC wala mbunge . Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Madiwani Igunga waomba wakamatiwe Elibariki Kingu, aliwaibia milioni 90

    Lisu ndiye aliyekagua hesabu za Igunga au CAG?? Ûsijadhalilishe kwa kutetea upuuzi Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    Benedicto Mutungirehi wa CHADEMA ajiunga na CCM

    Tell us your value.. We will score you rightly...You are too low compare yourself with BENEDICTO MUTUNGIREHI. Go back to square one and evaluate your thinking before spitting out such a shit
  4. M

    Benedicto Mutungirehi wa CHADEMA ajiunga na CCM

    Inayolipa ni ya kushinda jf mnapiga miayo na hekaya za abunwasi ??? Miaka mitano baadae unaanza kulia umaskini.... Wake up kabla haujamaskinika ..hahahahhaa
  5. M

    Benedicto Mutungirehi wa CHADEMA ajiunga na CCM

    Ww usiye na njaaa nani anakujua??? Kuna mtu aliwahi kuja kuomba shibe yako.??? Hahahahaaaa
  6. M

    Benedicto Mutungirehi wa CHADEMA ajiunga na CCM

    Wewe ambaye si traitor uliwahi hata kuwa kiranja wa darasa....stop spitting nonsrnse...you just a mediocre ...this is how zombies think... Polee ndugu
  7. M

    Benedicto Mutungirehi wa CHADEMA ajiunga na CCM

    Wewe ushakatwa tako bila kujua.. Hahahahahahaaaaa
  8. M

    Benedicto Mutungirehi wa CHADEMA ajiunga na CCM

    Na ww ubaki tu huko!!!
  9. M

    TRA: Sukari iliyokamatwa Mbagala na Tabata, imeingia nchini kihalali, haitagawiwa bure

    Zakaria anazalisha sukari...zungumza vitu ambavyo una ushahidi navyo...kama huna hukika unachosema kaa kimya.. Usitake kupotosha lengo na dhamira ya Mh. Rais katika hili Nchi haiwezi kuvumilia uhuni na magenge (cartels) yasiyo na nia nzuri na taifa. Ni lazima kama kiongozi wa nchi achukue...
  10. M

    Kamati Kuu ya CHADEMA, itakutana Mjini Dodoma katika kikao chake kuanzia Mei 12-13

    ivi Makene kazi yake huwa ni kutangaza mikutano ya kamati kuu tu....ni kama vile idara ya habari CDM imekufa... He needs to gauge himself if he is still fit and relevant for the position Sioni ubunifu katika idara hii ...poleni CDM naona mnazama mdogo mdogo
  11. M

    TRA: Sukari iliyokamatwa Mbagala na Tabata, imeingia nchini kihalali, haitagawiwa bure

    Kwani tatizo lilikuwa ni kuingizwa au kutoingizwa kihalali?? Tatizo kwa maelezo ya mh. Rais tatizo ni kuficha sukari kwa lengo la kusababisha uhaba wa makusudi sokoni...wala hapa TRA haousiki na suala hili...kuficha bidhaa kwa lengo la kusababisha uhaba kwa makusudi ni JINAI sasa tangu lini TRA...
  12. M

    Hivi hii sio kudidimiza taaluma?

    Ndugu yangu umegusa penyewe..tunakoelekea tutasababisha majanga mawili makuba 1. Kuvurugwa na kushuka kwa taaluma vyuoni..bahati mbaya sana walimu wengi wanaoteuliwa wanatoka katika chuo kimoja..tutajikuta vyuo vina upungufu mkubwa wa wabobezi katika maeneo kadhaa 2. Madhara ya kushuka kwa...
  13. M

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Uwaziri apewew mpiga porojo bungeni??? So outrageous...
  14. M

    'Ujinga' wa Ikulu unarudi kwa kasi

    Mleta uzi ni mtu wa ajabu sana..hatuwezi kuwa na taifa linaoendeshwa kama danguro..ni lazima kuwe na kiwango fulani cha udhibiti ili kuepuka mifanyabiashara ya yenye tamaa kuwanyonya wananchi kwa kisingizio cha soko huria..."ngoja na sisi tuishinikize serikali iwatoze kodi stahiki wenye...
  15. M

    Kamati Kuu ya CCM yawapitisha Job Ndugai, Dkt. Tulia Mwansasu na Abdullah Mwinyi kugombea Uspika

    Mmesahau kama huyu dk.ndiye alikuwa katibu wa kamati ya uandishi wa katiba mpya akimsaidia chenge..watanzania tunasahau kirahisi sana...mnashangilia kuanguka kwa sitta.mkisahau sita alikuwa kiongozi wa bunge tu..waliochora katiba ndo hao mnaowashangilia...ni suala la wkt mtarudi hapa si muda...
  16. M

    Kwame Nkrumah Jr Kuja kwa ajili ya uzinduzi wa ACT Tanzania

    mafisadi na wala rushwa wakubwa,,wakwepa kodi wakubwa nchi hii ndio wanaofadhili ACT,,sasa inakuwaje tena wanakuwa maadui zenu....hahahaaaaaaaa
  17. M

    Baraza Kuu la Waislam Tanzania latoa tamko kuhusu Mahakama ya Kadhi na Katiba iliyopendekezwa

    mamlaka ki2 gani,,,mhm ni kwamba wanaoongea wana wafuasi...kwani vijana waliompindua COMPAORE kule Bukinabe walikuwa na mamlaka gani......
  18. M

    Kuna watu wanapandikiza udini

    CCM Mwenyekiti - Jakaya Halfzn mrisho kikwete katibu mkuu -Abdul-Aman kinana Katibu -itikadi na uenezi - Nape Nnauye MwekaHAZINA - Zakia meghji Mwenyekiti - Uvccm - SADIFA Mwenyekiti wa WAZAZI - Abdallah Bulembo Mwenyekiti - UWT(Wanawake) - Sophia Simba Katibu -siasa na mambo ya nje...
Back
Top Bottom