Search results

  1. I

    CCM ijifunze kutoka Urusi

    We need our liberty period
  2. I

    CCM ijifunze kutoka Urusi

    Hali inavyo onekana mpaka muda huu Putin yuko katika hali tete kuliko muda wote alio kaa madarakani. History haichi kufuata mkondo wake, Russia imekuwa katika mapindunzi huko nyuma, kizazi kinajua hilo, kuwasaulisha wananchi kwa kuwanyima haki zao za msingi wa kuwa huru ni kufukia kichwa...
  3. I

    Video: Fatma Karume Kwenye Mhadhara wa Kimataifa Asimulia Unyama wa "Kinyago Tulichokichonga Wenyewe"

    Just google “The massacre of Arabs in Zanzibar “ or check on YouTube.
  4. I

    Video: Fatma Karume Kwenye Mhadhara wa Kimataifa Asimulia Unyama wa "Kinyago Tulichokichonga Wenyewe"

    Religion is opium of the people. Don’t even go over there 👉
  5. I

    Video: Fatma Karume Kwenye Mhadhara wa Kimataifa Asimulia Unyama wa "Kinyago Tulichokichonga Wenyewe"

    You out of chain dude. Muda ukifika wa kuiacha hii dunia utaondoka tu. Where is all kings, where’s all president before us , where’s your own fore-elder who become before you. Walikuwa wazembe? Jikwamue kimawazo, akili unayo
  6. I

    Video: Fatma Karume Kwenye Mhadhara wa Kimataifa Asimulia Unyama wa "Kinyago Tulichokichonga Wenyewe"

    Deep thinking una proof yeyote kuwa alikuwa kichaa or you just brainwashed with the other side
  7. I

    Rais Samia amegeuza upepo wa MSD kwa kumteua Mavere Tukai

    Zitto ana ukoma Wala usitumie quotation zake lol 😂
  8. I

    Video: Fatma Karume Kwenye Mhadhara wa Kimataifa Asimulia Unyama wa "Kinyago Tulichokichonga Wenyewe"

    Kila nafsi itaonja mauti. He was surrounded with enemies. Hata kumaliza term ya kwanza Mungu alimpigania sana. Cha mhimu ni kwamba ameonyesha watanganyika kuwa tunaweza
  9. I

    Video: Fatma Karume Kwenye Mhadhara wa Kimataifa Asimulia Unyama wa "Kinyago Tulichokichonga Wenyewe"

    Great! Eti mtu kwa kukosa madaraka anaanza kuchafua hali ya hewa ya nchi ili watu wafe, creat hate for person gains
  10. I

    Video: Fatma Karume Kwenye Mhadhara wa Kimataifa Asimulia Unyama wa "Kinyago Tulichokichonga Wenyewe"

    She should began to highlight the original sin…the beginning of dictatorship who you called her grandfather….and then points to the others who she think they did wrong to her interest and her family period! She is not even madam…spinster
  11. I

    Video: Fatma Karume Kwenye Mhadhara wa Kimataifa Asimulia Unyama wa "Kinyago Tulichokichonga Wenyewe"

    Simply she should looks on mirror and see what her father did to slaughtered innocent children and women Arabs , check on this youtube clip “Arabs massacres in Zanzibar” bahati mbaya sana aliyefanya mauaji ya baba yake alifanya kosa kubakiza ukoo huu angefutilia mbali wote. Lakini kwa baraka...
  12. I

    Mradi wa Bandari Bagamoyo bila uwazi wa ubovu wa mkataba, ni usaliti wa Bandari zilizopo

    Huu ni mradi wa mchina? Ni wa miaka Mia moja ya umiliki? Huu ni mradi wako, hela ya kodi na lazima uidai kwa maendeleo ya Tanzania. Sasa wewe unaye sema tufanye research wewe umefanya ipi?
  13. I

    Mradi wa Bandari Bagamoyo bila uwazi wa ubovu wa mkataba, ni usaliti wa Bandari zilizopo

    Viongozi wa bakwata wanatakiwa walione hili mapema sana, Lakini viongozi kama viongozi….penye udhia penyeza rupia
  14. I

    Mradi wa Bandari Bagamoyo bila uwazi wa ubovu wa mkataba, ni usaliti wa Bandari zilizopo

    Hana siku nyingi za kuishi atakufa na kisukari kinachomsumbua kwa muda mrefu
  15. I

    Mradi wa Bandari Bagamoyo bila uwazi wa ubovu wa mkataba, ni usaliti wa Bandari zilizopo

    Inasikitisha sana kuona rais ambaye ni muisalam ambaye anashinda kutwa nzima amefunika kichwa chake huko China kuna kabila la Uyghurs ambalo wamesema ni haki yako kuabudi uislam wote wamekusanywa na kuwekwa kwenye concentration camp, shame on us! Hela ndiyo zinaabudiwa kuliko hata imani raisi...
  16. I

    Rais Magufuli badilika, US imekulenga wewe sio Makonda

    Warning Maghufuli asiwe naïve na hila za Makonda za kujifanya ni mtu anayempenda Mungu kwa uraghai(si hukumu mtu ila naona)...legho la Makonda ni kufika juu kimadaraka hata yeye mwenyewe hajui atafikaje hapo, ila jamaa anajua kusoma wakubwa wanapenda nini wapewe (and always he deliver on...
Back
Top Bottom