Search results

  1. Arien

    Lita 5 ya mafuta kupikia yafikia sh 37,000,/=

    Ya alizeti nayo si mazuri pia
  2. Arien

    Wanandoa mkipendana sana madhara yake mnapeana Mimba kila siku

    Dunia haijajaa bado waacheni watimize wajibu.
  3. Arien

    Lita 5 ya mafuta kupikia yafikia sh 37,000,/=

    Tunalalamikia kupanda bei kwa mafuta yenye athari kwa afya zetu wakati yale yanayotufaa wala hayajapanda
  4. Arien

    Msaada makadirio kwa ramani hii

    Usikatishwe tamaa na baadhi ya comments za humu mkuu wewe endelea kukaza. Mungu ni mwema siku zote utafanikisha ndoto yako.
  5. Arien

    Msaada makadirio kwa ramani hii

    Nyumba haijafika hata 300sqm watu mnamtisha kuwa ni kubwa sana. Shida ya kuzoeshwa & kukaririshwa nyumba za 100-120sqm hii.
  6. Arien

    Mbona gharama za kununua nyumba Tanzania zipo juu sana?

    Upatikanaji wa huduma za kijamii kama mashule, hospitali, polisi n.k huchangia kuchochea bei duniani kote. Usitegemee 200sqm ya Posta iwe sawa na Mabwepande.
  7. Arien

    Naomba ushauri kuhusu ujenzi wa fensi/uzio wa tofali

    Hii idadi ni kwa ukuta wa urefu kiasi gani?
  8. Arien

    Jinsi ya kumuona utakayemuoa au utakayeolewa naye

    Watu mnaponda ila hakuna ambaye ameshajaribu mpk sasa. Fanyeni mtuletee mrejesho 😁
  9. Arien

    Samsungs wanashida gani?

    Hii ni moja ya sababu siziwazii Nokia kabisa. Nilitegemea wangekuwa wameshajikita huko ipasavyo
  10. Arien

    Samsungs wanashida gani?

    Hivi Nokia wana simu zenye OLED screens siku hizi?
  11. Arien

    Mafuta ya kupikia bei juu, Chips bei ile ile!

    Mafuta ya transfoma ni bora kwa afya & yana dumu zaidi
  12. Arien

    Kuishi miaka mingi ni ishu ya Asili ya ukoo wenu

    Hakuna umuhimu wa mwanadamu kula milo zaidi ya miwili
  13. Arien

    Pesa yaweza kukubadili tabia na kukupelekea kuwa muovu

    Tuache hii tabia ya kuipa pesa lawama isiyo stahili. Tabia yako ukishapata pesa ndiyo tabia yako halisi maana pesa hudhihirisha uhalisia (character) wako uliokuwa umeuficha.
  14. Arien

    Kuishi miaka mingi ni ishu ya Asili ya ukoo wenu

    Matumizi mabaya ya pesa
  15. Arien

    Meet Apple M1 Ultra

    Mahaba yanafanya watu mnakuwa bias sana.
  16. Arien

    TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

    Sidhani kama kuna taasisi ya serikali ina sifa hizo
  17. Arien

    Hivi nani anatumia RCS kwenye simu za android?

    RCS iko poa sana. Shida wengi hawaijui so unaweza jikuta uko mwenyewe tu au na watu wawili watatu.
  18. Arien

    Weka window 11 mpya kwenye PC ambayo not supported!!!

    Sidhani kama its worth the trouble
  19. Arien

    Nataka nifunge zuku fiber ofrisin vipi speed yao ipo poa au wanga tu

    Msogee hata Ilala, Manzese & Mabibo sasa. Mnaacha hela nyingi huko.
Back
Top Bottom