Search results

  1. AMANIPARTY

    TANZANIA Mpya inakuja

    Ni kweli ila kwa sasa Tunashawishika kwa dhamira zetu kuamini Tukijuacho zaidi kuliko kutegemea tusicho na Uhakika nacho..
  2. AMANIPARTY

    TANZANIA Mpya inakuja

    Tumefurahi sana kupata michango na mawazo yenu.. Ninyi ni watu Muhimu sana na mbegu za taifa Hili. Tutaendelea kuhakikisha kwamba mbele linapokuwepo jiwe basi tuangalie na kisiki kitachofuata.
  3. AMANIPARTY

    TANZANIA Mpya inakuja

    Ushabiki ni kitu kizuri na Hatari sana.. Hasa pale ushabiki wa Siasa unapofananishwa na ushabiki wa mpira. Tukumbuke kwenye uchaguzi wa 2005, asilimia kubwa ya watanzania hawakuichagua CCM bali walimchagua Kikwete, ambao haohao leo hii amegeuka kuwa chungu kwao. Ni hatari kushabikia Chama au mtu...
  4. AMANIPARTY

    TANZANIA Mpya inakuja

    Usiwe mwepesi sana wa kutabiri au kubashiri kisha ukahukumu.. Daima uwe mzalendo.. wewe ni muhimu sana ndani ya jamii yetu.. usijidharau, kitakuwa ni chama kipya, hakina Doa wala harufu ya Chama tawala. wala hakitatahitaji chombo chakavu chochote kama malighafi yake.
  5. AMANIPARTY

    TANZANIA Mpya inakuja

    Ni kweli Ndio Maana mpaka sasa Nguvu na Nia Zetu tumezielekeza Upinzani. ingawa tunakiri wazi kwamba Tunatofautiana kwenye Itikadi na Mitazamo. Ila Kwanza Tumejizatiti Kuhakikisha Chama Kilichopo madarakani kwanza Kinaondoka Madarakani
  6. AMANIPARTY

    TANZANIA Mpya inakuja

    Chama Hiki jukumu lake si Dogo.. tunajua hili na Tunathubutu kwa hili.. Kuhakikisha watanzania wanafunguka na kupata uelewa na kujijua wao ni akina nani na nini tunatakiwa sasa tufanye. Kumwamsha mtu mmoja na kumwonyesha stahili yake ni kazi ngumu na ugumu zaidi ni pale inapogharimu kuamsha...
  7. AMANIPARTY

    TANZANIA Mpya inakuja

    Tunaposema watanzania Akili na Uelewa wetu bado Umelazwa, tuna maanisha nini.. Akili ni uwezo ambao binadamu yeyote anao, ambao watanzania Tunao zaidi. Ili mtu aweze kuitumia akili yake barabara lazima kuwepo na nyenzo. Unafikiria kwanza kisha unapewa nyezo ili kile ulichokifikiria ukiweke...
  8. AMANIPARTY

    TANZANIA Mpya inakuja

    WATANZANIA tunao mtaji ambao ni hazina Ndani ya nchi yetu katika mambo makuu matatu: 1. Lugha: Watanzania Tuna Hazina ya Lugha ya Kishwahili ambayo sio chimbuko la kabila mojawapo ndani ya Nchi yetu. Mateso Tuliyoyapata kwenye Biashara kandamivu ya Utumwa, Mchanganyiko wa zaidi ya lugha za...
  9. AMANIPARTY

    Ni AVATAR gani inakupendezea

    Ya njowepo inatusisitizia kwamba kampeni ijayo ya 2015, kutakuwa na Helcopter kama mvua..
  10. AMANIPARTY

    Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    Threads zenu ni za Muhimu kwa wana Jf na watanzania pande zote za dunia. Kuna maelfu ya watu tunazipitia na kuzisoma kwa umakini tukitafuta hoja kamili kwa kila neno, manake watu husema lisemwalo lipo.. hivyo basi, ni vema kujenga majibu yenye hoja, hata mtu akisoma anatambua kwamba KICHWANI kwa...
  11. AMANIPARTY

    Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    Miaka hii tunayoitazama mbele yetu, ni miaka makini kwa watu makini . Wakati ambao nchi tulizoziita zimeendelea, leo hii wamenasa kwenye mtego wa kutokujua "what next." ni nafasi pekee kwa nchi za Kiafrika sasa, kupenya na Kuongoza mapinduzi ya sayansi, uchumi na siasa za Ulimwengu. Kwa hiyo...
  12. AMANIPARTY

    Nimedanganywa mara tatu!

    Miaka hii tunayoitazama mbele yetu, ni miaka makini kwa watu makini . Wakati ambao nchi tulizoziita zimeendelea, leo hii wamenasa kwenye mtego wa kutokujua "what next." ni nafasi pekee kwa nchi za Kiafrika sasa, kupenya na Kuongoza mapinduzi ya sayansi, uchumi na siasa za Ulimwengu. Kwa hiyo...
  13. AMANIPARTY

    How to use JamiiForums effectively

    Miaka hii tunayoitazama mbele yetu, ni miaka makini kwa watu makini . Wakati ambao nchi tulizoziita zimeendelea, leo hii wamenasa kwenye mtego wa kutokujua "what next." ni nafasi pekee kwa nchi za Kiafrika sasa, kupenya na Kuongoza mapinduzi ya sayansi, uchumi na siasa za Ulimwengu. Kwa hiyo...
  14. AMANIPARTY

    Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    Miaka hii tunayoitazama mbele yetu, ni miaka makini kwa watu makini . Wakati ambao nchi tulizoziita zimeendelea, leo hii wamenasa kwenye mtego wa kutokujua "what next." ni nafasi pekee kwa nchi za Kiafrika sasa, kupenya na Kuongoza mapinduzi ya sayansi, uchumi na siasa za Ulimwengu. Kwa hiyo...
  15. AMANIPARTY

    Muswada wa Sheria ya Mapitio ya Katiba: Download na pitia uone kilichomo na usambaze

    Chakachueni... Chezeni Ngoma ya Katiba muwezavyo.. tambueni hamtakaa hapo milele.. Tumekuja.. TUMEWASILI.. watanzania hawajalala kiasi hicho.. Ni katiba gani, ya nchi gani!! isiyojieleza yenyewe inavyoweza kubadilika au kufikia UKOMO wake..? kiasi kwamba jambo hili limekuwa la kupikwa kila...
Back
Top Bottom