Search results

  1. Kila Mbongo

    Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

    Aisee ngoja wataalam waje kukushauri.
  2. Kila Mbongo

    DOKEZO Uongozi wa The Guardian haujatulipa mshahara miezi mitano lakini Raia Wa kigeni wanalipwa kama kawaida

    Poleni sana,nendeni ofisi ya afisa kazi ipo Tume ya Usuluhishi na Uamuzi(CMA) kituo cha basi Akiba/CBE Posta.
  3. Kila Mbongo

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Kama unzo hizo picha nitumie inbox tafadhali.
  4. Kila Mbongo

    Moja ya harusi bora kabisa hii

    Mshamba tu huyo aache upumbavu wake!
  5. Kila Mbongo

    Kama hujawahi kufika jiji la Tanga, basi haya ndio mambo yanayopatikana huko

    Haya maendeleo yote yalifanyika kwa asilimia kubwa kipindi cha utawala wa Ujerimani kwa kua ndio ulikua mji mkuu wao wa utawala.
  6. Kila Mbongo

    TANZIA RIP Nono Monzuluku - Class Zaiko Langa Langa Grand Animator

    Da!Kumbe amefariki jamaa...unakumbuka pambano lake na Roberto Wunda Ekokota Wenge walipoimba pamoja na Zaiko?Jamaa alikimbizwa balaa!😀😀😀
  7. Kila Mbongo

    Hela ndogo ndogo unazozidharau ndo chanzo cha kufeli kwenye maisha yako

    Binafsi michango ya harusi naumia sana nikitoa maana ni upotevu wa hela tu japokua michango mingine ni midogo.
  8. Kila Mbongo

    Kuwa na uwezo wa kujitegemea ni muhimu kuliko utajiri

    Hiki ndio kitu ninacho akilini mwangu....maswala ya utajiri sijawahi kufikiria kichwani kwangu zaidi ya kujitegemea kimaisha kwa mahitaji ya msingi tu.
  9. Kila Mbongo

    Tetesi: DSTV kuindoa chanell namba 160 Maisha Magic Bongo

    Ni kweli mimi nina Dstv na wametutumia huo ujumbe kututaarifu.
  10. Kila Mbongo

    Hasheem Thabeet arudi Tanzania, kuichezea timu ya Pazi ligi ya kikapu Bongo

    Hakuna cha mganga....jamaa hakuwahi kuwa na kipaji.
  11. Kila Mbongo

    Nilichojifunza kwenye msiba wa kaka

    Hivi aliyeishi vibaya au vizuri na watu akifa kuna tofauti gani baina ya hao watu wawili?
Back
Top Bottom