Search results

  1. M

    Vigogo bodi ya kahawa moshi wachunguzwa kwa ufisadi

    Nimesoma kwenye magazeti ambapo Katibu Mwenezi wa CCM Moses NNauye akiwataja Mawaziri wa Kilimo kuwa wanatakiwa kujieleza kwa kushindwa kutekeleza wajibu wao. Katika mambo wanayotakiwa kuyatolea maelezo pia ni pamoja na matokeo ya hii tume ambayo mapendekezo yake wameyakalia. Je nini...
  2. M

    Mh. Waziri wa kilimo Christopher Chiza nusuru sekta ya kahawa kwa kutomwongezea mkataba mkurugenzi

    Nimekuwa nafuatilia yanayotokea ndani ya Bodi ya Kahawa na kuona kuwa sasa hivi Bodi hiyo haitekelezi tena majukumu iliyopewa tangia Bw. kumburu amekuwa Mkurugenzi mkuu. Tatizo ninaloliona hapa ni uwezo mdogo wa Kumburu kusimamia shirika kubwa kama hili lenye maslahi mapana. Matokeo yake...
  3. M

    Bodi ya Kahawa Tanzania inavyowaibia wakulima wa kahawa

    Maelezo haya ni ya kweli na ya kitaalam, hayapaswi kupuuziwa pamoja na tuhuma nyinginezo nyingi anazotuhumiwa Mkurugenzi mkuu wa Bodi Adolph Kumburu. Kwa manufaa ya taifa serikali inabidi ichukue hatua.
  4. M

    Mkurugenzi wa Bodi ya Kahawa Adolph Kumburu azidi kuonyesha vituko

    Maneno mazito yanayotakiwa kufanyiwa kazi. Mh. Ngasongwa hata kama atakuwa amepeleka mapendekezo ya kumwongeza muda Kumburu hilo litakuwa ni shinikizo toka kwa waziri kwani Kumburu amemjuaje kwa muda mfupi aliokaa naye hadi amwone anafaa na kupendekeza aongezwe muda. Mapendekezo ya kufuata ni ya...
  5. M

    Mkurugenzi wa Bodi ya Kahawa Adolph Kumburu azidi kuonyesha vituko

    Hata kama mleta mada atakuwa ameguswa kimaslahi na vitendo vya Kumburu&Co, bado mambo aliyoyaandika yanaipa fursa serikali kujua maovu yanayotendeka ndani ya taasisi yake na kuyafuatilia.
  6. M

    Mkurugenzi wa Bodi ya Kahawa Adolph Kumburu azidi kuonyesha vituko

    Nimeona niingie kumtetea Elias Temu, ni kweli Kumburu alikuwa amemrubuni akamwamini akijua pengine wafanyakazi wanaoonewa wana makosa ila sasa ameshuhudia mwenyewe. Kitendo cha kujua ukweli akaanza vita ya kukemea maovu ni Mungu amemwangazia na hatuwezi kumulaumu. Tunamwomba Mungu na wengine...
  7. M

    Prof. Sospeter Muhongo VS Dr. Peter Slaa 2015!!

    Professor Sospeter Muhongo akisimamishwa na chama chake atawashinda wagombea wengine kwa misingi ya kuwa: 1. Chama chake ndicho kinachokubalika kwa watanzania walio wengi. 2. Ni jasiri ambaye ameweza kupambana na ufisadi ndani ya TANESCO 3. Ni msomi mzuri tena taaluma yake ndiyo inategemea...
  8. M

    Mkurugenzi mkuu bodi ya kahawa azidi kupagawa

    Taarifa zilizojitokeza ni kuwa Mkurugenzi Mkuu Bodi ya kahawa anaendelea kufukuza wafanyakazi bila ya kufuata sheria. Kuna mfanyakazi mwingine jana amemfukuza kazi kwa kutokuwa kazini huku anaumwa. Amefukuzwa kazi wakati uongozi mzima unajua kuwa ni mgonjwa na juzi juzi tu amefanyiwa upasuaji...
  9. M

    Waziri Maghembe anastahili pongezi katika kuteua Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Kahawa

    Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya kahawa Bw. Adolph Kumburu amekuwa akipambana kwa kutumia waadishi wa habari mbali mbali kuzuia kikao cha Bodi kinachotakiwa kufanyika tarehe 21st November, 2012 kisifanyike. Kwanza kwa kumtumia Bw. Daniel Mjema mwandishi wa gazeti la Mwananchi kwenye toleo la tarehe...
  10. M

    Mwakilishi wa gazeti la Mwananchi - Moshi Bw. Daniel Mjema ana maslahi na Kumburu.

    Katika gazeti la Mwanachi la tarehe 7th November 2012 kuna makala iliyoandikwa na Bw. Daniel Mjema ikimtaka Rais amwajibishe Waziri Maghembe kwa kuteua Bodi ya Wakurugenzi kinyume cha kanuni. Bw. Mjema ameenda mbali zaidi akimtaka hata Dr. Hawa Sinare naye ajiuzulu asije akaaibishwa. Msimamo...
  11. M

    Mkurugenzi Mkuu Bodi ya Kahawa Adolph Kumburu ndiye tatizo

    Sawa kabisa through e-com,Tutunze Kahawa, Solidaridad, Cafe Africa, Sustainable Harvest syndicate.
  12. M

    Mkurugenzi Mkuu Bodi ya Kahawa Adolph Kumburu ndiye tatizo

    Kuna taarifa ya kuwa Bodi ya Wakurugenzi ya Bodi ya kahawa kwa mara nyingine tena inavunjwa. Serikali itavunja kila Bodi itayounda kama haitashughurikia kiini cha tatizo ambacho ni Mkurugenzi Mkuu wa Bodi. Tume zote zilizoundwa zilimkuta Kumburu ndiye mwenye makosa. Ila kila wakijiandaa...
  13. M

    Pius Ngeze: Mfupa uliomshinda fisi waonyesha dalili za kupata mlaji...

    Siyo kweli kwani hao waliotajwa walishajiendeleza katika taaluma zao, mathalani Idara ya Masoko hata kama walikuwa ni form IV si walishapelekwa nje wakapata ujuzi zaidi katika fani ya kuonja k.m Bw. Mboya. Bw. Mboya amekubuhu katika taaluma ya uonjaji na amehudhuria kozi nyingi na amewahi...
  14. M

    Pius Ngeze: Mfupa uliomshinda fisi waonyesha dalili za kupata mlaji...

    Nitakutajia majina ya wafanyakazi aliojizungusha kuwa ni: 1. Primus Kimaryo Huyu ni Mkurugenzi wa Masoko. Alikuwa Bodi ya Kahawa akaacha kazi na kuamuajili Kilicafe. Kilicafe ni association iliyoanzishwa na Kumburu alipokuwa Technoserve, tena yeye mwenyewe aliwahi kuwa Meneja wa Kilicafe...
  15. M

    Pius Ngeze: Mfupa uliomshinda fisi waonyesha dalili za kupata mlaji...

    Kilaza aliyewekwa benchi ni yupi, je unajua uwezo wa kumburu na elimu yake ni kiwango gani. Ni vizuri ufuatilie utajua kumbe kilaza ni Kumburu mwenyewe kwani ameshindwa kabisa kuendesha Bodi na kukimbilia kuunda makundi ya kumlinda. Historia yake inajionyesha kwani alikimbia Alminium Africa kwa...
  16. M

    Mhemiwa Zambi on Maghembe's neck

    Hata kama aliweka SWOT analysis yake vizuri hakuna ambaye angetarajia kuwa viongozi wa serikali wanaweza kuwa Threat kiasi cha kwenda kinyume na sera ya soko huria. Prof. Mwakyusa atakuwa ameingizwa mkenge na Mh. Zambi mpaka akadai kuwa wamefanya utafiti asilimia 94.4% ya wakulima wa kahawa...
  17. M

    Mhemiwa Zambi on Maghembe's neck

    Bei za mazao ya biashara zinatawaliwa na soko la dunia, zinaweza kupanda au kushuka. We ulitaka bei zikishuka katika soko la dunia eti kwa vile waziri mkuu ameshatangaza bei, bei ya Tanzania ibaki hapo hapo. Ukiona Waziri Mkuu alikaa kimya uelewe wazi aliridhika na maelezo aliyopewa na washauri...
  18. M

    Mhemiwa Zambi on Maghembe's neck

    Mheshimiwa Zambi anaendelea kulazimisha jambo ambalo ameishajibiwa na Waziri Mkuu kuwa linafanyiwa kazi. Analazimisha kwa vile aliyemtuma Bw. Kumburu(Mkurugenzi mkuu wa Bodi ya Kahawa) anaona mwisho wake unakaribia. Hivyo kwa maslahi ya Kumburu yuko tayari amlazimishe Waziri Mkuu avunje katiba...
  19. M

    Mgogoro Wa Kahawa Mbozi Mbeya na Maslahi Ya Wanasiasa(MhZambi, DC Kimolo, Kumbulu)!!

    Inaonekana mchangiaji anaelewa mambo ya kahawa kuliko hata wale waliopewa jukumu la kusimamia biashara hii. Hivi Kumburu hasomi maoni kama haya ili yamsaidie kuondokana na kutetea maslahi binafsi.
  20. M

    Mkurugenzi mkuu wa bodi ya kahawa ameamua kupambana na bodi ya wakurugenzi wake

    Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Kahawa kwa namna moja au nyingine kaamua kumwanika Mwenyekiti wa Bodi hiyo kwenye gazeti la leo 20/6/2012 la Mwana Halisi uk wa 16 je sheria hapa inasemaje kwamba mwenyekiti ambaye ni mteuliwa wa Rais hana mamlaka ya kuitisha kikao cha dharura cha bodi? Je ni kweli...
Back
Top Bottom