Search results

  1. bi mkora

    Kada uvccm afumaniwa live iringa

    KADA WA UVCCM IRINGA ALIVYOFUMANIWA AKISALITI NDOA YAKE Ni vigumu kuamini ila inapotokea huwa ni vigumu kuvumilia. "Je ndo chama au ni kichaka cha umalaya" na kauli ya mume wa kada huyu pichani baada ya kufumania ubavu wake ukisaliti ahadi ya ndoa. Ilikuwa ni majira ya saa 12 jioni eneo...
  2. bi mkora

    Mkuu wa Mkoa Arusha tutake radhi wakazi wa Arusha

    Jana jioni mkuu wa mkoa wa Arusha alifanya kipindi maalumu kaitka Radio Triple A arusha na kusisitiza kuwa wananchi tuwe na amani na kuwa leo hakutakua na mgomo wa daladala. Mkuu huyu wa mkoa wa Arusha hakutupa angalizo lolote kuhusiana na mgomo huu na akatuahidi kuwepo kwa usafiri na amani kwa...
  3. bi mkora

    Leo ni leo

    Tuko pamoja leo usijali:
  4. bi mkora

    Kesi ya Ocampo six Live kutoka the Hague

    Ile kesi ya post election conflict iliyotokea kenya sasa ivi inaunguruma Live kutoka the Hague na kurushwa na kituo cha TV cha KBC. Wadau mlio karibu na luninga mnaweza kutazama. Na sasa iko katika confirmation hearing mmoja kati ya watuhumiwa anabananishwa kwa maswali. Alamsiki.
  5. bi mkora

    huyu dada

    mtoto kajipinda, sijui ni nani huyu jamani
  6. bi mkora

    ni kina dada hawa jamani

    ndo utandawazi huu?
  7. bi mkora

    It was nice dinner

    tunaendana?
  8. bi mkora

    mdogo wangu yupo masomoni

Back
Top Bottom