Wakuu poleni majukumu.
Wakuu naombeni msaada kwenye jambo hili kwa wataalumu wa magonjwa hususani kwa watoto.
Naombeni kufahamu kwamba Je NIMONIA ina tiba?
Kama tiba ipo je mtoto wa mwaka mmoja atapewa tiba gani na Dawa zipi ambazo zina uwezo wa kumuondolea ugonjwa wa NIMONIA unao...
MTAZAMO HASI WA WAHITIMU WA VYUO VIKUU TANZANIA NA TATIZO LA AJIRA TANZANIA, NI NINI KIFANYIKE NA SULUHISHO LA TATIZO HILO NI LIPI?
NA, MrPhilosopher Kanju-MPK.
KISEMVULE, TANZANIA 10.02.2022
Nchini Tanzania kumekuwa na wimbi kubwa sana la wahitimu wengi wa vyuo vikuu na watimu hao baada ya...
UKWELI NA UONGO KATIKA MUKTADHA WA MAISHA YA KAWAIDA, NA NI IPI NAFASI YA UKWELI KATIKA MUKTADHA WA MAISHA YA KAWAIDA NA NI IPI NAFASI YA UONGO KATIKA MUKTADHA WA MAISHA YA KAWAIDA.
Na, MrPhilosopher Kanju.
Ukweli ni hali ya kuweka wazi ili kutambulika kwa kitu kilicho fichika. Na ukweli...
Wakuu poleni na majukumu ya kikazi. Naombeni msaada wakuu wangu hivi tatizo la kipanda uso linasababishwa na nini? Na je kuna tiba ya kuliondosha tatizo hilo?
Mwenye kujua naombeni msaada wakuu wangu.
KANJU’S THEORY OF ELECTION IN DEMOCRATIC STATES / NADHARIA YA KANJU YA UCHAGUZI KATIKA NCHI ZA KIDEMOKRASIA
Mimi swaibu Kanju (MrPhilosopher Kanju) nimeona leo tarehe 04/09/2020 niandike nadharia hii ya uchaguzi katika katika nchi ya kidemokrasia. Lengo la nadharia hii ni kutoa mtazamo wangu...
KANJU’S THEORY OF ELECTION IN DEMOCRATIC STATES / NADHARIA YA KANJU YA UCHAGUZI KATIKA NCHI ZA KIDEMOKRASIA
Mimi swaibu Kanju (MrPhilosopher Kanju) nimeona leo tarehe 04/09/2020 niandike nadharia hii ya uchaguzi katika katika nchi ya kidemokrasia. Lengo la nadharia hii ni kutoa mtazamo wangu...
JE UKOMAVU WA KIAKILI NI NINI? SABABU ZINAZO PELEKEA MTU KUKOMAA KIAKILI, SABABU ZINAZO PELEKEA MTU KUSHINDWA KUKOMAA KIAKILI, JE UNAWEZAJE KUMTAMBUA MTU ALIYEKOMAA KIAKILI.
NA, Mr PHILOSOPHER KANJU
Je ukomavu wa kiakili ni nini?
Ukomavu wa kiakili ni hali ya akili kufikia kipimo cha kujua kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.