Search results

  1. MrPhilosopher Kanju

    Ugonjwa wa NIMONIA una tiba?

    Asante Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
  2. MrPhilosopher Kanju

    Ugonjwa wa NIMONIA una tiba?

    Asante sana kwa ushauri Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
  3. MrPhilosopher Kanju

    Ugonjwa wa NIMONIA una tiba?

    Nashukuru sana kwa ushauri wako mkuu wangu.
  4. MrPhilosopher Kanju

    Ugonjwa wa NIMONIA una tiba?

    Tunajitahidi mkuu. Nipe ushauri wa aina ya hivyo vyakula ambavyo tunaweza mpatia kwa ajili ya kinga mwili
  5. MrPhilosopher Kanju

    Ugonjwa wa NIMONIA una tiba?

    Nashukuru sana mkuu kwa ushauri wako asante sana.
  6. MrPhilosopher Kanju

    Ugonjwa wa NIMONIA una tiba?

    Ndio walisema ni ya muda mfupi akapatiwa dawa lakini imeanza kumsumbua tena baada ya kipindi kirefu kupita.
  7. MrPhilosopher Kanju

    Ugonjwa wa NIMONIA una tiba?

    Wakuu poleni majukumu. Wakuu naombeni msaada kwenye jambo hili kwa wataalumu wa magonjwa hususani kwa watoto. Naombeni kufahamu kwamba Je NIMONIA ina tiba? Kama tiba ipo je mtoto wa mwaka mmoja atapewa tiba gani na Dawa zipi ambazo zina uwezo wa kumuondolea ugonjwa wa NIMONIA unao...
  8. MrPhilosopher Kanju

    Wahitimu wa Vyuo Vikuu Tanzania na mtazamo hasi dhidi ya ajira na kujiajiri

    Dada Neema. Niseme kwamba yaani umenirahusishia kutoa ufafanuzi wa uzi wangu kama nilivyo lenga. Maarifa tu uliyoyapata kupitia chuo ni makubwa sana na ukiyatumia vizuri yanaweza kukubadilishia maisha nje ya kuajiriwa. Shukrani sana Dada yangu.
  9. MrPhilosopher Kanju

    Wahitimu wa Vyuo Vikuu Tanzania na mtazamo hasi dhidi ya ajira na kujiajiri

    Dahhh mkuu umetoa ushauri mzuri sana ni jukumu la serikali kupokea mapendekezo na ushauri unaotolewa na vijana kama huu uliotoa mkuu. Noted mkuu[emoji419]
  10. MrPhilosopher Kanju

    Wahitimu wa Vyuo Vikuu Tanzania na mtazamo hasi dhidi ya ajira na kujiajiri

    Kwa hiyo mkuu serikali inatakiwa kubadili mfumo uwe rafiki kwa vijana na kutengeneza miundombinu bora. Noted mkuu[emoji419]
  11. MrPhilosopher Kanju

    Wahitimu wa Vyuo Vikuu Tanzania na mtazamo hasi dhidi ya ajira na kujiajiri

    Kwa hiyo mkuu kwa mtazamo wako shida ipo kwa serikali. Hivyo serikali iwe na njia mbadala ya kulitatua hilo. Noted mkuu[emoji419]
  12. MrPhilosopher Kanju

    Wahitimu wa Vyuo Vikuu Tanzania na mtazamo hasi dhidi ya ajira na kujiajiri

    Kwa hiyo mkuu kama serikali inafanya hivyo kwa hiyo vijana wasibadili mawazo wasubiri tu kuajiriwa?
  13. MrPhilosopher Kanju

    Wahitimu wa Vyuo Vikuu Tanzania na mtazamo hasi dhidi ya ajira na kujiajiri

    Kwa hiyo mkuu Serikali kufanya hivyo je vijana wabweteke? Na je unawashaurije vijana? Maana ndio serikali imeamua hivyo na hakuna suluhisho kutoka serikalini.
Back
Top Bottom