Search results

  1. Chacho Haulage

    Noti ya mia tano ya zamani inahitajika,iwe na nyati,nyoka,jengo pamoja na picha ya nyerere ikiwa kwa ndani,offer 120k(laki na ishirini).

    Mkuu ninazo hizo hizo unazozihitaji. Niko mbali kidogo na nilikozihifadhi ila nitajitahidi kesho nikutumie picha
  2. Chacho Haulage

    Noti ya mia tano ya zamani inahitajika,iwe na nyati,nyoka,jengo pamoja na picha ya nyerere ikiwa kwa ndani,offer 120k(laki na ishirini).

    Ninazo 8. Umesema wewe ni dalali, kwenye hiyo 120 wewe yako ni ngapi tujue kabisa?
  3. Chacho Haulage

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Nafikiri anwani ni moja tu ya makao makuu Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
  4. Chacho Haulage

    Mliofanikiwa kutoa Zaka asilimia 10% ya vipato vyenu mmewezaje? Binafsi naishia kusaidia 2% hadi 4%

    Mbinu ni moja tu. Panga bajeti yako kwenye kiasi kinachobaki baada ya kutoa zaka. Kinyume na hapo zaka hutawezana nayo
  5. Chacho Haulage

    Anahitajika mdada kwaajili ya kuuza Bulding Materials Dodoma

    Kumbe ndiyo maana majirani zetu hawatutaki kabisa kwenye kazi zao, mleta mada kasema atalipa laki tano wewe unataka ulipwe laki tatu
  6. Chacho Haulage

    Job seeker

    Nipo singida mkuu
  7. Chacho Haulage

    Job seeker

    Mtambo gani mwingine unafahamu kuoperate? Mimi binafsi nimejifunza wheel loader, excavator na backhoe loader. Natafuta mahali nipate uzoefu kwenye mtambo wowote kati ya hizo.
  8. Chacho Haulage

    Job seeker

    Sikati tamaa mwamba. Ikitokea umepata sehemu tushtuane mzee
  9. Chacho Haulage

    Job seeker

    Pale manyoka ilikuwa marufuku kwahiyo tulikuwa tunajiiba usiku halafu mradi ulikuwa mwishoni.
  10. Chacho Haulage

    Job seeker

    Mkuu mimi sina cheti ila nimejifunzia mtaani naomba koneksheni nipate uzoefu
  11. Chacho Haulage

    Sumu ya kuua kunguru ni ipi?

    Ha ha ha ha. Dawa ni moja watege na neti ukiwakamata wapeleke ukawatelekeze huko njombe baridi iwashikishe adabu
  12. Chacho Haulage

    Sumu ya kuua kunguru ni ipi?

    Nawewe punguza uwoga. Sasa unajifungia ndani kisa kunguru?
  13. Chacho Haulage

    Leo nimekutana na nyoka kisirani sijawai kuona

    Ulikuja na mkwara mkali ghafla umezima fegi[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Ugomvi umeuanza mwenyewe kaa tayari kwa lolote
  14. Chacho Haulage

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Lete connection za mtaani boss
  15. Chacho Haulage

    Nimepata Barua ya uhamisho ndani ya miaka 2 kazini

    Anajaribu kufanya mawasiliano na watu wa IT aliosoma nao elimu ya upili wamsaidie kuondoa
  16. Chacho Haulage

    Kampuni ya Abood muondoeni huyu kijana kazini ana lugha chafu na za maudhi sana

    Huenda ikawa sababu ya kutimuliwa na mwanajangwani (natania tu) Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
  17. Chacho Haulage

    Watu wa Bara acheni ushamba na ujuaji mkija Mjini

    Zungumzia mambo mengine wakati unalinganisha pwani na bara ila siyo ukeketaji. Kwenye ukeketaji huna unachojua Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
  18. Chacho Haulage

    Mimi ni Wakili natafuta ajira katika ofisi za Wakili wa kujitegemea

    Karibu Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
  19. Chacho Haulage

    Hii ikoje kwa Premio (F) 1490?

    Kwenye wese taja lita usitaje kiasi ulichonunulia
Back
Top Bottom