Search results

  1. Mech engineer

    Kwa wanamazoezi ya kukimbia pembezoni mwa barabara tukutane hapa tujadili jambo

    Siku mbaya sana kufanya mazoezi ni weekend, nyie mnaamka kukimbia kuna watu wanarudi kutoka kulewa. Bora jogging ifanyike week days.
  2. Mech engineer

    Wamiliki wa Mabasi waomba Mabasi yaruhusiwe kusafiri kwa Spidi 100 badala ya 80

    100 speed ya kawaida sana, watu na IST tunakula 180 halafu fresh tu.
  3. Mech engineer

    Mada: Fahamu mambo mbalimbali kuhusu gari aina ya Subaru Forester

    Wakuu timing belt ya subaru forester 2003 ntapata kwa shi ngapi?
  4. Mech engineer

    Lori lililoibwa Ruvuma lapatikana Njombe

    Mwamba anakula nyundo 15 kizembe kabisa.
  5. Mech engineer

    FT: NBC PREMIER LEAGUE: Simba SC 3-1 Coastal Union | 09/06/2023

    Sio kwamba anakula peke yake? Maana idadi ya mechi alizocheza ni chache
  6. Mech engineer

    FT: NBC PREMIER LEAGUE: Simba SC 3-1 Coastal Union | 09/06/2023

    Mtu kacheza game chache bado anabeba kiatu. Msimu ujao tutawaua
  7. Mech engineer

    FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

    GSM sio mjinga alijua 60M hawa jamaa hawatoboi
  8. Mech engineer

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mamelodi wameondoka na laki yangu
  9. Mech engineer

    Kwani polisi wanafeli wapi mpaka tuanze kulipa hela ya sungu sungu

    DIvision four ndo waombe u polisi "Simbachawene" Badala ya kujibu hoja ni sheria ipi wewe unakuja na porojo, jambo likifanywa na watu wengi halafu ni kosa, halihalishi ubaya wake.
  10. Mech engineer

    Kwani polisi wanafeli wapi mpaka tuanze kulipa hela ya sungu sungu

    Sheria inasemaje kuhusu hili? Mbona maeneo mengine hao watu hawapo? Kama kuna kifungu naomba share hapa tukione.
  11. Mech engineer

    Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Nahitaji engine mounting za premio x ya 2006
  12. Mech engineer

    Umeshakutana na shida gani kwenye gari lako upewe suluhisho?

    Gari kutoa moshi mweupe hapo kuna gasket zinavuja oil inachanganyikana na mafuta. Au coolant inavuja. Au fuel injector imekufa hivo kupelekea gari kutumia mafuta mengi kwa umbali mdogo.
  13. Mech engineer

    Umeshakutana na shida gani kwenye gari lako upewe suluhisho?

    Mkuu angalia balance ya upepo pia. Kama moja ya tyre ina pressure kubwa kuliko nyingine hilo tatizo haliepukiki. Mimi nimekosa muda wa kuziba moja ya tyre langu hilo tatizo nakutana nalo kila baada ya siku tatu. Nikibalance upepo natembea vema kabisa kama niko na Range.
  14. Mech engineer

    Nahitaji kumroga mtu, aliyenipiga mbele ya mke wangu

    Kijumba cha tofali 300? Naomba connection na mimi nikijenge.
Back
Top Bottom