Search results

  1. Scolari

    Msaada wa Chimbo la misosi Goba

    Kwema? Goba kuna chimbo gani ninapoweza kwenda kula na kunywa nikaridhika? Chimbo liwe na watoto ili wakati nakula nakunywa wakipitapita niwe napata raha.
  2. Scolari

    Ni Biashara ipi ya Kariakoo ina faida kubwa kwa mfanyabiashara mwenye mtaji mdogo

    Ni Biashara ipi inayopatikana kariakoo ina faida kubwa kwa mfanyabiashara mdogo mwenye mtaji mdogo? Mtaji wa laki moja hadi laki tano. Na ieleweke sio lazima biashara ya kuuza iwe kariakoo yawezekana kufanyika kariakoo au kwingine ila biashara ya manunuzi ndio lazima iwe kariakoo
  3. Scolari

    Wizi wa viatu msikiti wa Manyema

    Kwanini kuibiana viatu katika msikiti? Hii tabia ikomeshweeeee Kwani ni lazima kila mtu aende kavaa kobazi? Tazama video chini
  4. Scolari

    Msaada wa namna ya kufika Baa ya Lubumbashi

    Nataka kwenda lubumbashi Bar napitia wapi? Kutoka Kimara Suka?
  5. Scolari

    Msaada tutani: Je? Ninaweza kukatisha muda wa fixed account?

    Nimeweka pesa fixed account CRDB je naweza katisha muda kisha niitoe pesa yangu? Au ni strict lazima ningoje muda ufike? Natanguliza shukrani
  6. Scolari

    Msaada: naomba kujua Ada vyuo vikuu vya serikali

    Wasalaam wakuu...... Kama kichwa cha habari kinavyojieleza waungwana naomba kujuzwa Ada kwa vyuo vikuu vya serikali ni kiasi gani kwa undergraduate degree program yaani ile tunasemaga digrii
  7. Scolari

    Bata na starehe ya maana Tabora

    Juzi tu nimetoka tabora Ni baada ya kitambo kirefu Nimekuta tabora imebadilika Katika sehemu zote nyingi za starehe Terrace lounge imekaa uzuri sana Pale ni pazuri na pana hadhi nzuri Kuna kila aina ya burudani unayotaka Na vibe la maana mimi nilijikuta naondoka kwenye lodge kuchukua mizigo...
  8. Scolari

    Tupeane Location za bata kwa Dar

    Naomba tupeane location za bata kwa dar Cha msingi kuwe na kila kitu namaanisha kuwe na kila bata Popote tutakula bata Mods kwanini mnafuta uzi kama hapa ni sehemu ya "where we dare to talk openly"? Au sababu ya kuulizia watu wanaosoma? Haya sijawaulizia kwenye huu uzi naomba msiutoe ili na...
  9. Scolari

    Msaada: Kuchumbia uhayani

    Nafsi yangu inanituma kuoa baada ya kupitia maisha yenye karibu kila sura na nimempata binti mzuri wa sura na nafsi ambaye pamoja na ujinga na uchafu wangu amekua na mimi kwa takribani miaka miwili sasa ninawiwa kumuoa •Ninaomba msaada kwa wazoefu ninahitaji kufanya taratibu zipi za kimila...
  10. Scolari

    Msaada: Mahali gani pazuri kwenda outing hapa Dar kwa 50k?

    Waungwana kwema? Wale wa kataa ndoa endeleeni ninawatia moyo ili mtafute amani yenu na sisi tunaotaka kuoa tuwe makini kuchagua na wenye majukumu ya kitaifa tunawatia moyo Ninaulizia sehemu nzuri ambayo ina hadhi ambapo ninaweza mpeleka manzi kwa ajili ya dinner kwa gharama isiyozidi 50000...
  11. Scolari

    Nifanye nini? Ninalemewa na uraibu wa kununua malaya

    NIFANYE NINI? Ninashawishika sana kuanza tena kununua malaya-Dua zenu wadau Imekua kitambo kidogo tangu nilete hapa uzi wa kuacha kununua malaya ila cha ajabu nimeanza kua tempted Sio kwamba sina manzi wa kuwatia,manzi ninao watatu ambao nikinyanyua sim nataka game leo au sasa hivi wanakuja...
  12. Scolari

    Wapi nitapata bufee (buffet)?

    Kwema watu wa ulimwengu? Wapi nitapata buffee kwa Mwanza na Dar mahali ambako nitaenda kulipa pesa na kula ninavyotaka? Namaanisha nikishalipa naruhusiwa kula chochote isipokua kubeba tu. NB: Kama haujui kama mimi soma comments majuvi watusaidie, hii siyo thread ya story.
  13. Scolari

    MSAADA: Hilda Phoya wa Azam TV ameolewa?

    Wasalaam wakuu, Niko katika harakati za kutafuta mtu wa kuishi naye maisha yote nitakayoishi kwenye hii sayari. Kuna huyu dada anatanganza Morning Trumpet wa Azam TV, ana sura nzuri, rangi safi na zaidi umbo lake linanimaliza. Naulizia kaolewa, na kama bado nampataje? Popote ulipo Hilda Phoya...
  14. Scolari

    Msaada: Machimbo ya jezi, mipira na vifaa vya michezo Kariakoo

    Natumaini ni kwema wakuu..... Naomba kujua machimbo ambapo naweza kua napata jezi mipira na viatu vya michezo pamoja na vifaa vingine hasa vya mpira wa miguu. Natamani kufahamu kule wanakonunua wanaouza rejereja Kariakoo manake naamini wananunua humohumo ila ndio sipajui kwa sababu kila...
  15. Scolari

    Jana nimeacha rasmi kununua dada poa

    Wakuu natumaini tuko salama na shughuli za kila siku Usichoke kusoma.... Niliwaza kuja na ID mpya ila nikakataa sababu wanaonifahamu ni wawili tu hapa na tulifahamiana hapahapa Kitambo nilikua na date wadada kama kawaida nikawa naleta mapenzi ya filipino hapa tanzania nikakutana na muirak na...
  16. Scolari

    Msaada: Wapi nitapata kitimoto iliyorostiwa vizuri Mwanza

    Wasalaam, Naomba kusaidiwa ni wapi naweza pata kitimoto iliyorostiwa vizuri kwa Mwanza?
  17. Scolari

    Msaada: Naomba kufahamishwa mapungufu ya Mitsubishi Outlander

    Niko katika research yangu ya gari nzuri kwa sababu si muda mwingi nitamiliki. Nimeitazama hii Mitsubishi Outlander imenivutia kimuonekano na uwezo wake wa kubeba raia kwa maana ya wingi wa seat. Yapi mapungufu yake na changamoto zake?
  18. Scolari

    Msaada kuhusu ushuru TRA

    Je hiyo amount iliyowekwa hapo ambayo imeeleza kuhusu clearing na forwarding ni tofauti na ile ya TRA? Maana yake ukitoka hapo ndio unaenda TRA tena? Mungu tusaidie sisi watanzania wenye ndoto za kumiliki magari.
  19. Scolari

    Chuma hiki; Hyundai Azera, affordable sportcar

    Chuma hiki Hyundai Azera 2017-2021 Nina matarajio within 5-7 years kua na usafiri huu wa chuma hiki hyundai azera Baada ya kuifuatilia nimeona machache kwa wadau kama haya hapa Kwanza ni sport car ambayo ni affordable(sportcar ni stable) Ni chuma kwelikweli Iko vizuri kwenye mwendo Ina...
  20. Scolari

    Msaada lodge nzuri Morogoro

    Habari wakuu Soon nitaelekea morogoro naomba msaada wa kujua lodge nzuri Location-Morogoro mjini Range from 15k-25k Natanguliza shukrani
Back
Top Bottom