Search results

  1. McCarthy

    Rais Magufuli kuvunja Jiji la Dar es Salaam

    Kasomee LGAs, Hombolo
  2. McCarthy

    Natafuta kazi yoyote, nimesomea Uhasibu

    Swali ni: ulishikiwa simu na kuombewa kazi ya kufuga na kutunza umbwa tena kwa kulala site ?
  3. McCarthy

    Natafuta kazi yoyote, nimesomea Uhasibu

    Wewe si nimeona kuna uzi humu unaomba kazi ya kutunza mbwa, tena siku tatu zilizopita, hapa unaambia mtu atakoma? Hahaaa
  4. McCarthy

    Wasomi na kiingereza

    Unajua maana ya unachookiita "technical English" ? Technical language/English ipo kwenye kila profession(area of study). Mwalimu ana technical language yake ambapo akiitumia kwenye kazi zake kama wewe ni daktari hutamuelewa, vivyo hivyo kwa Mwanasheria, Mwanafalsafa, Mwanatheolojia...
  5. McCarthy

    Dada wa kazi anatumaliza jamani

    Yaani mzee mzima kwenye mji wako unanyanyaswa na beki tatu na unakuja kulialia humu??!!Maajabu ya mwaka 2020, ama hakika mwaka mpya na mambo mapya!! Sent using Jamii Forums mobile app
  6. McCarthy

    Kesi ya Uhalali wa Muungano kuhamia The Hague

    Baadhi ya Wazanzibar (ambako ni ka kikundi fulani kadogo tu ka vibaraka wa mabeberu) wanakuwa kama mwanamke ukimuonesha unampenda ndo anaongeza kudai akuache akiamini kuwa akikuacha utateseka sana. Dawa ya mtu kama huyo ni kumuacha na siku umesema kuanzia leo sikutaki kesho yake tu au hata kabla...
  7. McCarthy

    Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

    FRANCIS DA DON, Lengo la presumption of marriage liko hasa kwa ajili ya kutetea haki za mwanamke ( ambaye huchukuliwa kama mhanga wa unyanyasaji na unyonywaji na wanaume) za kindoa ambazo zinaweza kupokwa na mwanaume aliyeishi na mwanamke huyo kwa muda huo wa 2 years or 2+ na sasa mwanaume huyo...
  8. McCarthy

    Mo endelea kuiga iga bidhaa za watu

    Wanasheria wake wamezembea kutetea trademark yake! Lengo la trademark ni kuonesha origin(source) not necessarily itofautishe bidhaa. Jina "Mo" Cleansoft liko wazi linaonesha source ya bidhaa. Kuna maamuzi ya mahakama yako wazi juu ya hilo. Wale wengine watakuwa wame-rely on aspects of dilution...
  9. McCarthy

    Siasa za Kamanda Muroto na Kifo cha Sheikh Rashid Bura

    Why are you challenging the lawful authority of Police? Do you have any evidence to the contrary in liue of Police's? Will you be readily available should Police summon you to adduce your evidence to the contrary? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. McCarthy

    Jamani nimetapeliwa nichukue hatua gani?

    Nenda kwa mganga wa kienyeji! Anyway 1. Karipoti polisi juu ya upotevu, wizi na mwizi mwenyewe. Hii itakusaidia wewe pale ambapo kompyuta yako itakapotumika kutenda uhalifu itajulikana kuwa wewe hauhusiki. Pia utapata RP ya polisi. 2. Mtafute jamaa bila jasho mdogomdogo utampata tu na jinai...
  11. McCarthy

    Kwanini wanaume wanapenda kufanya hivi wakati wa ku-sex?

    Huyu ndo ameanza na kajamaa kalikuwa kanamuangalia machoni....mzoefu hawezi kuuliza swali kama hili! Sent using Jamii Forums mobile app
  12. McCarthy

    Magufuli: The Chemist, PhD holder, The Mega projects implementer, NYERERE HEP, SGR, ROADS, WATER SUPPLY, ETC

    Unajua contexts(senses) au maana za neno engineer katika lugha? Inaonekana haujamuelewa jamaa hapo! I well discerned the statement as put. Kwa mfano nikisema Nyerere was a "social engineer" unaelewaje? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. McCarthy

    Alitoa ujauzito je naweza kumshtaki

    Nimesema kwingineko na narudia tena hapa, chukua documents hizo karipoti polisi kutendeka kwa hilo kosa. Kutoa mimba ni jinai. Mbele ya polisi lazima atakiri tu kuwa alitoa na atamtaja hata aliyesaidia kutendeka kwa hilo kosa(daktari); wote ni walewale. Hata asipofungwa, mahabusu atakaa tu hata...
  14. McCarthy

    Naomba ushauri: Ukiona mwanaume analia ujue kuna mengi nyuma yake

    Mbabikie kesi ya uhujumu uchumi na utakatishaji fedha... Hakuna dhamana! Anyway.. Kamshitaki mkuu kutoa mimba ni jinai. Chukua documents ulizoona nenda nazo polisi waambie huyu katoa mimba aliyokuwa nayo. Hata asipofungwa jela mahabusu lazima akae hata kama ni saa moja. Na aibu pia kwake. Na...
  15. McCarthy

    Pendekeza jina zuri la kuita njia ya mtaani kwangu niliyouziwa

    Weka jina lako mkuu...eg Ally/John Street ili waliokuwa wanakubania wawe wanakutaja wewe wanapoelekeza watu wanakoishi... Au ita "Cha Mtu Mavi, Wanashikaga Ukuta" Street Sent using Jamii Forums mobile app
  16. McCarthy

    Kiko wapi, hivi wanaharakati mtajifunza lini Stratejia?

    Wyatt Mathewson, Tatizo ndo hilo. "Wanaharakati bandia" wanatafuta kujulikana ("cheap popularity") na gharama za cheap popularity ni kufanya matukio ya hovyo na ya kihalifu ili serikali iwakukurupushe na watu wawaone. Shit. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom