Search results

  1. Zeus1

    Adhabu nyingine wanazopewa wanafunzi ni za kikatili sana

    Cc@Mpwayungu Village
  2. Zeus1

    People's power

    People's power.
  3. Zeus1

    TRA E-filing

    Hivi hii system ya TRA ya efiling kuzingua hivi ni njia moja wapo ya wao kupiga hela au??hii system yao sijawahi iona iko stable hata siku moja. Wadau mnafanyaje huko? Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
  4. Zeus1

    Kukumbuka ndoto

    Hivi,kuna njia yoyote unaweza fanya ili uweze kukumbuka ndoto uliyoota?? Au technologically kuweza kuirecord?? I think kuna kitu kikubwa sana kwenye ndoto.
  5. Zeus1

    Cheers

    Uko pande gani now mdau?? Niko china bar China bar.
  6. Zeus1

    Guys if unajijua huna kitu unaenda bar kufanya nini?

    Guys if unajijua huna kitu unaenda bar kufanya nini?? Maparasite mmezide aisee,mtu unatoka na kilaki ila unakutana na viparasite inaboa sana.. Ndo hivyo huwezi kumyima mtu,guys tubadilike,kuomba bia sio ishu kabisa... Karibuni tumoke,mbezi beach ...s.la..
  7. Zeus1

    Watu wa dar

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  8. Zeus1

    Maisha bila kumoka

    Aisee nimetimiza week now bila kupiga kilevi chochote, Maisha bila bia yanawezekana.. Namshkuru mungu sana kwa hili,maana ilikuwa hakuna weekend wala weekday,ilikuwa kila siku weekend. Now jioni napoteza mda na movies tu.. Wakuu tupeane njia za kuacha kabisa hii kitu if ipo. ....
  9. Zeus1

    Halowini

    [emoji3][emoji3]
  10. Zeus1

    Airline information

    Guys naombeni msaada kwa anaeweza kujua how many airlines fly to east africa na company names(na under the country) Na flight models Help guys....
  11. Zeus1

    Airlines information

    Guys naombeni msaada kwa anaeweza kujua how many airlines fly to east africa na company names(na under the country) Na flight models Help guys....
  12. Zeus1

    Visa vya wake zetu

    NAMCHUKIA SANA MKE WANGU: Huyu bwana alipofika nyumbani kwake akitokea kazini,akaangalia simu yake akaona inaita,kuchek kumbe ni namba ya mkewe na wakati huo wanaangaliana maana ameshafika ndani,mkewe yuko kwenye kochi sebuleni. "Aaah sasa mbona unanipigia wakati nishafika mke wangu!" "Wewe...
  13. Zeus1

    Mwanamke kutokuwa na hisia

    Habarini za asubuhi, Hivi kuna mtu yeyote imeshawahi mkuta una girl wako alafu hana hisia kabisa? Alafu mnamipango ya kufunga ndoa,tuongee ukweli kwetu wanaume,tunaweza funga ndoa na mtu wa hivyo?? Na hii inaweza ikawa inasababishwa na nini?? Kuna girls wanatia huruma sana.
  14. Zeus1

    Wote niliwaahidi kuwaoa, nibaki na yupi?

    Habari zenu wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada, hivi wanaume na wanawake. Nipo kwenye mahusiano na mabinti wawili warembo sana, mmoja nimemzidi mwaka mmoja ni mwajiriwa na mwingine mdogo anasoma nimemzidi miaka 6. Nashindwa kuamua nibaki na yupi na hata hivyo kumwacha mwanamke nashindwa...
  15. Zeus1

    Kutokutoka jasho

    Wakuu habari zenu, Kama kichwa cha habari kilivyojieleza,yani huwa sitoki jasho kabisa wakuu,mfano naweza nikawa na tembea au kufanya chochote cha kutoka jasho na watu,wenzangu wote utakuta wanachuruzika jasho,ila mimi mkavu kama sijafanya lolote. Shida itakuwa nini hapa wakuu?
  16. Zeus1

    Nimejiunga rasmi

    Habari zenu wakuu, Nimeingia rasmi humu ndani,hope ntapata mengi ya kujifunza.
Back
Top Bottom